Mbunge Komba ashtakiwe

Mbunge Komba ashtakiwe

inasemekana mh. Mbunge komba amekuwa na mahusiano kimapenzi na "lulu" kwa muda mrefu.

Kama kweli lulu hajafikisha miaka 18 na shule kakatiza, je inakuwaje wanaume hawa 'wakubwa' kuachiwa hivihivi wakiharibu watoto na kesho yake kwenda 'mjengoni' kutunga sheria?

Nijuzeni wenzangu.....
unakumbuka mmoja alichangia ana nyumba kanunuliwa na mh mmoja ana kitambi akatuacha kwwenye mabano akasema ana kitambii kweli kweli naona wenye macho wameonamkuu ni siku nyingi sana yuko nacho amekuwa nacho mwaka 2007 na anakakunguta kule pugu ...kuna loji moja na kwingine mbagala rangi tatu na akijisikia anakujaga mbezi ya kimara
 
Huyu jamb nilishawah muona hoteli moja inaitwa Angoni Arms songea kama miaka 2 iliyopita alikw na watoto kama sio wa form 2 kutoka songea girls hadi ikanibd niondoke eneo lile sbb nilikw naona aibu mie sasa. Hv lile umbo akivilalia vile vitoto brain concussion c hapohapo inaweza kuvipata hvy vitoto
this is wrong

kama ulijua ni underage kwanini ulikaa kimya?
 
DUH LULU ANA LAANA JAMANI HILI TUMBO ANALINYANYUAJE AKIWA ANAJIINGIZIA MLO WA SUNAMI
[h=2]
icon1.png
Re: Mh.john komba apinga kusinzia bungeni!![/h]
attachment.php

 
Kazi ipo nasikia ana vile vimelea sijui wakina rey kanumba wamepona kweli??mzee mwinyi alisema haka kaugonjwa ndugu zanguni kamwekwa sehemu mbaya sana sana ....
 
Jana nimeliangalia hilo DUDU likilalamoka kuhusu jimbo lake,kumbe utumbo mtupu!!!hivi wananchi waliomchagua waliangalia vigezo gani.Samahani mwenye CV yake aiweke humu maana anaendekeza fitna tu bungeni hana point hata moja.Hili la LULU ni kweli kamjengea na gari kamnunulia ila kuendekeza njaa huku hawa watoto watatufikisha pabaya bora nalo nilazimishwe kuresign kwa kulitia bunge aibu.
CV yake fupi sana huyu jamaa.
Imejaa upuuzi mtupu
1. Darasa la 7, then 2. mpishi baadaye mwanakwaya jeshini 3.kutumikia gamba 4. ufataki. kacv kadogo lakini kamejaa ujinga na uharibifu. Kanaenea kwenye diskette haina haja ya flash disk
 
duuu aibu kwelikweli....unategemea zimwi kama hili ndo lisaini
kuwa limekosa imani na mtoto wa mkulima....wakati linawaza vitoto tu
 
nASUBIRI DATA.......PIA LULU HAKUBAKWA....ALIMKUBALI KAMA NI KWELI.....YAWEZA KUWA KOMBA ALIKUA ANAKASHAURI TU HAKA KALULU....
 
Hili dingi ni fataki na wakubwa wanajua lakin kimya
 
Lulu mashine ile tena tata amenikumbusha mbali kwenye movie yake moja alimwambia jamaa alimuuliza ,wewe lulu huyo jamaa unamuweza alijibu lulu hata wewe na baba yako nawaweza dhuuuuuuu kumbe kweliiiiiiiiiiiiiiii
 
mmh hii hatari tanzania bila ukimwi haiwezekani
 
duh lulu ana laana jamani hili tumbo analinyanyuaje akiwa anajiingizia mlo wa sunami
[h=2]
icon1.png
re: Mh.john komba apinga kusinzia bungeni!![/h]
attachment.php


hata reli nyembamba lakn inahmili mikikimikiki ya treni.na lulu anamkomesha mpaka analala mjengoni.na huyu ding anapenda ngozi sana.
 
je hizi habari zina ukweli wowote au ndo yale mambo ya freedom of speech
 
Ndo Maana Komba halipi waalimu wa shule zake ,kumbe pesa zote anapeleka mjengoni kwa Lulu , fisadi papa huyu mdingi !!
 
Lulu kwa mara ya mwisho cm yake alikuwa anaongea na mweshimiwa ndipo mkasa ukampa.sasa watelegencia wanashindwa kuamua kitu kwa sababu kesi imekaa pabaya.
 
DUH LULU ANA LAANA JAMANI HILI TUMBO ANALINYANYUAJE AKIWA ANAJIINGIZIA MLO WA SUNAMI
icon1.png
Re: Mh.john komba apinga kusinzia bungeni!!


attachment.php


Kama ni hivyo kweli posho hazitoshi. Muongezeni huyu jamani akalee katoto. Na yule mtoto ni ukoo wa reli basi
 
Back
Top Bottom