Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

define kwanza maana ya uchochezi maana ndo Lugha ya Magamba then Niambie kwanini Rc Mulongo asiunganishwe ktk hii kesi? Weka uchama pembeni buku 7 isikufanye huna utu.

Uchochezi ni hali ya kushinikiza haidha mtu au kundi la watu kufanya tukio lisilo kubaliwa na jamii au lililo kemewa na sheria. Lema baada ya kumaliza mazungumzo na wanafunzi akampigia simu Mkuu wa mkoa, kumbuka mkuu wa mkoa ndie m/kiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, alipaswa kuwepo eneo la tukio kutekeleza majukumu yake, lakini Lema hakuwa na nafasi yeyote kwenye eneo la tukio, sasa alikuwa akifanya nini kwenye hali kama ile? ndio maana amekamatwa ili polisi wachunguze ajenda ya Lema na wale wanafunzi wala hawajamuonea, pia polisi hawajazuiwa na sheria kumkamata mtu kwa kigezo cha wakati, muda wowote na mahala popote wakitakiwa kukamata, wao ukamata.

Mkuu wa mkoa hapaswi kuhusishwa na hii kesi kwa maana ya kukamatwa, la hasha, ila atahusishwa kutoa ushaidi wa mambo kama kupigiwa simu na Lema na aliyoelezwa, kujeruhiwa baada ya kurushiwa kitu chenye ncha kali, na mambo ya namna hii. Katika hali ya utomvu wa nidhamu aliyo nayo Lema na tendo la yeye kuwa eneo la tukio, lazima itaaminika kuwa kwa namna moja hama nyingine ameshiriki kushinikiza jambo ili.

Wote hapa tunajua historia za wana harakati na wakombozi kote duniani zilivyokuwa zikifanywa, zilikuwa zenye kusisimua na zenye mashiko, hawakuwa wakitumia vitisho wala jazba, na zaidi ya yote, hawakuwa wakitumia matusi kujenga hoja zao. Walitumia nguvu yao ya ushawishi tena inayo kubalika kuleta vuguvugu la mabadiliko na hawakuwa wakisababisha machafuko kwa namna yeyote ile, na ndio maana walikuwa wakiuawa wao huku wafuasi wao wakiwa salama kabisa, sio hawa CHADEMA.

Sasa hawa CHADEMA na huyu bwana mdogo Lema wako kundi gani? waleta mabadiliko? sifa hizo hawana, binafsi nawaona kama majangili wa amani iliyopo, kama wanaubiri nguvu ya umma leo basi wamechelewa, maana nguvu ya umma ni maneno yaliyopo kwenye neno "DEMOKRASIA", kutoka kwa Abraham Linkolin, CCM wamekuwa wakilitumia ili neno nguvu ya umma kwa vitendo, kwa kuleta mfumo wa kupiga kura hapa nchini.

"HAKUNA NGUVU NYINGINE YEYOTE YA UMMA INAYOZIDI KUPIGA KURA."
 
acha akamatwe kabisa, inakuwa je yeye ni mtu wa vurugu tuuuuuuuuuuu??? tumechoka?????? we need to work, hata ukiangalia ile video alikuwa kisiasa zaidi, anasema yeye ni mtaalamu wa kudili na magamba?? anachanganya taaluma na elimu, vijana wa uhasibu angalieni, hk chuo nakifahamu sana, ni kizuri kweli kweli, lkn km kitapelekwa kisisa namna hii basi mtaharibu elimu, kusema kudili na magamba unamaanisha nini??? uongozi chukueni hatua????
 
Cha msingi wajue kuwa hii VIDEO itatumika kama ushahidi kule Den Hague kama huu ukamataji wa kiholela wa viongozi utasababisha maafa.

Hawa CCM wana dharau sana, mkuu wa mkoa amechaguliwa na Kikwete na Ridhiwani peke yao, Lema amechaguliwa na wananchi zaidi ya 50,000.

Ni sheria ipi inampa mkuu wa mkoa madaraka ya kuamuru mbunge akamatwe. Kipimo hicho hicho Kikwete anachowapimia CDM ndicho atakachopimiwa 2015 nchi ikichukuliwa. Hata kama atakimbilia Arabuni waranti ya ICC itamfuata huko huko. Huu ni udikteta uliopitiliza.

MaCCM wote Serukamba yuuuu

:whoo:UMESAHAU KITU.WANA TUME YA UCHAGUZI(INAYOAMUA NANI ATANGAZWE MSHINDI KWENYE CHAGUZI).POLISI,TISS.MAHAKAMA.CDM ITAPITA WAPI?TUJUZE MKUU,:frusty::frusty:
 
Cha msingi wajue kuwa hii VIDEO itatumika kama ushahidi kule Den Hague kama huu ukamataji wa kiholela wa viongozi utasababisha maafa.

Hawa CCM wana dharau sana, mkuu wa mkoa amechaguliwa na Kikwete na Ridhiwani peke yao, Lema amechaguliwa na wananchi zaidi ya 50,000.

Ni sheria ipi inampa mkuu wa mkoa madaraka ya kuamuru mbunge akamatwe. Kipimo hicho hicho Kikwete anachowapimia CDM ndicho atakachopimiwa 2015 nchi ikichukuliwa. Hata kama atakimbilia Arabuni waranti ya ICC itamfuata huko huko. Huu ni udikteta uliopitiliza.

MaCCM wote Serukamba yuuuu

serukamba youuuu na wewe
 
Ndugu yangu haya yote ni mashinikizo. Walijua kabisa kama hawatamkamata siku au usiku wa alhamis basi wasingetimiza lengo lao la kumlaza rumande (lock up) wikiendi nzima bila dhamana, kwa kuwa siku ya ijumaa ni sikukuu ya muungano wa tanzania na jumamosi na jumapili watasema ni wikiendi mahakama hazifanyi kazi. Kwa hiyo watakaa naye wikiendi nzima hapo kituo cha polisi kwa kisingizio hicho, kuwa asubiri kufikishwa mahakamani siku ya jumatatu ambako ndiko atapata dhamana. Kosa lenyewe wanajua linadhaminika labda ndo wambambikizie kosa la ugaidi ili asipewe dhamana na hivyo kumpotezea muda tu.


Huruhusiwi kukaa na mtu selo zaidi ya masaa 24 kama huna uwakika wa kumpeleka mahakamani, Unless awe anatuhuma ambazo aziruhusu dhamna tu.

Hilo la wikiend halipo kwenye sheria, kwani dhamana haitaji serekali kuw aofisini zaidi ya wazamini na barua za utambulisho ambazo zinapatikana ofisiza kata/mtaaaa.
 
mbona hamtujuzi nini kinaendelea arusha toka jana????
 
sijajua kama wana jF mnaijua hii ila nimepata taarifa kuwa lema amekamatwa na polisi usiku wa kuamkia leo kwa sasa yupo mokonnoni mwa polisi. nadhani hataweza kwenda bungeni na kuthibitisha maelezo yake aliyoambiwa na spika (ndugai) kuyapeleka baada ya siku 7. binafsi napata hisia kwamba ukiwa chama cha upinzani haukosi makosa kwenye vyombo vyetu hivi.
 
Ni kamanda wa Jeshi gani au Kikosi gani???

JKT(National Service) kwenda tu ilikuwa ishu, wengi wao wanaogopa mazoezi ya kiukakamavu, ila wanataka waitwe MAKAMANDA. Hawa watu ni vichaa kweli. Mbona Mwigulu ameenda na amefuzu lakini hata siku moja hajawai kujipa jina la "KAMANDA"

CHADEMA na viongozi wake msifikiri sifa inaokotwa kama unavyookota maembe, sifa inatafutwa (it's earned).

Hii kweli ni Tanzania.
 
148.-
(1) When any person is arrested or detained without warrant by
an officer in charge of a police station, or appears or is brought before a
court, and is prepared at any time while in the custody of that officer or at
any stage of the proceedings before that court to give bail, the officer or
the court, as the case may be, may, subject to the following provisions of
this section, admit that person to bail; save that the officer or the court
may, instead of taking bail from that person, release him on his executing a
bond with or without sureties for his appearance as provided in this section.

(2) The amount of bail shall be fixed with due regard to the gravity and
other circumstances of the case, but shall not be excessive.

(3) The High Court may, subject to sub-section (4) and (5) of this section,
in any case direct that any person be admitted to bail or that the bail
required by a subordinate court or police officer be reduced.

(4) Notwithstanding any thin,, in this section contained no person shall,
for such period as the court shall consider necessary in the circumstances
of the, case concerned, be admitted to bail, either pending trial or pending
appeal, if the Director of Public Prosecutions certifies in writing that
it is likely that the safety or interests of the Republic would thereby be
prejudiced.

(5) A police officer in charge c f a police station, or a court before whom
an accused person is brought or appears, shall not admit that person to
bail if-
(a) that person is accused of reorder or treason;
(b) it appears that the accused person has previously been sentenced
to imprisonment for a term exceeding three years;
(c) it appears that the accused person has previously been granted
bail by a court and failed to comply with the conditions of the bail
or absconded;
(d) the accused person is charged with an offence alleged to have been
committed while he was released on bail by a court of law;
(c) the act or any of the acts constituting the offence with which a
person is charged consists of a serious assault on or threat of
violence to another person, or of having or possessing a firearm or
an explosive;
(f) it appears to the court that it is necessary that the accused person be
kept in custody for his own protection or safety.

(6) Where a court decides to admit an accused person to bail, it shall
impose the following conditions on the bail namely-
(a) surrender by the accused person to the police of his passport or any
other travel document; and
(b) restriction of the movement of the accused to the area of the town,
village or other area of his residence.
su(b7s)e Act icoonu r(t6 m), aiym, pino saed daintiyo no ntoe tohre mmoarned aotfo rthy ec ofonldliotiwoninsg p rceosncdriibtieodn isn,
namely-
(i) requiring the accused to report at specified intervals to a police
station or other authority within the area of his residence;
(ii) requiring the accused to abstain from visiting a particular locality
or premises, or association with certain specified persons;
(iii) any other condition which the court may deem proper and just to
impose in addition to the preceding conditions,
which appear to the court to be likely to result in the appearance of the
accused for the trial or resumption of the trial at the time and place
required or as may be necessary in the interests of justice or for the prevention
of crime.
 
We kweli ni serukamba, yaani watu tunajadili hii kitu tangu jana usiku na thred yake inakaribia comments 500 we ndio unakurupuka sasa hv na kutuletea upuuzi wako.
Kabla hujaanzisha thread pitia kwanza humu ndani.
I wanna serukamba *
 
acha akamatwe kabisa, inakuwa je yeye ni mtu wa vurugu tuuuuuuuuuuu??? tumechoka?????? we need to work, hata ukiangalia ile video alikuwa kisiasa zaidi, anasema yeye ni mtaalamu wa kudili na magamba?? anachanganya taaluma na elimu, vijana wa uhasibu angalieni, hk chuo nakifahamu sana, ni kizuri kweli kweli, lkn km kitapelekwa kisisa namna hii basi mtaharibu elimu, kusema kudili na magamba unamaanisha nini??? uongozi chukueni hatua????

Yap, umeisha timiza wajibu wako kwa leo, wahi Lumumba ukavute book 7.

Tiba
 
2013 Hii habari tunayo toka midnight, ila ahsante kwa bandiko pia.
 
Last edited by a moderator:
What ila wameenda na hati, au ndio wataitengeneza kesho asubuhi.

Shame on serikali. Inaudhi sana kusikia mambo haya yanaendelea nchini kwetu.

Nyerere atakuwa anasikitika kuona wanaaribu chama chake jamani.

Hawakuwa arrest warranty...................... nadhani wataichukua Jumatatu then wana i backdate
 
Mpendwa 2013 unatakiwa uwe unagonga kitufe ki1 kinaitwa New post na uwe unaptia walau post kuangalia kuna inayofanana na unayotaka kuleta!
Wenzako tuna update zote tangu usiku mpaka kunakucha we unakuja saa hizi!
Baada ya dk 2 nakuletea af utaona kuna diff ya mda gani mpaka sasa!!


Mkuu 2013 nilikuhadi nitarudi haya
sasa chukua



Baada ya mabishano ya muda mrefu nyumbani kwa kada huyu na Mbunge wa Arusha mjini na uvamizi onevu wa Polisi wakati huu wa usiku; Mh. Lema amekubali kukamatwa na amechukuliwa na gari la polisi wakati huu na kupelekwa kituo kikuu cha polisi Arusha yaani Central Polisi.

Wananchi wengi wamejitokeza ku-support mbunge wao na huenda Asubuhi wananchi wakawa wengi zaidi.

Scene two ni hali itakavyokuwa huko polisi.

Updates
Sasa wamefika CLocktower anasindikizwa na msululu wa magari ya makada waliojitokeza ku-support kuelekea kituo cha polisi.

Baada ya kumfikisha Lema Central police Arusha amesachiwa na kuingizwa ndani. Kamanda Lema alikuwa ameambatana na magari ya makamanda waliomsindikiza ili kushuhudia kinachojili hapo kituoni.

Hivi sasa polisi wamewafukuza makamanda wote hapo kituoni na kuwaambia hawatakiwi kuonekana hapo. Makamanda wameondoka kwa amani na kwenda kupaki Safari hoteli wakisubiriana kupata mwongozo.

03:41am
Wamekutana pembeni ya kituo cha polisi na wamekubaliana kuwa watawanyike wakalale hadi kesho asubuhi watajuzwa kinachoendelea. Hivyo, Lema yupo ndani na wananchi waliomsindikiza wametawanyika kwenda kulala. Tutaonana asubuhi kwa yale yatakayojiri.

11:15am
Kwa sasa Lema bado yuko ndani na bado hajahojiwa. Kwa sasa anasubiriwa Mwanasheria wake ili ahojiwe. Mpaka sasa hakuna tamko lolote juu ya sababu za kukamatwa kwake. Baada ya kuhojiwa huenda mwanasheria wake atasema kilichojiri. Watu waharuhusiwi kukaa au kusimaa vikundi vikundi eneo la polisi.


Earlier by Emanzi:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom