Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

Mtoto wa aliyekuwa mtu mkubwa nchini Tanzania.. Na hii ndio kazi uliyoichagua kuendesha maisha uako...
Congrats bro..
Kimoyomoyo nasikitika na kusema
SHAME.

- Kaka hujui kazi zangu, labda niombe nikuambie maana hutaamini ninachofanya besides blog na soon nafungua Radio Station Morogoro na TV Station hapa Dar pamoja na mengine yote ninayofanya sasa kama mtoto wa mtu mkubwa kuwa na Radio Station na TV ni dhambi so be it mnasikia maneno maneno ya mitaani yasiyo na ukweli mnajibebesha vichwani na kujifanya kuwajua wengine hunijui wewe mburulazzz njoo nikuelemishe how I make my living Blog ni moja ya vtega uchumi vyangu uliza how much money I make from it huna hoja Sugu ni Mbunge aliyekubaliwa na wananchi wewe sio cause no body anakujua na lugha yako nzuri,

Le Mutuz
 
Wacha weeee..
Enhee endelea..
 
Mkuu unayoyasema ni kweli ila kuna vitu kadhaa umevisahau..
Social media ya sasa hivi sio sawa na social media ua 2014 kuna kila mtu huwezi sema tu sijui you ride bla bla bla with them choppers. Hata kama watu watakuelewa wataona there is something wrong...

Pili unajua mkuu kuna lugha ambazo mtu na mtu wanaongea au mtu na watu Mbunge ni mtu mwenye status kwenye jamii mimi kama mimi siwezi kwenda kwa mbunge then nikamwambia "whatssap" mheshimiwa ataniona mie chizi..
Kama kuna haja ya kutumia kingereza tunatumia plain and old salutations

Same thing kwake ni ajabu tena sana kuja kuniambia "whatsaap" wapiga kura wangu.. Kama kuna nia ya kutumia kingereza basi atumie same old salutation kama ilvyokuwa pale alitakiwa atumie old words..

Akitumia vingine ni tatizo mkuu

- Kaka hivi una mri gani mbona una mawazo ya kizee sana, pole sana haya sio mawazo open minded yanayotakiwa kuwa nayo 2014 kaka badilika hili Taifa linashindwa kwenda mbele kwa sababu ya watu wenye mawazo kama yako, pole sana Sugu nmimeishi naye USA, anaongea lugha hiyo hiyo toka aliporudi na mpaka anagombea ubunge wote wanajua kwamba ndio lugha yake, sasa wewe ulikuwa kugombea naye ubunge kusudi uwaambie wananchi wasimchangue kwa sababu ya lugha yake, kwani amemtukana mtu hapo?

- Viongozi wangapi wa Taifa tunasikia wanasema Mambo vipi kwenye mikutano hiyo sio lugha ya mtaani? Mkuu unanitia kichefu chefu sana na arguments zako za kizeee sana!!

Le Mutuz
 
Wacha weeee..
Enhee endelea..

- Kaka niambie ni vichaa wangapi hapa Tanzania wana Radio Station na TV Station? Huna hoja wacheni kurukia rukia umbeya na majungu ya mtaani mtu humjui unaanza kujifanya unamjua, kaka next two weeks ninaleta investors toka Marekani nitakuita uje kwenye mikutano yao ya kuwekeza hapa ujifunze maana ya lugha za pesa sio huuu ujinga ujinga unaandika hapa!!

Le Mutuz
 
- Kaka naomba kukwambia tena kwamba huna hoja nyamaza tu huna mamlaka yoyote ya kuwamulia watu wengine kwenye hili taifa namna ya kuongea umri wako umri wangu hauna anything to do na JF, Sugu ni Mbunge wewe sio kama lugha yako inagkuwa inakubalika wewe ungekuwa Mbunge sio sugu, maisha yangu hayakuhusu na yako hayanihusu hapa kinchotuhusu ni Taifa, mimi I am fine na maisha yangu tena I am happy than anytime in mylife now, I work for my self I am having a lot of fun with my life, sikujui ila wewe unanijua mpaka all the fun of mylife maana yake ni kwamba unanishobokea maana mimi sikujui wewe unasemna unanijua pole sana, msiwe mnakurupuka huku na hoja mufilisi!!

Le Mutuz

Kula LIKE kwa herufi kubwa kuonesha msisitizo, kuna mbululas they think wana authority ya kushape maisha ya wengine manina zao.
 
Kwa yamini Yang naapa kuwa pamoja na chadema kwa namna zote hao wabunge waccm wenye elimu wamefanya lipi? Acha hizo mada coz hata madam ngeli haipandi kivilee
 
- Kaka niambie ni vichaa wangapi hapa Tanzania wana Radio Station na TV Station? Huna hoja wacheni kurukia rukia umbeya na majungu ya mtaani mtu humjui unaanza kujifanya unamjua, kaka next two weeks ninaleta investors toka Marekani nitakuita uje kwenye mikutano yao ya kuwekeza hapa ujifunze maana ya lugha za pesa sio huuu ujinga ujinga unaandika hapa!!

Le Mutuz

inawezekana unapoint kaka ila huoni kama point yako itapoteza mhimili kwasababu ya jazba? Punguza jazba bana mbona kidogokidogo tu tunafika kaka!
 
Wajinga ndio waliwao.. Haya watakuja
 
inawezekana unapoint kaka ila huoni kama point yako itapoteza mhimili kwasababu ya jazba? Punguza jazba bana mbona kidogokidogo tu tunafika kaka!

- Kaka kuna watu wanaharibu sana sifa za hii mitandao ya kijamii kwa kuandika pumba sana na huyu jamaa ni mmojawapo nilitaka kumfahamisha anayoyasikia huko mtaaani kuhusu mimi sio kweli ukweli ni huu hapa ninaompa mwenyewe hapa live, mimi sipendi ujinga ujinga na majungu majungu na kujifanya kujua sana watu humu wewe hapa humlipii maisha mtu yoyote, Sugu is my friend nimeishi naye USA I am proud of him kuwa Mbunge after a rough lige tuliyoishi kule ugenini,

- Lakini la msingi nataka WaTanzania tufike mahali tuheshimu uwezo wa mtu kwa kazi yake kwa Taifa sio kujali mambo ya kujinga yasiyo bna msingi kwa maendeleo ya Taifa letu, sawa hatukubaliani itikadi na Chadema lakini haina maana kushupalia hoja za kijinga kama hizi, lugha ya mtu inakukosesaje usingizi mtu haikuhusu wala hakuhusu, I mean wewe umeona amenaza kunihukumu na mimi kisa amesikia maneno ya mtaani, sasa ndio ninampa facts kuhusu mimi asizozijua wacha kujifanya unawajua watu huku huwajui narudia tena next two weeks naleta matajiri wakubwa sana toka Marekani wanaokuja kutafuta kuwekeza hapa, sasa namuarifu huyu mburulazz aje kwenye mikutano ninayowatyarishia labsa atajifunza something kuliko kukumbatia huu ujinga ujinga,

- Na by the way Sugu ni mbunge na huyu jamaaa anyedai kuwa na lugha nzuri sana sio mbunge, tuna wabunge wezi tuna wabunge wanfanya mambo ya ajabu sana yeye ameona la lugha tu ambalo halina madhara yoyote? I mean mimi binafsi nina deal sana hawa Vijana wadogo, ambao ndio wapiga kura next uchaguzi kwa mawazo kama ya huyu jamaa hata kura hawataenda kupiga tunahitaji kuwakemea kwa lugha kali watu wote wanaotaka kutufarakanisha na Vijana wa Taifa hili!!

Le Mutuz
 
Wajinga ndio waliwao.. Haya watakuja

- Naona kelele zimekusihia kaka pole sana huwa siingii kwenye vita nisiyoijua ukiniona nimeshupalia topic hapa ujue ninaijua, wacha maneno ya mtaani kaka wacha kuchafua watu humu bila sababu lugha ya Sugu kama huipendi badilisha channel tu sio kulazmimisha kila mtu kwenye maisha awe na lugha kama yako please!!

- Binafsi Wamarekani wamenifundisha kuishi free and independent siwezi kuacha kuishi maisha yangu eti kwa sababu ya kuonekana hivi au vile na watu please, I live my life tena very happly asiyetaka maisha yangu too bad he has to put up with me kwa muda mrefu sana, sasa hivi nipo hapa ofisini toka saa kumi asubuhi nitatoka saa saba usiku nikitoka hapa Club, nikimaliza Club kesho saaa mbili nipo hapa tena kama kawaida, so why worry hapa ninajiajiri mwenyewe sina wa kumhofia, please wacheni maneno maneno ya mitaani na watu msiowajua, leta hoja hapa za kusaidia Taifa sio majungu na ujinga ujinga kama huu!! lugha ya Sugu ameiandika kwa inaowahusu that is all yaani Vijana kama hutaki badilisha tu channel!!

Le Mutuz
 
Kakurupuka tena na hii..sasa hivi
M4C Pamoja Daima: Niko kwenye msafara wa Dr Slaa,leo tumetua Santilya( Mbeya Vijijini), Vwawa ( Mbozi), Kasanga ( Kalambo) na jioni hii tumemaliza Sumbawanga Mjini...Ni nyomi za hatari snitches watajibeba, na kwa mwendo huu magamba hawachomoki 2015 na wao wanajua hili na ndio maana kina Nape wana-vibrate kama simu ya Mchina kwa hofu...
 
Nimekuacha kwa sababu ulishasema nakushobokea mara ooh nakujua blah blah bla...

So mie nakuacha uropoke unavyoropoka at the end of the day nakuona kama ni idiot tu mwenye low IQ

Binti yangu anakuzidi IQ probably hata elimu pia.. So nakuacha kama ulivyo...

Sitasema neno lolote na wewe ila sio kama eti nakuogopa ila nakudharau na pia nakuona kama a Giant Elephant with a brain of cocky
Ciao
 
- Kaka kuna watu wanaharibu sana sifa za hii mitandao ya kijamii kwa kuandika pumba sana na huyu jamaa ni mmojawapo nilitaka kumfahamisha anayoyasikia huko mtaaani kuhusu mimi sio kweli ukweli ni huu hapa ninaompa mwenyewe hapa live, mimi sipendi ujinga ujinga na majungu majungu na kujifanya kujua sana watu humu wewe hapa humlipii maisha mtu yoyote, Sugu is my friend nimeishi naye USA I am proud of him kuwa Mbunge after a rough lige tuliyoishi kule ugenini,

- Lakini la msingi nataka WaTanzania tufike mahali tuheshimu uwezo wa mtu kwa kazi yake kwa Taifa sio kujali mambo ya kujinga yasiyo bna msingi kwa maendeleo ya Taifa letu, sawa hatukubaliani itikadi na Chadema lakini haina maana kushupalia hoja za kijinga kama hizi, lugha ya mtu inakukosesaje usingizi mtu haikuhusu wala hakuhusu, I mean wewe umeona amenaza kunihukumu na mimi kisa amesikia maneno ya mtaani, sasa ndio ninampa facts kuhusu mimi asizozijua wacha kujifanya unawajua watu huku huwajui narudia tena next two weeks naleta matajiri wakubwa sana toka Marekani wanaokuja kutafuta kuwekeza hapa, sasa namuarifu huyu mburulazz aje kwenye mikutano ninayowatyarishia labsa atajifunza something kuliko kukumbatia huu ujinga ujinga,

- Na by the way Sugu ni mbunge na huyu jamaaa anyedai kuwa na lugha nzuri sana sio mbunge, tuna wabunge wezi tuna wabunge wanfanya mambo ya ajabu sana yeye ameona la lugha tu ambalo halina madhara yoyote? I mean mimi binafsi nina deal sana hawa Vijana wadogo, ambao ndio wapiga kura next uchaguzi kwa mawazo kama ya huyu jamaa hata kura hawataenda kupiga tunahitaji kuwakemea kwa lugha kali watu wote wanaotaka kutufarakanisha na Vijana wa Taifa hili!!

Le Mutuz
Kula LIKE,mpe za macho uyo -----...
 
Nimekuacha kwa sababu ulishasema nakushobokea mara ooh nakujua blah blah bla...

So mie nakuacha uropoke unavyoropoka at the end of the day nakuona kama ni idiot tu mwenye low IQ

Binti yangu anakuzidi IQ probably hata elimu pia.. So nakuacha kama ulivyo...

Sitasema neno lolote na wewe ila sio kama eti nakuogopa ila nakudharau na pia nakuona kama a Giant Elephant with a brain of cocky
Ciao

- Wacha wewe huna lolote maneno ya mitaani mntaka kugeuza hoja unaona ulivyopwaya, nenda wewe akili gani uliyonayo inayokwambia kufundisha watuwazima ambao hawakuhusu namna ya kuongea? Unasema una IQ kubwa really? watu wenye IQ kubwa kama yako ni wangapi umewahi kuwasikia wakikosa usingizi kwa lugha za wengine wasiowahusu? Pole sana kama wewe una big IQ mimi sihihitaji kabisa keep it!!

Le Mutuz
 
Kakurupuka tena na hii..sasa hivi
M4C Pamoja Daima: Niko kwenye msafara wa Dr Slaa,leo tumetua Santilya( Mbeya Vijijini), Vwawa ( Mbozi), Kasanga ( Kalambo) na jioni hii tumemaliza Sumbawanga Mjini...Ni nyomi za hatari snitches watajibeba, na kwa mwendo huu magamba hawachomoki 2015 na wao wanajua hili na ndio maana kina Nape wana-vibrate kama simu ya Mchina kwa hofu...

- Yote hayo utafanya lakini huwezi kuwa Mbunge kama Sugu na IQ yako na lugha yako nzuri sana inayokubalika na Wananchi, nonsense!!

Le Mutuz
 
Huo ujumbe una shida gani au hukuelewa context ya Sugu? Tatizo liko kwako!!!!
 
Kakurupuka tena na hii..sasa hivi
M4C Pamoja Daima: Niko kwenye msafara wa Dr Slaa,leo tumetua Santilya( Mbeya Vijijini), Vwawa ( Mbozi), Kasanga ( Kalambo) na jioni hii tumemaliza Sumbawanga Mjini...Ni nyomi za hatari snitches watajibeba, na kwa mwendo huu magamba hawachomoki 2015 na wao wanajua hili na ndio maana kina Nape wana-vibrate kama simu ya Mchina kwa hofu...
Mkuu CTU,
Hakika sasa unaanza kupoteza mwelekeo.
Fuatilia mambo yenye tija kwa taifa au familia yako...lugha za mbunge zinakuhusuje, wewe ni mpiga kura wake?
Unajifanya unaponda lugha yake wakati masaa 24 unakodolea macho kila anachopost.
Acha udaku mtu mzima!
 
Mitandao ya kijamii imekuwa kama ni moja ya nyenzo ya mawasiliano baina ya "mtu na mtu" na hata "mtu na watu"

Wafanyabiashara mbalimbali wamekuwa wakitumia mitandao hii kama njia moja ya mawasiliano na wateja wao hivyo hivyi na wanasiasa wamekuwa wakitumia mitandao hii kwa ajili ya kuwasiliana na wananchi wao au tuseme wapiga kura wao

ila kuna kitu nimekiona sio sawa kinachoendelea ndani ya mitandao hii ya kijamii.. nayo ni aina ya uwasilishwaji wa ujumbe kutoka kwa watu hao kwenda kwa wananchi wao..

sijui niseme ni usela, au utoto content inaweza kuwa ni nzuri ila sasa kwa jinsi ilivyoandikwa inakuwa ni utumbo kama sio ushuzi mpaka unakaa unasema huyu kweli na umri huu anaweza kufanya hili anayoyafanya

naweza kusema kuwa ni elimu ila pia nasema ni kutojitambua kwani kuna watu wengi hawana degree wala masters ila kwa umri wao wanafanya mambo ambayoni ya kistaarabu, uongeaji wao na uandishi wao unafuata staha

Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi aliwaandikia maelfu ya wafuasi wake au tuseme wapiga kura wake message hii

CDM: We riding high in the sky with them choppers...n people on the ground all over understand n love our messages ...

sio mara moja au mara mbili uandishi wa Mh huyu unakuwa ni wa utata na usioendana na hadhi yake ya
mbunge na watu wa aina hii ndio wanafanya ubunge kuwa kama ni kazi ya wahuni na wavuta bangi ndio maana sitashangaa kesho Afande Sele nae anasema anataka kwenda bungeni.

wote tunaelewa sugu alikuwa msela na mwanamziki wa bongo fleva lakini pia aelewe nyakati zinabadilikka aangalie na muktadha wa kuandika na kuongea maneno ajue neno gani alitumie wapi akiwa chini ya kivuli gani

sugu kama anajua yeye shule haipo aajiri basi mtu wa kuwa anamwandikia alieyeenda shule mtu ajue ni jinsi gani ya kuandika na kufikisha ujumbe kwa watu na watu wakamwelewa....
sio anaandika ujumbe kwa wananchi wake au wapiga kura wake anaandika kama vile yuko studio na p funk wanarekodi nyimbo...

Ubunge una hadhi yake katika jamii na ndio maana wenzetu wana ma PA sidhani sugu kama ane... kama anae basi atakuwa ni MGOSI MKOLONI ambaye nae ni wale wale..

Sugu ajitambue ajue Mbeya, Tanzania wako wanamwangilia yeye basi aact kama Mbunge sio anakuwa kama Mvuta Bangi
kutoka Uswahilini na kuanza kuandika ushuzi kama wavuta bangi wengine tu , Sugu ajitofautishe yeye na mtoto wa miaka 16 ambaye kazoea kuvaa supra na suluari za kubana ambaye kakurupuka asubuhi na kuanza kupost utumbo

Aangalie mfano kutoka kwa wanasiasa wenzake kama vile
ZITTO KABWE, SLAA, NA MH JAKAYA MRISHO KIKWETE

Mh sugu wewe ni mtu mzima bwana acha utoto kuwa kama Mbunge basi ni hayo tu

"Kama mvuta bangi" je unadhani ni sawa ulivyoandika?

Ulikuwa unalenga nini? Kumrekebisha kwa kumdhalilisha? Je unadhani dunia tuliyopo neno unalotumia "kama mvuta bangi" linaashiria mtu asiye na "akili timamu"? Je "uhuni" ni nini? Je "muhuni" ni nani hasa? Napata shida kuelewa kwa nini umetumia lugha yenye kulenga "kudhalilisha" bila kujua matamshi unayotoa "pengine" ndio ya "kihuni" kumshutumu mtu kwa kile ambacho pengine ni "hisia" zako tu.

Labda sugu alichaguliwa na vijana wengi (na hili lazima liwe hivi kwa sababu hata kama kutakuwa na athari nyingine katika uchaguzi ni vigumu kupinga ushawishi vijana walionao: Tanzania ina watu 44 million, kati yao 37 ni vijana) sasa kama ni vijana wamemchagua......... na hiyo ndio lugha anayoamini "watu wake" wanawuelewa, tatizo liko wapi?

Nadhani unahofia "tofauti zinazoletwa na dunia mpya" hili na jambo la kawaida kwa wazee kudhani isipo fanywa "kama vile" basi ni kosa.

Narudi tena kwenye point ya "marijuana" mimi nasema hakuna ushahidi wowote unaoonyesha wazi "uki-spliff" unakuwa unasifa ya kuandika vibaya kama ulivyodai "anaandika kama mvuta bangi". Umekosea sana ndugu, huwezi tengeneza msingi wa ujumbe wako kwa dhana "dhaifu" kama hiyo.

Umenikumbusha article moja mwandishi anawashangaa Wa-Ghana kuendelea kutumia "wigs" kama utaratibu "judges" kuvaa wakiwa katika shughuli zao mahakamani kisa tu "toka zamani iko hivyo" wakati joto linalosababishwa na uvaaji wa "wig" linawatesa. Natumia mfano huu kuonyesha "usipende ku-jump kwenye conclusion bila kuzingatia mahala jambo fulani lipofanyika, aina wa hadhira iliyolengwa na nini personality ya mtu toka zamani". Tunaishi na raia sio misitu tunajua madhaifu yao, kama yalivyo ya kwako, tunavumilia, tunasonga mbele. Kwa pamoja tunaacha blah blah.

Bottom Line: Kama unalenga kushauri mtu "aamue kuacha" tabia au mazoea fulani vema ukafikisha ujumbe wako usio na hiki kitu kinachoitwa "USHAURI WA KUTAABISHA".
 
Back
Top Bottom