Hivi wewe mbulumundu unataka kuwapangia polisi kazi au?
Ni jukumu la polisi kuchukua nyaraka zozote zinazoweza kutumika kama ushahidi mahakamani.
Vitu kama laptops na simu vinatunza kumbu kumbu nyingi tu, kuanzia mawasiliano yako na magaidi wengine hadi video za kichochezi.
Pia ni rahisi kunasa mipango yoyote inayoweza kuwa imepangwa kufanyika. Subiri tamko la polisi utasikia mengi
Halfu nikukumbushe tu kuwa mkuu wa mkoa ndio mkuu wa kamati ya ulizni na usala wa mkoa, anamuwakilisha Rais kwenye mkoa hivyo katika mkoa wa ASrusha mkuu wa mkoa ndio mkubwa ki protocol kuliko wote hapo mkoani, na huyo Lema ni mbunge tu kama nasari