Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,797
Uwongo kabisa.Mbaya zaidi hilo jengo lilijengwa na baba yake Mbowe, Nyerere alilitaifisha akawapa NHC.
Uwongo kabisa.Mbaya zaidi hilo jengo lilijengwa na baba yake Mbowe, Nyerere alilitaifisha akawapa NHC.
Uwongo danganya waliokuja mjini jana.Nyerere alitaifisha majengo ya watu ikiwemo la baba yake Mbowe,viti maalumu ajui.jiwe alibomoa kwa chuki.
Fixed odds 100😜Uyo mdada atakuwa ni demu wa mbowe
Ujui kituUwongo danganya waliokuja mjini jana.
Mungu anawaonya wanatumia maumivu ya watu wengine Kama kichaka Cha kujificha,au kutafuta kiki za kisiasa watakufa mdomo angali hu wazi, sio desturi ,kwamba kumkebehi mtu kisa kutafuta kiki za kisiasa,ijulikane mh Mbowe Hana njaaa,ukoo wake hauna njaa, na mzeee wake hakua na njaa that's wajuhao ukoo huu ,wanaelewa, ulizeni wazee, sio leo wakurupuka kisa upo bungeni una charaza ndomo Kama vile wahijua family ya Mbowe, mnajitafutia lahana bure, na mtakufa midomo ipo wazi ,shauri zenu, fanya maisha yenu ya kibungu hachana na maisha ya anasa,kila kitu kupotoshaMbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.
Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo.
Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.
View attachment 1761665
Kwani haya ndio aliyoyasema Mbowe ? Hivi wabunge wa viti maalum wa ccm wanapatikanaje ? huyu zaidi ya kujua kusoma na kuandika na mambo yale mengine sidhani kama anajua kingine .Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.
Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo.
Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.
View attachment 1761665
Alifikiri ni gari kumbe Land Rover, 😂Mbowe alisema akaunti zimefungiwa siyo biashara.
Huyo mbunge hata akiulizwa Bills ilikuwa mtaa gani hajui.
Yeye angepambana kuwatetea wakulima wa mahindi wa Songea na barabara na madaraja ya Lizaboni,Mfaranyaki,Mpitimbi na Ndelenyuma.
Au mimi ndio sielewi. Billcanas ilichukuliwa au ilivunjwa? Kulikuwa na ulazima wa kuivunja iwapo alikuwa halipi kodi? Ok, nimepanga nyumba nzima. Mwisho wa mkataba nikashindwa kuongeza kodi. Mwenye nyumba atanitimua au atavunja nyumba? Kati ya mimi na yeye nani atabaki na hasara?Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.
Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo.
Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.
View attachment 1761665
Huyu ni mbunge wa jimbo gani? Aende akapunguze tumbo kwañza, je ana ndoa?Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.
Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo.
Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.
View attachment 1761665
Wabunge wa CCM ni hasara tupu wana reasoning ndogo sanaAu mimi ndio sielewi. Billcanas ilichukuliwa au ilivunjwa? Kulikuwa na ulazima wa kuivunja iwapo alikuwa halipi kodi? Ok, nimepanga nyumba nzima. Mwisho wa mkataba nikashindwa kuongeza kodi. Mwenye nyumba atanitimua au atavunja nyumba? Kati ya mimi na yeye nani atabaki na hasara?
Kuna biashara za familia na zake mwenyewe, anaongelea biashara zake, akaunti zake.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, ebo!!
Una ushahidi wa kesi ya familia?Sasa Kama biashara za familia tu wanapelekana mahakamani kisa hakuna marejesho unategemea huyo mtu kuwa na huruma na serikali? Kweli!!!
Si bora huyo ambaye familia ina demokrasia wanaweza kujadili mambo yao kwa uwazi kuliko yule aliyekuwa anaweka ndani mpaka baba wadogo na wajomba kugombea ardhi eti kwa vile yeye waziri wa ujenzi!Sasa Kama biashara za familia tu wanapelekana mahakamani kisa hakuna marejesho unategemea huyo mtu kuwa na huruma na serikali? Kweli!!!
Mimi nikama gazeti nimemnukuu mbunge, kamuulize huyo mbunge.Una ushahidi wa kesi ya familia?
Hilo nungayembe limepewa taarifa za kubumba na Cyprian Musiba.Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.