Mbunge Komba ashtakiwe

Mbunge Komba ashtakiwe

Jamani,jamani,jamani,Tembo na sungura inawezekana wakafanya mapenzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
``mgeni ameingia ... Mgeni x 2 `` kaota mizizi huyo hanwezi acha hiyo tabia..
 
Huyu mzee ni hatari yani anakaTI.A hako katoto bila huruma tena inawezekana hata hatumii KINGA. Uroho mwingine huu ni mbaya kuna uwezekano mkubwa kuwa hata watoto wake wa KIKE akawa anawaGO.NGA mana mzee ni mroho wa totozi
 
Joh:3:16: For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

Joh:15:7: If ye abide in me, and my words abide in you, ye shall ask what ye will, and it shall be done unto you.
 
Huyu jamaa alikuwa na chumba cha kudumu pale Blue Bird aka Namnani ya Cafelatino Sinza kwa siku moja alikuwa ana uwezo wa kuja ni ''vitoto'' hata vitatu kwa nyakati tofauti
 
jamani hayo ni kweli au ??ok km ni kweli alaaniwe huyo bonge
 
Labda walikuwa ndugu zake. Ungefanya uchunguzi kwamba ujue wale ni kina nani na wanatoka familia gani halafu uweke conclusion yako. Mtu anaweza kuwa mhalifu lakini siyo katika kila scene. kama nae LULU ana umri wa miaka 18 basi anaweza kuwa na rafiki wa umbo lolote na umri wowote. Ukubwa wa umbo siyo hoja na. Kingine kiaweza kikawa chembamba lakini akajaaliwa kwenye maumbile ya sehemu nyeti.
Huyu jamb nilishawah muona hoteli moja inaitwa Angoni Arms songea kama miaka 2 iliyopita alikw na watoto kama sio wa form 2 kutoka songea girls hadi ikanibd niondoke eneo lile sbb nilikw naona aibu mie sasa. Hv lile umbo akivilalia vile vitoto brain concussion c hapohapo inaweza kuvipata hvy vitoto
 
Inawezekana mkuu cz habar iyo ipo kitaan toka kitambo 2...
 
Ndo hulka ya wangoni. sishangai na hasa wanapokuwa ccm ndo balaa zaidi
 
Inasemekana mh. Mbunge Komba amekuwa na mahusiano kimapenzi na "LULU" kwa muda mrefu.
Nijuzeni wenzangu.....

Komba bwana anapenda sana waigizaji. Kuna wakati muda mrefu alikuwa ana uhusiano na binti mmoja alikuwa mara nyingi alikuwa ana-act kama mke wa "Bishanga", kama miaka kumi hivi iliyopita, huyu binti alikuwa anakaa kule Sinza Madukani. Nimemsahau jina lake. Komba alikuwa hasikii haelewi!
 
Anna_Lupembe.JPG

Sasa ukisikia CCM kushika utamu ndio ndio mambo hayo! Hapa tunamwona Mzee KOmba na dalili zote za Chama kushika utamu!
 
Mi naona hata mama yake Lulu nae wa kuwekwa ndani,kwani yeye akiwa mlezi wa lulu alikuwa haoni anayofanya mwanae akamkanya? na je huyo mtoto anayedai ni wa miaka 17 alikuwa anafanya nini usiku mnene kwenye chumba cha mwanaume? unajua ngoma ikilia sana hupasuka,sasa hii ya lulu ndio imefika wakati wake. Ngoja ajifunze kwa vitendo kwamba asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu. Na kuhusu hili la Komba kutembea na watoto wadogo nashauri kama kuna ushaidi nae afunguliwe mashtaka,maan mafataki kama haya ndio yanayotuharibia watoto wetu. Alafu tunamuita muheshimiwa,mpaka naskia kutapika kwa jinsi anavyonitia kichefuchefu,sijui hana mshipa wa aibu.
 
swali la kujiuliza kama kusingiziwa kwanini asingiziwe komba?na akisingiziwa kuna faida gani?wanaomfahamu kwa ukaribu komba wanadai lulu ameshawahi kwenda na komba kijijini kula mbambabay kwa ajili ya vacation.
 
Mi naona hata mama yake Lulu nae wa kuwekwa ndani,kwani yeye akiwa mlezi wa lulu alikuwa haoni anayofanya mwanae akamkanya? na je huyo mtoto anayedai ni wa miaka 17 alikuwa anafanya nini usiku mnene kwenye chumba cha mwanaume? unajua ngoma ikilia sana hupasuka,sasa hii ya lulu ndio imefika wakati wake. Ngoja ajifunze kwa vitendo kwamba asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu. Na kuhusu hili la Komba kutembea na watoto wadogo nashauri kama kuna ushaidi nae afunguliwe mashtaka,maan mafataki kama haya ndio yanayotuharibia watoto wetu. Alafu tunamuita muheshimiwa,mpaka naskia kutapika kwa jinsi anavyonitia kichefuchefu,sijui hana mshipa wa aibu.

jamani gari bovu au zee sharti likokotwe na gari jipya au zima.
 
Back
Top Bottom