Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mimi binafsi sishangai na haya yanayoendela. Sisi waTZ Ndio tuna matatizo makubwa kwa kuendelea kukubali kutawaliwa na hawa ccm. Nashindwa kuelewa sisi watanzania kama kweli tuna nia ya dhati ya kujikomboa.

Kama nchi zingine wameweza kuzitoa serikali dharimu madarakani kwa nini sisi tunashindwa? tunaogopa nini? Tukae tukijua, ccm wanatuona wapumbav na mabwege ndio maana wanafanya lolote watakalo na sisi tunaendelea kulalamika humu. Wanajua hatuwezi kuwafanya lolote.

Tukae tufahamu kuwa hawa ccm hawana nia njema na sisi raia, pia tusije kutarajia kuna siku itafika watatuita kwenda kuchukua haki yetu, NEVER. Sasa kwa kuwa tumekubali kuendelea kutawaliwa na awa madharimu, basi hatuna budi pia kukubali kile watufanyiacho.
 
Bado narekodi kwa kalamu/pen nitawajuza soon

Using a pen in a "I can see you but you can't see me" mode?
Unarekodi kwa zile style za Kudovick? Chunga CDM wasikuiti mgaidi
Maana nao wana namna yao ya kusoma mambo, mwenye kurekodi ndio mgaidi
#JustSaying
 
Natabiri machafuko kutokea arusha wakati wowote kuanzia sasa. Tusubiri tuone maana watawala wetu hawachukui hatua mpaka waone mambo yameshaharibika.

Kazi tunayo maana hii ndiyo taswila ya viongozi wetu, sina hakika kama wanapimwa akili kabla ya kuteuliwa, ni vizuri kujua hata historia zao za utotoni.
 
Hivi sio vitu vya kuchekelea!hakika amani ya nchi inachezewa kidogo kidogo!Mungu atuepushie mbali
 
Natabiri machafuko kutokea arusha wakati wowote kuanzia sasa. Tusubiri tuone maana watawala wetu hawachukui hatua mpaka waone mambo yameshaharibika.

Kazi tunayo maana hii ndiyo taswila ya viongozi wetu, sina hakika kama wanapimwa akili kabla ya kuteuliwa, ni vizuri kujua hata historia zao za utotoni.

Hakuna kitu kama hicho lema hajashika amani ya nchi
 
Kikwete hajaenda Jamaica atakuwa ametoa amri ya kumuua ,nyie ngojeni tuu huyu Raisi na jini sikujua
 
MADARAKA yapo juu kupita HAKI kwa namna hii...
sasa LEma anakosa gani au ndio visasi vya waziwazi ??, nchi hii viongoz wataelimika lini na kujari
haki na wajibu.
people's power.
 
ivi wewe mtu wa lumumba, roho haikusuti hata kwenye jambo la utu ka hili unaendekeza njaa zako, na ulaaniwe, humuonei huruma uyo mke wa lema, watoto, una endekeza njaa, mwogope hata mungu ka mwanadamu umeshampanda kichwani. some time inabidi muweke siasa pembenina mkaangalia hata utu, binafsi sina chama bt IMENIUMA SAAANA, huyu mkuu wa mkoa wana arusha mkataeni wa nguvu zenu zoteeeeeeee, tuko nyuma yenu na mungu anatutangulia, REFER FARAO NA WANA WA ISRAEL
 
Ivi we wa lumumba utaendekeza izo njaa hadi lini, some time muweke siasa pembeni, lema huyu ana mke na watoto pia, we unatoa tu upumbav..u kwa jambo lenye kuvuta hisia na kuumiza , kiukweli sina chama ila kwa ili limeniumiza saaana, then mtu ana andika mashudu na kushabikia na ulaaaniwe na njaaa zako, hili jambo lina tia hasira sanaaa, na huyu mkuu wa mkoa utapopolewa na mawe hadi ukome na bado, cheo chenyewe cha kupewa, walikuwepo wenzako tena mawaziri na nw hawapo tena, unaijua we mkuuu wa mkoa nawasi wasi na hata na elimu yako na ipo siku utaangukia pua, refer farao na wana israel
 
hawajakuta vigrunedi? Au Ak47? Si kiongozi wa cha demu huyo? Kile chama cha maga idiiii
 
Ivi nyie policecccm ni njaa au mishahara midogo,ivi unaona bora umdhalilishe mbunge aliye chaguliwa na wananchi kwa uyo cheo cha kupewa kwenye matapu tapu, shem on u mkuu wa mkoa, wewe hujaanza kuwa kiongozi kulikuwa na wernzako tena mawaziri na unajua nw wako wapi, pia nakukumbusha hii ni dunia na ipo siku hata wewe uta[potea pia na kutengeneza maadui wengi especial hapo arusha. Huo si ujanja ni ushamba tena wa kupindukia kwenye siasa
 
Ina uma sana, ka wana israel walimshinda gfarao basi naamini hata hili tutashinda, shame on u mkuu wa mkoa ivi una jiamini mimi na cheo cha kupeana kwenye majumbaa ya mataputapu, una jiamini nini, ivi hujiulizi walikuwepo wangapi tena mawaziri and nw wako wapi , huna hata aibu kwa hii inshu ilivyo attention ktk jamii tangu vurugu na dharau zako leo hii una mkamata kipenzi cha watu eti we mbabe, nahisi hata vyeti vyako vya kuuungaunga, mtu mwenye akili zake hawezi kukurupuka namna hii, naombea nw hata wanajeshi na polisi woooooote waende congo tubaki wentewe yaani nyie polic njaa zita waua, pumb..afu
 
Magessa anataka kufuta message yake kwe sim ya Lema af kesho aamke na kukanusha kua hajatuma
 
Baada ya kumfikisha Lema Central police Arusha amesachiwa na kuingizwa ndani. Kamanda Lema alikuwa ameambatana na magari ya makamanda waliomsindikiza ili kushuhudia kinachojili hapo kituoni.

Hivi sasa polisi wamewafukuza makamanda wote hapo kituoni na kuwaambia hawatakiwi kuonekana hapo. Makamanda wameondoka kwa amani na kwenda kupaki Safari hoteli wakisubiriana kupata mwongozo.
 
Back
Top Bottom