Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

why do CDM leaders tolerate this foul language from their cadres?it's now obvious to receive such language whenever anything about CDM is brought into light. should everyone assert that this silence means CDM ranks agrees to this behavior?
 
Nlikua nakuona smart sana ila nimepitia comments zako....kumbe kilaza
 
wewe ndio ulivyoandika hakuna point hapo
mie sijaongelea kupendwa kwa mbunge sugu mbeyaa mjini mie nimeongelea kujitambua kwa Mbunge sugu kuwa yeye ni mbunge na act kama Mbunge sio kuact kama mtangazaji wa planet bongo

ungenambia serukamba ndo hajielewi ngekuelewa kama unaona Sugu hajielewi na Serukamba anajielewa basi wewe ndio hujielewi mtu kaandika vitu vya kawaida sana unaongea pumba tumia akili wewe.
 
Mimi nafahamu kabisa, SUGU BADO ANAVUTA. na anakunywa KONYAGI sana, inawezekana wakati anaandika huu ujumbe alikuwa keshapata mojawapo ya vilevi hivi au vyote kwa pamoja.

Ndo wabunge wa upinzani tuionao. Huyu si ndiye aliyepigana bungeni huyu au! Bangi sana huyu. Hata akiongea bungeni huwa ana rap. Kizazi hiki matatizo tu
 
chadema jaribuni kutumia akili ila sio uozo mnaofanya kuropoka kama watoto point za mhimu hatakama mnahitaji nchi chukueni kidemokirasia siyo kuropoka hatahivyo Hanna hata office mkishinda mtakaa kwenye chopa yenu wambea nyie
 
why do CDM leaders tolerate this foul language from their cadres?it's now obvious to receive such language whenever anything about CDM is brought into light. should everyone assert that this silence means CDM ranks agrees to this behavior?
I really wonder with you magamba fans...you become totally blind and deaf when your party leaders use extra foul language, but when a cdm leader use a just normal language like this one under discussion, you go madly mad.

Have u ever heard these utterances from yr bosses:
-siongei na mbwa, naongea na mwenye mbwa.
-fuc'' k you(in parliament session)
-fulani anatembea km vile amejiny^^ea.

...and u still are blaming sugu's too soft language.
my pubic hai^^rs!
 
Kuna vitu unachanganya. Sugu ni Mwanamuziki, Mbunge, Mwanafamilia, Kijana wa Kileo, MwanaCDM n.k. Sasa anapopost chochote mitandaoni, ni kazi yako ku-judge anapost kama nani hapo juu.
 
Mtoto gani anaweza kuandika hivyo? Hayo ni maneno ya hamasa au mlitaka aseme tunapanda treni kama ....... Walivyofanya mwaka Jana akina nyie.....
 
wewe ndio ulivyoandika hakuna point hapo
mie sijaongelea kupendwa kwa mbunge sugu mbeyaa mjini mie nimeongelea kujitambua kwa Mbunge sugu kuwa yeye ni mbunge na act kama Mbunge sio kuact kama mtangazaji wa planet bongo

Kwahiyo mtangazaji wa planet bongo hajitambui??
Mkuu, mbona unazidi kuchanga mambo!!! Stick to the point please.....
 
Nlikua nakuona smart sana ila nimepitia comments zako....kumbe kilaza

Sema unavyoweza kila mtu ataendelea kubaki na msimamo wake

Unaniita kilaza ilhali hujatoa hoja yeyote ambayo inaifanya comment yangu ionekane ina ukilaza
 
Kwahiyo mtangazaji wa planet bongo hajitambui??
Mkuu, mbona unazidi kuchanga mambo!!! Stick to the point please.....

Sijasema kuwa mtangazaji wa planet bongo hajitambui..
Mbona mnashindwa kupambanua mambo wakuu..

Nimesema kuwa Sugu ajitambue yeye ni Mbunge na aongeavyo aongee kama vile Mbunge na sio anaongea kama vile yeye ni mtangazaji wa planet bongo ... Mbunge ni mbunge na mtangazaji wa planet... Kila mtu ana lugha yake na jinsi ya uwasilishwaji wake
 
ungenambia serukamba ndo hajielewi ngekuelewa kama unaona Sugu hajielewi na Serukamba anajielewa basi wewe ndio hujielewi mtu kaandika vitu vya kawaida sana unaongea pumba tumia akili wewe.

Mkuu uwe unasoma basi hata comment zilizopita mkuu wangu
Nimeshasema zaidi ya mara mia moja kuwa ya kina serukamba, kibajaji, na Nkamia tulishiriki pamoja kukemea..
Kwani waliboa na wao kwa kiasi fulani same kwa sugu.. Na yeye tunahitaji kumkemea kama ilivyokuwa kwa hao mabwana waliotangulia niliowataka hapo juu
 
Back
Top Bottom