Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Nina uhakika polisi watafanya kazi Yao vilivyo bila kuogopa kelele za brainwashed people ambao wanafuata mkumbo bila kujitambua

kweli kabisa, nyie watetezi wa ushetani wa CCM mmekuwa brainwashed hadi mnajidangaya kuwa polisi watafanya kazi kwa mapenzi ya chama chenu kinachokufa sasa.
 
Walivyokamatwa wakina Mramba na Mgonja mijitu ilikuwa inafurahi, leo hii amekamatwa huyu mchochezi na muatarisha amani mnasikitika? heti ooh sipendi kumuona mtanzania akionewa, kwani hao wengine wakimbizi? kauli za Lema ni za kiuvunjifu amani, serikali ilipaswa iwachukulie hatua makamanda wote hapa nchini.

define kwanza maana ya uchochezi maana ndo Lugha ya Magamba then Niambie kwanini Rc Mulongo asiunganishwe ktk hii kesi? Weka uchama pembeni buku 7 isikufanye huna utu.
 
Tayari uongozi wa chama mkoa chini ya katibu wa mkoa wameshaongea na RCO, muda si mfupi kamanda Lema atachukuliwa maelezo, ndiyo taratibu zingine zitafuata ikiwa ni pamoja na dhamana.

Nchi hii nidhamu ya uongozi imepotea kabisa, haiingii akilini RC anafanya kazi ya siasa. Huu wote ni mwendelezo wa siasa chafu za ccm na mawakala wake.

Jamani mkiangalia ile video ya pale IAA lazima ujiulize sababu ya Lema kukamatwa ni nini? Magesa anaonekana ana shinikizo pia nyuma yake.

Haya ni matumizi mabaya ya madaraka
 
Tuendelee kuliombea hili taifa na mkoa wa Arusha pia.
 
Kwa sasa Lema anajisaidia haja kubwa kwenye ndoo,nita rusha video yake na kuwajuza kila tukio humu ndani lumande
 
Umekosa nini we Lema,
kuvamiwa usiku bila staha?
Mwenye kustahili haya,
si wewe si wewe Lema, ni Magesa!
 
Mimi bado nashangazwa na baadhi ya taarifa zinazotolewa hapa JF; wengine wansaongea kama wametoka kunywa na kulewa chakari na mchanganyiko wa malipo ya m-pesa, gongo, dengerua, kangara, taptap na pilsner lager!!!
 
Tumena video, tunashanga walliomkamata. Sasa si wangemtumia Lema kumaliza mgogoro? Yaani lema, mwakilishi wa wanafunzi, mwakilishi wa chuo mkuu wa mkoa NK. Wangekaa kujadili na kuwapa wanafunzi pole, na ahadi hata kama ni za uongo.
 
Waache ajidanganye, walikuwapo wababe kama akina Msharaf wa pakistan, leo hii yuko kizuizini kwa kosa la kupoteza ushahidi wa kifo cha Butho miaka kibao imepita. Wanajisahau sana hawa viongozi wetu, lakini pia waendelee kufanya hivyo ili kazi ya 2015 iwe rahisi kuwakumbusha watanzania.
 
Cha msingi wajue kuwa hii VIDEO itatumika kama ushahidi kule Den Hague kama huu ukamataji wa kiholela wa viongozi utasababisha maafa.

Hawa CCM wana dharau sana, mkuu wa mkoa amechaguliwa na Kikwete na Ridhiwani peke yao, Lema amechaguliwa na wananchi zaidi ya 50,000.

Ni sheria ipi inampa mkuu wa mkoa madaraka ya kuamuru mbunge akamatwe. Kipimo hicho hicho Kikwete anachowapimia CDM ndicho atakachopimiwa 2015 nchi ikichukuliwa. Hata kama atakimbilia Arabuni waranti ya ICC itamfuata huko huko. Huu ni udikteta uliopitiliza.

MaCCM wote Serukamba yuuuu
 
Mkuu siku zote serikali zilizo madarakani ndizo chanzo cha matatizo. Sidahni kama hiyo ni issue ya kupeleka polisi hata kupekuwa nymbani kwa kamanda Lema.

Kwa namna hii, CDM itaendelea kujulikana na kujikita mioyoni mwa watu bila gharama ya kuwafikia. Zote hizi ni baraka za Mungu.

Watu wanaona na dunia inaangalia.

Saa ya ukombozi ni sasa. Muda wa kuwabumilia viongozi kama mulongo umeshapita. Viongozi kama hawa hawafai kwenye jamii yetu.
 
bob marley aliwahi kusema "The Truth An Offense But Not A Sin
 
Cha msingi wajue kuwa hii VIDEO itatumika kama ushahidi kule Den Hague kama huu ukamataji wa kiholela wa viongozi utasababisha maafa. Hawa CCM wana dharau sana, mkuu wa mkoa amechaguliwa na Kikwete na Ridhiwani peke yao, Lema amechaguliwa na wananchi zaidi ya 50,000. Ni sheria ipi inampa mkuu wa mkoa madaraka ya kuamuru mbunge akamatwe. Kipimo hicho hicho Kikwete anachowapimia CDM ndicho atakachopimiwa 2015 nchi ikichukuliwa. Hata kama atakimbilia Arabuni waranti ya ICC itamfuata huko huko. Huu ni udikteta uliopitiliza. MaCCM wote Serukamba yuuuu
Hata kule alikukimbilia Idd Amin?
 
Wakazi wa Arusha Chadema na Msio chadema jiapizeni kuanzia leo kushughulika na mkuu wa mkoa kama hata hamishwa mpaka kufikia jumatatu tafuteni namna nzuuuuuuuuuri shughulikeni..Hayo maelekezo anaypewa toka juu lazima ayajutie maisha yake yote au familia yake ijifunze kitu toka kwa baba yao.Mnawezaje kuvumilia kukaa na mtu wa aina hii hapa arusha mimi naanza kuandamana leo hii..
 
Tayari uongozi wa chama mkoa chini ya katibu wa mkoa wameshaongea na RCO, muda si mfupi kamanda Lema atachukuliwa maelezo, ndiyo taratibu zingine zitafuata ikiwa ni pamoja na dhamana.

Nchi hii nidhamu ya uongozi imepotea kabisa, haiingii akilini RC anafanya kazi ya siasa. Huu wote ni mwendelezo wa siasa chafu za ccm na mawakala wake.

Jamani mkiangalia ile video ya pale IAA lazima ujiulize sababu ya Lema kukamatwa ni nini? Magesa anaonekana ana shinikizo pia nyuma yake.

Haya ni matumizi mabaya ya madaraka

Mkuu hiyo CD hamwezi kutupatia?
 
Cha msingi wajue kuwa hii VIDEO itatumika kama ushahidi kule Den Hague kama huu ukamataji wa kiholela wa viongozi utasababisha maafa.

Hawa CCM wana dharau sana, mkuu wa mkoa amechaguliwa na Kikwete na Ridhiwani peke yao, Lema amechaguliwa na wananchi zaidi ya 50,000.

Ni sheria ipi inampa mkuu wa mkoa madaraka ya kuamuru mbunge akamatwe. Kipimo hicho hicho Kikwete anachowapimia CDM ndicho atakachopimiwa 2015 nchi ikichukuliwa. Hata kama atakimbilia Arabuni waranti ya ICC itamfuata huko huko. Huu ni udikteta uliopitiliza.

MaCCM wote Serukamba yuuuu

mkuu umekosea kutukana...ukiambiwa na wewe unaonaje
 
Back
Top Bottom