Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

lema analeta uchochezi na ni mtu hatari kwa taifa letu..kama kuna watu wanafikiri lema ni shujaa basii wamepotea.sizazi kama mtu mwenye akili anaweza kuchochea fujo badala ya kutafuta suluisho la tatizo..POLENI IAA.Tusiruhusu wanasiasa kuingilia hata mambo yasiyowahusu.
 
lema analeta uchochezi na ni mtu hatari kwa taifa letu..kama kuna watu wanafikiri lema ni shujaa basii wamepotea.sizazi kama mtu mwenye akili anaweza kuchochea fujo badala ya kutafuta suluisho la tatizo..POLENI IAA.Tusiruhusu wanasiasa kuingilia hata mambo yasiyowahusu.
Mama yangu kama hujui unachokiongelea ni bora ukabaki musomaji kulikp kuvua nguo mbele ya kadamunasi...
 
Kama kuna kosa serikali inalifanya ni kumkamata mh. mbunge kama muhalifu huku wakijua kabisa kuwa hana kosa.
 
Kama kuna kosa serikali inalifanya ni kumkamata mh. mbunge kama muhalifu huku wakijua kabisa kuwa hana kosa.
Wewe una uhakika gani kama hana kosa? Tatizo la tz sikuhizi ni kila mtu amekua polisi.
 
....Ukiandaa tamasha la muziki pale manzese alafu msanii akaimba na baadae akaamua kuvua suruali ni dhahiri kuwa umati wote watashangilia, Na iwapo msanii huyohuyo akaalikwa pale AICC kwenye mkutano fulani alafu akaimba then akafanya "upuuzi" wake ule ule wa kuvua suruali yatakayotokea ni kati ya haya...wapo watakaotoka nje...wapo watakao lia machozi kwa kumsikitikia...wapo watakaomuomba asiendelee kutumbuiza..LEMA ndio huyu msanii, kwa jinsi ambavyo mashabiki wanamshangilia ndivyo na yeye anavyodhani kuwa anachofanya kina maana..Hapa serikali lazima iwe strong kwani anaharibu watu..anapotosha...anawaponza wengine (kama ambavyo chuo sasa kimefungwa) huku wana CDM (wanamanzese) mnashangilia na kumharibu...akae ndani na anastahili kuvuna alichopanda...
 
Utukane, utoke mapovu mdomoni, FACT is Lema yuko lupango.
Hii ni licha ya majigambo earlier on in the week na nilimsikia akisema kwenye luninga yeye au Mungu tu ndio wataamua hatma yake huko Arusha.

Sasa wewe Kohelethi kama una ubavu wa kiakili au vinginevyo msaijie huyu kijana, maana wabaya wake wamemtight.

Inamaana unabusha kuwa muamuazi wa maisha yetu ni MUNGU kama binadamu?

je yeye kuwepo Lupango ndio ishakuwa mwisho wake?
 
Hapa serikali lazima iwe strong kwani anaharibu watu..anapotosha...anawaponza wengine (kama ambavyo chuo sasa kimefungwa) huku wana CDM (wanamanzese) mnashangilia na kumharibu...akae ndani na anastahili kuvuna alichopanda...

Njoo uvue nguo wewe hapa Arusha utaona kitakachokutokea. RC kavua nguo kalikoroga toka mwanzo subiri mwisho wake
 
Ni ujinga kujitolea nafsi zetu kuondoa maadui
umasikini, ujinga, maradhi, na dhuluma
(ufisadi) na ukandamizaji wa demokrasia kwa kutumia silaha ya woga,
wasiwasi, mashaka, ubinafsi na hisia hasi
zote za namna hiyo. Hisia hizi hazijawahi
kutumika kama silaha na kuleta ushindi zaidi
ya kumjenga adui na hata kujikuta
akisujudiwa na kutumikiwa. Hisia hasi sio kinga
wala sio silaha popote!
Uko ushahidi kuthibitisha kuwa maadui hao
wa nne waliogunduliwa tangu enzi ya
kuasisiwa taifa hili wana rutubishwa,
kudumishwa na kuendelezwa na nguvu ya
hisia zetu ambazo ni hasi kiutu na
kibinadamu. Nguvu ambayo anaizalisha askari
yuleyule aliye vitani kupambana na maadui
hao wa maendeleo, afya na ustawi wa jamii.
Utu ni utambuzi uliopevuka dhidi ya mkondo
wa hisia hasi. Rasilimali Utu ni uwezo wa
kumomonyoa ubinafsi wa hisia hasi na kusitiri
heshima, imani, upendo na matumaini ambazo
ni nguzo kuu za maadili ya ubinadamu dhidi ya
unyama au Utu hasi. Hivyo werevu wa kina
dhidi ya hisia hizi angamizi kwa Utu ndio
unaotafsiriwa kama kuerevuka na kueleimika
Kiutu (emotional intelligence: EI); ni kufuta
ujinga Kiutu. Hii ni tofauti na werevu wa kiakili
(intelligence quotient: IQ)
Kutoelimika juu ya dhana nzima ya Utu na
sheria za mfumo mzima wa hisia hasi kwenye
ustawi wa jamii, ni ujinga wa Kiutu unaozidi
ujinga wa kiakili katika nafasi hiyohiyo. Ukweli


lema analeta uchochezi na ni mtu hatari kwa taifa letu..kama kuna watu wanafikiri lema ni shujaa basii wamepotea.sizazi kama mtu mwenye akili anaweza kuchochea fujo badala ya kutafuta suluisho la tatizo..POLENI IAA.Tusiruhusu wanasiasa kuingilia hata mambo yasiyowahusu.
 
Sasa wewe kama una ubavu wa kiakili au vinginevyo msaijie huyu kijana, maana wabaya wake wamemtight.

Mkuu natumaini uko serious; acha Lema wabaya wa Mwangosi walimtoa roho, Dr. Ulimboka kafanyiwa alivyofanyiwa, hivi karibuni kuna Kibanda, Lwakatare WABAYA WANATIGHT TU. Natumaini huna maana ya kuwa tusitetee tunaowajua wanatightiwa.
 
Ukifuatilia kwa umakini sarakasi zinazofanyika Arusha utagundua kuwa si tendo la Utawala Bora bali ni UBABE. Ubabe huo unafanywa na Utawala dhidi ya UMMA. Utawala unataka kuonesha Umma kuwa utawala unaweza kufanya lolote juu ya yeyote kisheria na hata bila ya sheria. Huyo mtawala wa Arusha ni kiwakilishi cha watawala wengine hapa nchini."nitakutafutia kesi" kauli hii inatuzindua Watanzania kufahamu kuwa kumbe kesi nyingi za kiusalama na kisiasa hapa nchini ni za kubambikiziwa. Pole sana Lwakatare kwa Kubambikiziwa. Lakini, Duniani kote,haijawahi tokea Utawala kuishinda NGUVU YA UMMA.
 
Safi sana jeshi la polisi,kamata magaidi wote

japo natoka kusari si mda mrefu acha nikutukane kwani unakera sana we umbwa watu wananyanyaswa bila kosa we unawashabikia mabwana zako,siku likinuka uhame nchi.
 
Huruhusiwi kukaa na mtu selo zaidi ya masaa 24 kama huna uwakika wa kumpeleka mahakamani, Unless awe anatuhuma ambazo aziruhusu dhamna tu.
Okay, kwa hiyo leo Ijumaa, ukiwa na uhakika wa kumpeleka mahakamani Ijumaa ya wiki ijayo ileeee basi unaweza ukakaa nae selo siku saba, nini wiki, tuseme mwezi mmoja, almuradi umetenga petroli ya uhakika ya karandinga la polisi ya kumpeleka mahakamani mwezi ujao, ama?

I mean, this is beyond the pale, sijui sasa issue ni wanasheria wabovu ama ni tatizo la kujieleza kwa Kiswahili, sielewi. Kwa sababu, kwanza unasema "uwakika....aziruhusu... serekali... dhamna...." kwa hiyo, kwanza Kiswahili mgogoro, sheria mgogoro, kila kitu mgogoro, nabaki najiuliza ni kipi kimesababisha kingine.
 
Back
Top Bottom