Jamani hawa watoto nao wanatuchosha, kwanza ni vigumu sana kuelewa ni kwa namna gani watoto kama hawa wakike wanaishia kwenye mikono ya haya mafataki tena yenye sura na shepu za kishetani kama Komba. Komba hajaanza leo na hataacha leo, haya ni mapepo yaliyojaa humu duniani na bahati mbaya kwa watoto wetu yanalindwa na nguvu za mapepo wenzao ccm na serikali. Eti hili dudu nalo ni mbunge wa chama tawala anayeshinda kwa kura, ndio maana dawa kamili ni kukazana huku huko kwenye grassroots, wananchi wa songea waulizwe wanatupelekea nini bungeni? lakini hawa wakina kimemeta nao ni ajabu hawatuambii popote pale kwamba wanahitaji maombi kwa ajili ya uchovu walioletewa na haka katoto, ni pepo la ngono limemkamata na huu ndio hasa unakua mwisho wa watoto wasiosikia. sasa kwa umri huu yuko gerezani? hata tukijidanganya kwamba ni gereza la watoto bado ni gereza tu, waombe na kusali sana mungu ampe 2nd chance. Pamoja na hayo mimi sikubaliani na hii hukumu ya kuchukuia hatua, hata mtu mzima unapokabiliwa na abuse ya kupigwa nani atakayeacha kujitete kwa kumsukuma ama hata kumtwange mppigaji, je walitaka akae kimya, ili auawe yeye na tuongelee postmortem? lulu atetewa kisheria naamini atashinda, na baada ya hapo yeye na wazazi wake wakae chini kutafakari yaliyowakuta na kumshukuru mungu kwa revelation, na karudishwe shule kaache umalaya usiokua na faida, kwa nini haya yote jamani? hata majirani za kanumba wanasema walishachoka na kelele za kupigana wapenzi hawa feki. taifa lenye kupenda ngono viongozi wake wote wameshinda kwa kanumba lakini kwa mayunga, kiaro wala mwakanjuki hawataoneka, acha pinda apukutwe laana itaendelea kuwafuata, kikwete nae ndio hayo chama kinamfia, Bilalli bilahaya ka lline up mdogo wake eti nae asikose kula maana ni zamu yao, laana kum haw