Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

Wivu wa kike

Tumia akili kidogo tu! Wewe ni verified user halafu unaandika ujinga. Any way jina lako linatoa uelekeo wa kitu unachotaka kukisikia. Unapenda wabunge wa CDM wasifiwe hata kama ni kinyaa! Ila ngoja nikwambie kitu, hata siku moja nchi hii haitakuja kutawaliwa na genge la mbumbumbu (CDM). Hatuwezi kusoma halafu tuje tutawaliwe na mbumbumbu walioshindwa shule. Take it or leave it.
 
Umeharibu Hapo ulipo muweka Level moja Zitto na Dr.

Pia ulipoweka Level moja Dr. Na dr.dr.dr.dr.

Hivi huoni tofauti hapo ?
 
Tumia akili kidogo tu! Wewe ni verified user halafu unaandika ujinga. Any way jina lako linatoa uelekeo wa kitu unachotaka kukisikia. Unapenda wabunge wa CDM wasifiwe hata kama ni kinyaa! Ila ngoja nikwambie kitu, hata siku moja nchi hii haitakuja kutawaliwa na genge la mbumbumbu (CDM). Hatuwezi kusoma halafu tuje tutawaliwe na mbumbumbu walioshindwa shule. Take it or leave it.

Hahaa!
Now ur Talking.

Kumbe chuki ni CDM kuongoza nchi ?

Vipi Nyie ni kina nani Tanganyika mpaka mjifanye mna hati miliki?

Hakika ipo siku kitanuka.
 
nimesoma zaidi ya mara mbili sijaelewa tatizo lipo wapi
 
sugu nimecheza nae sana kamali sishangai kutoa maneno ya utombo
 
... Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi aliwaandikia maelfu ya wafuasi wake au tuseme wapiga kura wake message hii

CDM: We riding high in the sky with them choppers...n people on the ground all over understand n love our messages ...

...
Aliwaandikia kupitia chombo gani, Facebook, e-mail, JF au sms? Ni vizuri kujua ni aina gani ya wananchi waliopokea ujumbe huo, na mara zote kila chombo cha kufikishia ujumbe huwa kina aina za lugha zake kutokana na aina ya watu wanaopatikana kwenye mtandao wa chombo hicho. Naomba nijulishwe Sugu aliufikisha huo ujumbe kupitia nini?!
 
Kiukweli a member of parliament should bare an inspirational depction.
Tuweke ushabiki pembeni, mi huwa sivutiwi kabsa na actions za sugu na lema. i.e kwenye ule mkutano wa dsm recently Lema aliaddress kihuni.
 
Kwani sugu amesoma wapi,
alipiga piga misele pale mbeya dei
katoka kama alivyoingia;

Ni ujanja ujanja tu ndo umemfikisha hapo alipo.

Na ubunge wenyewe ndo mwisho sasa kwani nani anataka mbunge maimuna?
katiba ishamalizana nao.
 
Mitandao ya kijamii imekuwa kama ni moja ya nyenzo ya mawasiliano baina ya "mtu na mtu" na hata "mtu na watu"

Wafanyabiashara mbalimbali wamekuwa wakitumia mitandao hii kama njia moja ya mawasiliano na wateja wao hivyo hivyi na wanasiasa wamekuwa wakitumia mitandao hii kwa ajili ya kuwasiliana na wananchi wao au tuseme wapiga kura wao

ila kuna kitu nimekiona sio sawa kinachoendelea ndani ya mitandao hii ya kijamii.. nayo ni aina ya uwasilishwaji wa ujumbe kutoka kwa watu hao kwenda kwa wananchi wao..

sijui niseme ni usela, au utoto content inaweza kuwa ni nzuri ila sasa kwa jinsi ilivyoandikwa inakuwa ni utumbo kama sio ushuzi mpaka unakaa unasema huyu kweli na umri huu anaweza kufanya hili anayoyafanya

naweza kusema kuwa ni elimu ila pia nasema ni kutojitambua kwani kuna watu wengi hawana degree wala masters ila kwa umri wao wanafanya mambo ambayoni ya kistaarabu, uongeaji wao na uandishi wao unafuata staha

Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi aliwaandikia maelfu ya wafuasi wake au tuseme wapiga kura wake message hii

CDM: We riding high in the sky with them choppers...n people on the ground all over understand n love our messages ...

sio mara moja au mara mbili uandishi wa Mh huyu unakuwa ni wa utata na usioendana na hadhi yake ya
mbunge na watu wa aina hii ndio wanafanya ubunge kuwa kama ni kazi ya wahuni na wavuta bangi ndio maana sitashangaa kesho Afande Sele nae anasema anataka kwenda bungeni.

wote tunaelewa sugu alikuwa msela na mwanamziki wa bongo fleva lakini pia aelewe nyakati zinabadilikka aangalie na muktadha wa kuandika na kuongea maneno ajue neno gani alitumie wapi akiwa chini ya kivuli gani

sugu kama anajua yeye shule haipo aajiri basi mtu wa kuwa anamwandikia alieyeenda shule mtu ajue ni jinsi gani ya kuandika na kufikisha ujumbe kwa watu na watu wakamwelewa....
sio anaandika ujumbe kwa wananchi wake au wapiga kura wake anaandika kama vile yuko studio na p funk wanarekodi nyimbo...

Ubunge una hadhi yake katika jamii na ndio maana wenzetu wana ma PA sidhani sugu kama ane... kama anae basi atakuwa ni MGOSI MKOLONI ambaye nae ni wale wale..

Sugu ajitambue ajue Mbeya, Tanzania wako wanamwangilia yeye basi aact kama Mbunge sio anakuwa kama Mvuta Bangi
kutoka Uswahilini na kuanza kuandika ushuzi kama wavuta bangi wengine tu , Sugu ajitofautishe yeye na mtoto wa miaka 16 ambaye kazoea kuvaa supra na suluari za kubana ambaye kakurupuka asubuhi na kuanza kupost utumbo

Aangalie mfano kutoka kwa wanasiasa wenzake kama vile
ZITTO KABWE, SLAA, NA MH JAKAYA MRISHO KIKWETE

Mh sugu wewe ni mtu mzima bwana acha utoto kuwa kama Mbunge basi ni hayo tu

Mkuu mimi sikijui uzuri kizungu ,nnakuomba hebu nitafsirie nijue alimaanisha nini ili nianze kuchangia kuanzia hapo.

Mwisho umehitimisha kwa kumsifia Zitto na raisi wa nchi hii ndugu Jakaya Kikwete na Dk.Slaa kuwa ni mfano wa kuigwa.Mtoe dokta Slaa hao wengine waliosalia waliwahi kutoa kauli tata zisizo za kiungwana.
 
Hakuna uhuni hapo lbda nikutafsirie kwa kiswahili ujue maana yake
 
Mitandao ya kijamii imekuwa kama ni moja ya nyenzo ya mawasiliano baina ya "mtu na mtu" na hata "mtu na watu"

Wafanyabiashara mbalimbali wamekuwa wakitumia mitandao hii kama njia moja ya mawasiliano na wateja wao hivyo hivyi na wanasiasa wamekuwa wakitumia mitandao hii kwa ajili ya kuwasiliana na wananchi wao au tuseme wapiga kura wao

ila kuna kitu nimekiona sio sawa kinachoendelea ndani ya mitandao hii ya kijamii.. nayo ni aina ya uwasilishwaji wa ujumbe kutoka kwa watu hao kwenda kwa wananchi wao..

sijui niseme ni usela, au utoto content inaweza kuwa ni nzuri ila sasa kwa jinsi ilivyoandikwa inakuwa ni utumbo kama sio ushuzi mpaka unakaa unasema huyu kweli na umri huu anaweza kufanya hili anayoyafanya

naweza kusema kuwa ni elimu ila pia nasema ni kutojitambua kwani kuna watu wengi hawana degree wala masters ila kwa umri wao wanafanya mambo ambayoni ya kistaarabu, uongeaji wao na uandishi wao unafuata staha

Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi aliwaandikia maelfu ya wafuasi wake au tuseme wapiga kura wake message hii

CDM: We riding high in the sky with them choppers...n people on the ground all over understand n love our messages ...

sio mara moja au mara mbili uandishi wa Mh huyu unakuwa ni wa utata na usioendana na hadhi yake ya
mbunge na watu wa aina hii ndio wanafanya ubunge kuwa kama ni kazi ya wahuni na wavuta bangi ndio maana sitashangaa kesho Afande Sele nae anasema anataka kwenda bungeni.

wote tunaelewa sugu alikuwa msela na mwanamziki wa bongo fleva lakini pia aelewe nyakati zinabadilikka aangalie na muktadha wa kuandika na kuongea maneno ajue neno gani alitumie wapi akiwa chini ya kivuli gani

sugu kama anajua yeye shule haipo aajiri basi mtu wa kuwa anamwandikia alieyeenda shule mtu ajue ni jinsi gani ya kuandika na kufikisha ujumbe kwa watu na watu wakamwelewa....
sio anaandika ujumbe kwa wananchi wake au wapiga kura wake anaandika kama vile yuko studio na p funk wanarekodi nyimbo...

Ubunge una hadhi yake katika jamii na ndio maana wenzetu wana ma PA sidhani sugu kama ane... kama anae basi atakuwa ni MGOSI MKOLONI ambaye nae ni wale wale..

Sugu ajitambue ajue Mbeya, Tanzania wako wanamwangilia yeye basi aact kama Mbunge sio anakuwa kama Mvuta Bangi
kutoka Uswahilini na kuanza kuandika ushuzi kama wavuta bangi wengine tu , Sugu ajitofautishe yeye na mtoto wa miaka 16 ambaye kazoea kuvaa supra na suluari za kubana ambaye kakurupuka asubuhi na kuanza kupost utumbo

Aangalie mfano kutoka kwa wanasiasa wenzake kama vile
ZITTO KABWE, SLAA, NA MH JAKAYA MRISHO KIKWETE

Mh sugu wewe ni mtu mzima bwana acha utoto kuwa kama Mbunge basi ni hayo tu

Mbona sikuona ukimshauri Profesa na uambukizaji wa UKIMWI kwa watoto huogopi kuna watoto wanamuangalia kama kiongozi.
 
Kiukweli a member of parliament should bare an inspirational depction.
Tuweke ushabiki pembeni, mi huwa sivutiwi kabsa na actions za sugu na lema. i.e kwenye ule mkutano wa dsm recently Lema aliaddress kihuni.

Kiongozi ni mtu mwenye ushawishi ni lazima abadilike kulingana na mazingira lakini niulize swali ,kwani kiongozi huwa anazungumza kwa mzaha wakati wote au ni katika kusabahi tu wananchi?
 
Mitandao ya kijamii imekuwa kama ni moja ya nyenzo ya mawasiliano baina ya "mtu na mtu" na hata "mtu na watu"

Wafanyabiashara mbalimbali wamekuwa wakitumia mitandao hii kama njia moja ya mawasiliano na wateja wao hivyo hivyi na wanasiasa wamekuwa wakitumia mitandao hii kwa ajili ya kuwasiliana na wananchi wao au tuseme wapiga kura wao

ila kuna kitu nimekiona sio sawa kinachoendelea ndani ya mitandao hii ya kijamii.. nayo ni aina ya uwasilishwaji wa ujumbe kutoka kwa watu hao kwenda kwa wananchi wao..

sijui niseme ni usela, au utoto content inaweza kuwa ni nzuri ila sasa kwa jinsi ilivyoandikwa inakuwa ni utumbo kama sio ushuzi mpaka unakaa unasema huyu kweli na umri huu anaweza kufanya hili anayoyafanya

naweza kusema kuwa ni elimu ila pia nasema ni kutojitambua kwani kuna watu wengi hawana degree wala masters ila kwa umri wao wanafanya mambo ambayoni ya kistaarabu, uongeaji wao na uandishi wao unafuata staha

Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi aliwaandikia maelfu ya wafuasi wake au tuseme wapiga kura wake message hii

CDM: We riding high in the sky with them choppers...n people on the ground all over understand n love our messages ...

sio mara moja au mara mbili uandishi wa Mh huyu unakuwa ni wa utata na usioendana na hadhi yake ya
mbunge na watu wa aina hii ndio wanafanya ubunge kuwa kama ni kazi ya wahuni na wavuta bangi ndio maana sitashangaa kesho Afande Sele nae anasema anataka kwenda bungeni.

wote tunaelewa sugu alikuwa msela na mwanamziki wa bongo fleva lakini pia aelewe nyakati zinabadilikka aangalie na muktadha wa kuandika na kuongea maneno ajue neno gani alitumie wapi akiwa chini ya kivuli gani

sugu kama anajua yeye shule haipo aajiri basi mtu wa kuwa anamwandikia alieyeenda shule mtu ajue ni jinsi gani ya kuandika na kufikisha ujumbe kwa watu na watu wakamwelewa....
sio anaandika ujumbe kwa wananchi wake au wapiga kura wake anaandika kama vile yuko studio na p funk wanarekodi nyimbo...

Ubunge una hadhi yake katika jamii na ndio maana wenzetu wana ma PA sidhani sugu kama ane... kama anae basi atakuwa ni MGOSI MKOLONI ambaye nae ni wale wale..

Sugu ajitambue ajue Mbeya, Tanzania wako wanamwangilia yeye basi aact kama Mbunge sio anakuwa kama Mvuta Bangi
kutoka Uswahilini na kuanza kuandika ushuzi kama wavuta bangi wengine tu , Sugu ajitofautishe yeye na mtoto wa miaka 16 ambaye kazoea kuvaa supra na suluari za kubana ambaye kakurupuka asubuhi na kuanza kupost utumbo

Aangalie mfano kutoka kwa wanasiasa wenzake kama vile
ZITTO KABWE, SLAA, NA MH JAKAYA MRISHO KIKWETE

Mh sugu wewe ni mtu mzima bwana acha utoto kuwa kama Mbunge basi ni hayo tu

Hap ndo wabunge wetu tunaowaita wakombozi wa nchi hii na tunawashangilia kila wasemalo au watendalo tunasahau kuwa tunahitaji watu wenye busara kutuongoza si ushabiki
 
mtu mzima akichanganyikiwa hatibiki.ondoa utumbo hapa.
 
wewe ndio ulivyoandika hakuna point hapo
mie sijaongelea kupendwa kwa mbunge sugu mbeyaa mjini mie nimeongelea kujitambua kwa Mbunge sugu kuwa yeye ni mbunge na act kama Mbunge sio kuact kama mtangazaji wa planet bongo

Kuact kama Mbunge ni ku act vipi? Alafu unajua maana yak u act kweli? Hivi unajua Mbunge ni mwanadamu mwenye hisia anafurahi, anachukia na ana hisia? Kwa kuandika, “CDM: We riding high in the sky with them choppers...n people on the ground all over understand n love our messages ...” kuna tatizo gani? Je, ni uongo kwenye Operation yao wanayofanya hawaendi na Choppers? Ni si kweli kuwa watu wengi wanahudhuria mikutano yao ikionyesha kuwa wanawapenda?
 
wewe ndio ulivyoandika hakuna point hapo
mie sijaongelea kupendwa kwa mbunge sugu mbeyaa mjini mie nimeongelea kujitambua kwa Mbunge sugu kuwa yeye ni mbunge na act kama Mbunge sio kuact kama mtangazaji wa planet bongo

Tatizo la hili jukwaa kuna watu wana ubishi wa damu, ukisema kitu wamesha kurupuka ama chama au dini!! Huu ni ujinga! Mtoa thread amesema mambo ya maana kabisa kwamba Sugu ajirekebishe katika kuongea na kuandika, asiandike kihuni huni kama zamani alipo kuwa hajawa mbunge. Mbunge ni cheo kikubwa anapaswa kuji heshimu sana. MBONA Nkamia ana sakamwa kwa kauli yake ya siongei na mbwa? Kauli hii si ngeni kuisikia mtaani lakini si sahihi kutumiwa na mbunge tena bungeni!!!
 
Back
Top Bottom