Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

Kila siku tunaongelea hoja za msingi zinazohusu maisha ya mtanzania unless wewe ni mgeni wa JF

Ila haujafikiria nje ya square...
Mtoto wa miaka 15 mwenye ndoto ya kuwa kiongozi wa siasa 2040 akiona Sugu anayoyaandika sasa hivi..
Na jinsi anavyofikisha ujumbe yeye kichwani mwake anajenga mawazo kuwa mbunge ni mtu wa aina gani..?

- Mawazo kama yako ni ya hatari sana na ndio maana CCM tunapata taabu sana kubadilika kwa sababu tuna watu kama wewe wasiotaka kubadilika, alichoandika Sugu hakina tatizo lolote ndio lugha ya kisasa ya Vijana wengi wapiga kura mwaka 2015, kaka hao wanaotumia lugha hiyo ndio 65% ya wapiga kura uchaguzi ujao sasa kwa maneno kama yako ni vigumu sana kuwapata hawa kutupigia kura, kaka badilika huu sio ule wakati wa kizamani lazima kwenda na wakati,

- Halafu kwenye all your arguments unashindwa kukubali kwamba Sugu ni Mbunge aliyekuwa akiimba na kuongea hii mlugha kabla hajwa sasa kwa nini hukuenda kuwaambia wananchi wa jimbo lake wasimchague kwa sababu ya lugha zake za muziki, unakuja kulia now ameshakuwa mbunge eti ndio unamwambia aache lugha iliyompa ubunge foolish thinking kaka tafuta hoja za msingi huu ni ujinga at best!!

Le Mutuz
 
Mimi nafahamu kabisa, SUGU BADO ANAVUTA. na anakunywa KONYAGI sana, inawezekana wakati anaandika huu ujumbe alikuwa keshapata mojawapo ya vilevi hivi au vyote kwa pamoja.
Hivi haya maneno na ukitaka kula shurti uliwe kwanza na mimba za utotoni ni viherehere vyao ni yepi makali katika jamii. Yupo bwava mmoja hiyo kauli ya kuhusu mimba huwa inamtoa machozi kwa vile binti yake mdogo alipata mimba kwa kubakwa na mwalimu wake aliyekuwa na tabia kama za yule Katibu mkuu aliyekimbia ualimu na kujificha kwenye siasa
 
- Mawazo kama yako ni ya hatari sana na ndio maana CCM tunapata taabu sana kubadilika kwa sababu tuna watu kama wewe wasiotaka kubadilika, alichoandika Sugu hakina tatizo lolote ndio lugha ya kisasa ya Vijana wengi wapiga kura mwaka 2015, kaka hao wanaotumia lugha hiyo ndio 65% ya wapiga kura uchaguzi ujao sasa kwa maneno kama yako ni vigumu sana kuwapata hawa kutupigia kura, kaka badilika huu sio ule wakati wa kizamani lazima kwenda na wakati,

- Halafu kwenye all your arguments unashindwa kukubali kwamba Sugu ni Mbunge aliyekuwa akiimba na kuongea hii mlugha kabla hajwa sasa kwa nini hukuenda kuwaambia wananchi wa jimbo lake wasimchague kwa sababu ya lugha zake za muziki, unakuja kulia now ameshakuwa mbunge eti ndio unamwambia aache lugha iliyompa ubunge foolish thinking kaka tafuta hoja za msingi huu ni ujinga at best!!

Le Mutuz
Mpe shule uyo mwanachama mwenzio,akili yake inanata kama mafenesi,bichwa kubwa akili nukta...
 
- Kaka hata CCM hatuna vijana kama huyu, maana kule kuna waelewa wengi sana huyu najua mwenyewe chama chake labda cha Mrema!!

Le Mutuz
Kaka action speaks louder than words. Sijui maneno ya Sugu kama yanalingana na huyu "mzee" anayerukaruka ndani ya kundi la watoto.
image.jpg
 
@CTU,
Ulichoandika si ushauri, bali ni personal attack na kutaka kumvua nguo sugu, in vain!

Hebu jaribu kufanya homework kidogo, article kama yako hii ungempa mtu kama Jenerali Ulimwengu aandike in the same context, unadhani angetumia maneno ya kukera kama yako?...simply NO!

HUENDA UNA MANTIKI, lkn aina ya uwasilishaji wako una vionjo vinavyoashiria chuki zaidi kuliko uandishi-elimishi.
Ni hayo tu.
 
Mkuu, nina mashaka sana kama umefanya analysis ya kutosha kuhusu hadhara (audience) ya Mh. Sugu. Nadhani umeegemea zaidi kwenye ujumbe (message) bila kuangalia audience na means of commucation.
Ujumbe kama huo kwa audience ya vijana wa kizazi kipya ni appropriate kabisa, mi sioni tatizo.
Ujumbe huo kama umetumwa kwenye social meadia, FB, twitter, etc, hiyo ndo lugha ya huko.
Content ya ujumbe sina tatizo nayo kwa sababu emphasis haiko kwenye kuruka na chopa bali kwenye watu kuelewa na kulove ujumbe unaopelekwa kwa chopa.
Nadhani mkuu ulisahau hizo simple principles za commucation.
 
We riding in da sky with them choppers. And ppl on the ground understand and love our msg...
 
Bangi na gongo tu huyo aliyechaguliwa na wafuasi wa anayetaka kuhalilisha gongo
 
Kaka action speaks louder than words. Sijui maneno ya Sugu kama yanalingana na huyu "mzee" anayerukaruka ndani ya kundi la watoto.
View attachment 134319

- Kaka tumia akili kidogo sana, blog yangu inapitiwa na 55,000 visitors a day kati ya hawa 80% percent ni hawa vijana sasa unataka niwakimbie my clients wanaoniweka hapa mujini bongo? Yes I make money from that blog big money so infact tarehe 31/5/2014 nitawafanyia hawa Vijana bonge la party at Escape 1 Beach Club, I mean this is life and this are the times this are my clients I love them unajua kwa nini nitaenda nao na Blog mapaka wanakuwa watuwazima ndio mbinu za Biashara zinavyoataka uanze nao wakiwa Vijana, salute bro!!

Le Mutuz
 
- Kaka how old are you? Kwani umri wako kaka ndio unaokupa hii authority ya kumfundisha Sugu mbunge what to say and how to say? So foolish wewe ni mtu wawapi unayeamini kwamba wewe tu ndiye mwenye lugha safi ila Sugu kwa vile haongei kama wewe basi lugha yake sio nzuri then how come yeye ni Mbunge na wewe sio? Umri wako ndio nini kaka ndio unakupa sababu ya kuwa mburulazzz wa kundika ujinga like this wewe ni nani kwamba unajua the standard ya kuongea ila waliomchagua Sugu hawajui who are u mamen kwenye hili Taifa la Tanzania? Sugu ni mbunge maana yake ni kwamba wananchi waliomchagua walijua lugha yake ni yao ndio maana wakamchagua sio wewe mburulazzz!!

- Wewe una utamaduni gani ambao umekufanya usiwe mbunge na yeye asiyekuwa nao akawa? Nyamaza wewe huna hoja ila una wivu mimi siwapendi Chadema lakini sio kwenda this low, tunataka kubadilika wajinga kama wewe mnalilia ujinga ujinga wa kizamani, peleka huko kaka Wananchi wa Mbeya waliomchagua Sugu wanaridhika na lugha yake walijua hii ndio lugha anayoiutmia kwenye muziki wake anaoimba wewe mbona hawakukuchagua kaka? Wewe una utamaduni gani zaidi ya ujinga wa kusumbuliwa na wivu, wacha kaka huna utamaduni wowote zaidi ya kusumbuliwa na wivu huna hoja jadili Sugu Kushindwa kwa Sugu kufanya kazi yake lakini ya lugha zake kwa wapenzi wake wa muziki hayakuhusu kaka!!

- Kaka mimi sio level yako hii ni ngoma kubwa mambo yangu huyawezi wewe sema anything you want ila wajinga hawana maisha kama yangu, halafu jifunze kuongea on your behalf kwa sababu wewe huna ruhusa ya kumuongela anybody ni mjinga mjinga sana unless unawaongelea wajinga kama sio wenye akili, ukiwa na nafasi njoo hapa ofisini kwangu nikufundishe namna ya kutumia mitandao kupata pesa sio kuharibu majina ya watu kama Sugu ambao sio llevel yako kaka, Sugu anauza muziki wake kwa wananchi wanaopenda hiyo lugha na wananchi wa jimbo lake wamemchagua kwa kujua kwamba anatumia hiyo lugha, pole sana wewe huna mamalaka yoyote hapa nchini kaka wala hakuna anyekujua, so nyamaza tu,

- Siwapendi Chadema lakini this is too low, wewe kama huwezi kudeal na hiyo lugha funga masikio ila hata mimi naongea hiyo lugha na nipo ok, kama vipi njoo hapa ofisi yangu ipo hapa karibu na sanamu ulipokuwa ubalozi wa Uingereza nipo gorofa ya tisa, njoo nikufundishe namana ya kutafuta pesa kwenye mitandao sio kwa kutumia njia ya kuwatukana wabunge huwezi kaka, pole sana ila huna hoja kabisa kwa sababu wewe ni no body wa kuamualia lugha watu wengine Tanzania nani kakupa hayo mamalaka?

- Shut up mamen and mind your busnesss!!

Le Big Show


Hujaelewa masikini nakuuliza how old are you..
Nakuuliza una miaka mingapi kwa sababu ulichoongea kwa mara ya kwanza ni kama teenager ilhali nasikia una miaka zaidi ya Hamsini..so nikawa sielewi kama ile comment ambayo niliyokuwa naisoma mwanzoni ni ya mtu wa miaka zaidi ya hamsini au ni ya mtoto wa miaka 18 so nikauliza ku confirm..

Pili mie najua sio level zako kwani sina uthubutu wa kufanya ushuzi unaoufanya kila wiki mjini (sina haja ya kuorodhesha na sina muda huo) kwani unajulikana..

Tatu mkuu shukrani sana sina haja ya kuja ofisini kwako kujua jisni ya kutengeneza pesa kupitia sijui blah blah blah.. Kwani nina ajira yangu mie ninayoijua mie na mungu wangu ambayo inayoendesha maisha na familia yangu.
Na sijaelewa kwanini unaniambia nije ofisini kwako wakati mada hapa inamhusu sugu so inanifanya niwe na wasiwasi na upstairs yako

Kwaheri mkuu
 
- Kaka tumia akili kidogo sana, blog yangu inapitiwa na 55,000 visitors a day kati ya hawa 80% percent ni hawa vijana sasa unataka niwakimbie my clients wanaoniweka hapa mujini bongo? Yes I make money from that blog big money so infact tarehe 31/5/2014 nitawafanyia hawa Vijana bonge la party at Escape 1 Beach Club, I mean this is life and this are the times this are my clients I love them unajua kwa nini nitaenda nao na Blog mapaka wanakuwa watuwazima ndio mbinu za Biashara zinavyoataka uanze nao wakiwa Vijana, salute bro!!

Le Mutuz

Mtoto wa aliyekuwa mtu mkubwa nchini Tanzania.. Na hii ndio kazi uliyoichagua kuendesha maisha uako...
Congrats bro..
Kimoyomoyo nasikitika na kusema
SHAME.
 
mkuu CTU....watakunanga, watakutusi etc...

by the way mkuu....kwenye msafara wa mamba, kenge hawakosi.......JF ya sasa imejaa vifaranga, watakusumbua sana!
 
- Mawazo kama yako ni ya hatari sana na ndio maana CCM tunapata taabu sana kubadilika kwa sababu tuna watu kama wewe wasiotaka kubadilika, alichoandika Sugu hakina tatizo lolote ndio lugha ya kisasa ya Vijana wengi wapiga kura mwaka 2015, kaka hao wanaotumia lugha hiyo ndio 65% ya wapiga kura uchaguzi ujao sasa kwa maneno kama yako ni vigumu sana kuwapata hawa kutupigia kura, kaka badilika huu sio ule wakati wa kizamani lazima kwenda na wakati,

- Halafu kwenye all your arguments unashindwa kukubali kwamba Sugu ni Mbunge aliyekuwa akiimba na kuongea hii mlugha kabla hajwa sasa kwa nini hukuenda kuwaambia wananchi wa jimbo lake wasimchague kwa sababu ya lugha zake za muziki, unakuja kulia now ameshakuwa mbunge eti ndio unamwambia aache lugha iliyompa ubunge foolish thinking kaka tafuta hoja za msingi huu ni ujinga at best!!

Le Mutuz

Leo kaka umeongea point.
 
Hujaelewa masikini nakuuliza how old are you..
Nakuuliza una miaka mingapi kwa sababu ulichoongea kwa mara ya kwanza ni kama teenager ilhali nasikia una miaka zaidi ya Hamsini..so nikawa sielewi kama ile comment ambayo niliyokuwa naisoma mwanzoni ni ya mtu wa miaka zaidi ya hamsini au ni ya mtoto wa miaka 18 so nikauliza ku confirm..

Pili mie najua sio level zako kwani sina uthubutu wa kufanya ushuzi unaoufanya kila wiki mjini (sina haja ya kuorodhesha na sina muda huo) kwani unajulikana..

Tatu mkuu shukrani sana sina haja ya kuja ofisini kwako kujua jisni ya kutengeneza pesa kupitia sijui blah blah blah.. Kwani nina ajira yangu mie ninayoijua mie na mungu wangu ambayo inayoendesha maisha na familia yangu.
Na sijaelewa kwanini unaniambia nije ofisini kwako wakati mada hapa inamhusu sugu so inanifanya niwe na wasiwasi na upstairs yako

Kwaheri mkuu

- Kaka naomba kukwambia tena kwamba huna hoja nyamaza tu huna mamlaka yoyote ya kuwamulia watu wengine kwenye hili taifa namna ya kuongea umri wako umri wangu hauna anything to do na JF, Sugu ni Mbunge wewe sio kama lugha yako inagkuwa inakubalika wewe ungekuwa Mbunge sio sugu, maisha yangu hayakuhusu na yako hayanihusu hapa kinchotuhusu ni Taifa, mimi I am fine na maisha yangu tena I am happy than anytime in mylife now, I work for my self I am having a lot of fun with my life, sikujui ila wewe unanijua mpaka all the fun of mylife maana yake ni kwamba unanishobokea maana mimi sikujui wewe unasemna unanijua pole sana, msiwe mnakurupuka huku na hoja mufilisi!!

Le Mutuz
 
Mkuu, nina mashaka sana kama umefanya analysis ya kutosha kuhusu hadhara (audience) ya Mh. Sugu. Nadhani umeegemea zaidi kwenye ujumbe (message) bila kuangalia audience na means of commucation.
Ujumbe kama huo kwa audience ya vijana wa kizazi kipya ni appropriate kabisa, mi sioni tatizo.
Ujumbe huo kama umetumwa kwenye social meadia, FB, twitter, etc, hiyo ndo lugha ya huko.
Content ya ujumbe sina tatizo nayo kwa sababu emphasis haiko kwenye kuruka na chopa bali kwenye watu kuelewa na kulove ujumbe unaopelekwa kwa chopa.
Nadhani mkuu ulisahau hizo simple principles za commucation.

Mkuu unayoyasema ni kweli ila kuna vitu kadhaa umevisahau..
Social media ya sasa hivi sio sawa na social media ua 2014 kuna kila mtu huwezi sema tu sijui you ride bla bla bla with them choppers. Hata kama watu watakuelewa wataona there is something wrong...

Pili unajua mkuu kuna lugha ambazo mtu na mtu wanaongea au mtu na watu Mbunge ni mtu mwenye status kwenye jamii mimi kama mimi siwezi kwenda kwa mbunge then nikamwambia "whatssap" mheshimiwa ataniona mie chizi..
Kama kuna haja ya kutumia kingereza tunatumia plain and old salutations

Same thing kwake ni ajabu tena sana kuja kuniambia "whatsaap" wapiga kura wangu.. Kama kuna nia ya kutumia kingereza basi atumie same old salutation kama ilvyokuwa pale alitakiwa atumie old words..

Akitumia vingine ni tatizo mkuu
 
Back
Top Bottom