Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

Hana UBUNGE 2015,kashasema hata gombea,na akigombea atakutana na akina Mbuzax(mbuza kiss)

huyo mbuza unamsema ww kwa taarifa yako ndani ya chama tu hakubaliki sembuse wananchi wa mbeya ambao hawataki hata kumsikia..na sugu alishaambiwa na wanambeya akigoma kugombea 2015 akaishi uhamishoni maana atakua amewasaliti wanambeya.
 
Sijaona tatizo katika ujumbe wa Sugu ila nimeona tatizo kwa huyu bwana kwa kutumia maneno ya kijinga kukosoa.Sijui yeye anawafundisha nini vijana.
 
huyo mbuza unamsema ww kwa taarifa yako ndani ya chama tu hakubaliki sembuse wananchi wa mbeya ambao hawataki hata kumsikia..na sugu alishaambiwa na wanambeya akigoma kugombea 2015 akaishi uhamishoni maana atakua amewasaliti wanambeya.

Nadhani hoja hapa ni ushabiki zaidi!!! na si kujengana, lakini kwa ushauri wa bure Mh. Sugu jitahidi kubadilika waangalie wapiga kura wako wanavyoibiwa mfano ni fedha za ujenzi wa soko zimeibiwa(variation ya 5b)+riba ya Crdb, mikopo ya hostel zisizoisha kutoka tamisem (loans boad) unyanyasaji kwa wananchi kwa kisingizio cha vibali vya ujenzi ambavyo wananchi hawana tatizo na vibali ila ni mfumo wa kukusanya fedha bila stakabadhi nk
 
M4C Pamoja daima, Snitches mtajibeba, Nape anavibrate kama simu ya kichina.-Sugu.

Ungejibu hivyo sasa sio kunipangia cha kusema utafikiri tuliletana humu mi sina cha M4C wala cha M4CCM utajibeba mwenyewe ambae hubebeki kwa mbeleko au shukaa
 
Kakurupuka tena na hii..sasa hivi
M4C Pamoja Daima: Niko kwenye msafara wa Dr Slaa,leo tumetua Santilya( Mbeya Vijijini), Vwawa ( Mbozi), Kasanga ( Kalambo) na jioni hii tumemaliza Sumbawanga Mjini...Ni nyomi za hatari snitches watajibeba, na kwa mwendo huu magamba hawachomoki 2015 na wao wanajua hili na ndio maana kina Nape wana-vibrate kama simu ya Mchina kwa hofu...

Utajibeba babu weee
 
wewe ndio ulivyoandika hakuna point hapo
mie sijaongelea kupendwa kwa mbunge sugu mbeyaa mjini mie nimeongelea kujitambua kwa Mbunge sugu kuwa yeye ni mbunge na act kama Mbunge sio kuact kama mtangazaji wa planet bongo

hivyo anavyo act ndicho tunachompendea sisi wana mbeya,,wewe hao wako wastaarabu wanao tukana bungeni si wamepewa unaibu uwaziri,jinsi walivyo act bungeni kwa kutukana imempendezesha rais kawapa unaibu,,
acha wivu sio kila usichokipenda wewe na mwenzako asikipende.
 
- Kaka hujui kazi zangu, labda niombe nikuambie maana hutaamini ninachofanya besides blog na soon nafungua Radio Station Morogoro na TV Station hapa Dar pamoja na mengine yote ninayofanya sasa kama mtoto wa mtu mkubwa kuwa na Radio Station na TV ni dhambi so be it mnasikia maneno maneno ya mitaani yasiyo na ukweli mnajibebesha vichwani na kujifanya kuwajua wengine hunijui wewe mburulazzz njoo nikuelemishe how I make my living Blog ni moja ya vtega uchumi vyangu uliza how much money I make from it huna hoja Sugu ni Mbunge aliyekubaliwa na wananchi wewe sio cause no body anakujua na lugha yako nzuri,

Le Mutuz

Hapo nakupa Like kubwa na nyingi...

Huyo jamaa hembu mwambie hata Lugha ya Obama...km ingekuwa miaka michache nyuma, halafu awe katoka nchi ndogo English ya Obama isingekubaliwa wala kusikilizwa ktk bunge au royal family ya UK...

Jamaa kawa trapped ktk mipaka ya aristocracy, mahali mtu akivaa jeans hawezi funguliwa mlango hadi awe ktk suti tena makini, mahali mtu hadi kuongea anahitaji fanya mazoezi ili apate pose la kwenda ongea na magacholi.....

Leo dunia imebadilika, wetehr unavaa km jamaa wa uarabuni,au km jamaa wa nigeria, au km akina mswati au km watu wa thailand, watu anapimwa kwa vitu vingine vinavyompa utu na heshima.

Kwa taarifa yake Obama kabadili na kulegeza sana utamaduni na standards za kijinga,kwanini sugu naye asiondoe vikwazo vya mawasiliano na kuleta uhuru...?watu wanahitaji kusema mawazo yao zaidi kuliko kuacha akili ktk utamaduni fulani wa kuongea.
 
Mawakala wa magamba, mmeuona moto wa Sugu leo Mbeya? Huo ndiyo utoto? Mtoto ni yule aliyekimbilia mahakamani baada ya moto kumuwakia!
 
hauna jipya kwani kuandika hivyo hakuna tatizo kwa wapiga kura wake kama mimi kilio cha watanzania sio uandishi bora bali ni usimamizi mzuri wa utajiri wetu hivyo badala ya kumwambia mbilinyi aeche utoto wambie mafisadi waache kuiba acha ukilaza ww
 
Back
Top Bottom