Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

- Kaka tumia akili kidogo sana, blog yangu inapitiwa na 55,000 visitors a day kati ya hawa 80% percent ni hawa vijana sasa unataka niwakimbie my clients wanaoniweka hapa mujini bongo? Yes I make money from that blog big money so infact tarehe 31/5/2014 nitawafanyia hawa Vijana bonge la party at Escape 1 Beach Club, I mean this is life and this are the times this are my clients I love them unajua kwa nini nitaenda nao na Blog mapaka wanakuwa watuwazima ndio mbinu za Biashara zinavyoataka uanze nao wakiwa Vijana, salute bro!!

Le Mutuz

Mtoto wa aliyekuwa mtu mkubwa nchini Tanzania.. Na hii ndio kazi uliyoichagua kuendesha maisha uako...
Congrats bro..
Kimoyomoyo nasikitika na kusema
SHAME.

Kubali tu yaishe leo umetokota na cha kufurahisha umefundishwa adabu na kada wa CCM Le Mutuz Big show king of all social networks.

Umbeaumbea wako usio na fact peleka kule jukwaa la celeb mtoto wa mama wewe.
 
Mitandao ya kijamii imekuwa kama ni moja ya nyenzo ya mawasiliano baina ya "mtu na mtu" na hata "mtu na watu"

Wafanyabiashara mbalimbali wamekuwa wakitumia mitandao hii kama njia moja ya mawasiliano na wateja wao hivyo hivyi na wanasiasa wamekuwa wakitumia mitandao hii kwa ajili ya kuwasiliana na wananchi wao au tuseme wapiga kura wao

ila kuna kitu nimekiona sio sawa kinachoendelea ndani ya mitandao hii ya kijamii.. nayo ni aina ya uwasilishwaji wa ujumbe kutoka kwa watu hao kwenda kwa wananchi wao..

sijui niseme ni usela, au utoto content inaweza kuwa ni nzuri ila sasa kwa jinsi ilivyoandikwa inakuwa ni utumbo kama sio ushuzi mpaka unakaa unasema huyu kweli na umri huu anaweza kufanya hili anayoyafanya

naweza kusema kuwa ni elimu ila pia nasema ni kutojitambua kwani kuna watu wengi hawana degree wala masters ila kwa umri wao wanafanya mambo ambayoni ya kistaarabu, uongeaji wao na uandishi wao unafuata staha

Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi aliwaandikia maelfu ya wafuasi wake au tuseme wapiga kura wake message hii

CDM: We riding high in the sky with them choppers...n people on the ground all over understand n love our messages ...

sio mara moja au mara mbili uandishi wa Mh huyu unakuwa ni wa utata na usioendana na hadhi yake ya
mbunge na watu wa aina hii ndio wanafanya ubunge kuwa kama ni kazi ya wahuni na wavuta bangi ndio maana sitashangaa kesho Afande Sele nae anasema anataka kwenda bungeni.

wote tunaelewa sugu alikuwa msela na mwanamziki wa bongo fleva lakini pia aelewe nyakati zinabadilikka aangalie na muktadha wa kuandika na kuongea maneno ajue neno gani alitumie wapi akiwa chini ya kivuli gani

sugu kama anajua yeye shule haipo aajiri basi mtu wa kuwa anamwandikia alieyeenda shule mtu ajue ni jinsi gani ya kuandika na kufikisha ujumbe kwa watu na watu wakamwelewa....
sio anaandika ujumbe kwa wananchi wake au wapiga kura wake anaandika kama vile yuko studio na p funk wanarekodi nyimbo...

Ubunge una hadhi yake katika jamii na ndio maana wenzetu wana ma PA sidhani sugu kama ane... kama anae basi atakuwa ni MGOSI MKOLONI ambaye nae ni wale wale..

Sugu ajitambue ajue Mbeya, Tanzania wako wanamwangilia yeye basi aact kama Mbunge sio anakuwa kama Mvuta Bangi
kutoka Uswahilini na kuanza kuandika ushuzi kama wavuta bangi wengine tu , Sugu ajitofautishe yeye na mtoto wa miaka 16 ambaye kazoea kuvaa supra na suluari za kubana ambaye kakurupuka asubuhi na kuanza kupost utumbo

Aangalie mfano kutoka kwa wanasiasa wenzake kama vile
ZITTO KABWE, SLAA, NA MH JAKAYA MRISHO KIKWETE

Mh sugu wewe ni mtu mzima bwana acha utoto kuwa kama Mbunge basi ni hayo tu

Fidel Castrol hata kiingereza hajui. Wanarekani walimhara. Na Sugu mtamhara tuuuu. Utekelezaji wa majukumu si kiingereza . Hao wa kwenu na vyeti fake wamefanya nini?
 
usitake kujifanya wewe ndio msomi sana...kwanza umeshajipa mamlaka ya kuhukumu watu,kwani afande selle sio binadamu hadi asigombee ubunge,mganga maji marefu ni mbunge na elimu yake ya darasa la saba sembuse afande sele....nikirudi kwa sugu huyo ndo muache kabisa aisee maana kwanza sijaona alipoandika tusi ila nnachojua wabunge waliokosa nidhamu ni wa chama chakavu..mwingine juzi mtema mate bungeni kapelkwa hazina..kwa taarif yako sugu mbeya sio mbunge ila ni rais wa mbeya..ukitaka kuprove nenda mbeya kamseme vibaya utapata majibu....m4c pamoja daima...kama imewauma na nyie igeni mkodi chopper 200 mzunguke nchi nzima muone mtavyoumbuka.
 
Kubali tu yaishe leo umetokota na cha kufurahisha umefundishwa adabu na kada wa CCM Le Mutuz Big show king of all social networks.

Umbeaumbea wako usio na fact peleka kule jukwaa la celeb mtoto wa mama wewe.

Hakunaga watu ambao hawasumbui kichwa changu kama MAKUBWA JINGA

Na kamwe KUBWA JINGA hana cha kunifundisha wakati yeye mwenyewe ana vitu vingi vya kujifunza

So kama ulitegemea amenifundisha adabu huyo KUBWA JINGA you are wrong
 
wewe ndio ulivyoandika hakuna point hapo
mie sijaongelea kupendwa kwa mbunge sugu mbeyaa mjini mie nimeongelea kujitambua kwa Mbunge sugu kuwa yeye ni mbunge na act kama Mbunge sio kuact kama mtangazaji wa planet bongo

wananchi wa mbeya mjini hawakumchagua sugu kwa ajili ya kuwaaandikia makala zenye kuvutia zisizo na faida au kuwapa taarifa kwa maandishi mazuri yalijaa uongo ndani..yeye alichaguliwa ili afanye kazi na wananchi wameridhika na kazi aliyofanya.na pia katika andiko lake hajatukana wala kusema uongo..then asilimia kubwa ya anaowaandikia ni vijana so hawezi kuandika kama nyinyi wa zidumu fikra za mwenyekiti.
 
Hilo bandiko la sugu liko sawa tu. Hata ingetolewa na mbunge wa CCM ningeiona sawa. Lakini la muhimu ni kwamba huo ujumbe unatolewa na nani. Haina maana kwamba mtu aliyekuwa mbunge hawezi ongea lugha inagoendana na hulka yake hata kama ni mbunge. Hizo lugha zinaongelewa na kuandikwa na mamilioni ya vijana nchini na kote ulimwenguni kila siku. Lugha zinazileta utamu kuzisikia kwa wake wasioziba sikio zao kusikia lugha za kuwasiliana kwa rika na kafa zote. Inggeandikwa na Dr. Slaa ningeshangaa lakini kwa kuwa imeandikwa na sugu ni sawa tu. Anatumia sanaa ambayo Dr. Slaa, Kikwete na Lipumba hawawezi kutumia.
Usitegemee siku moja sugu atakuwa Rais au mwalimu darasani
Atafanya sehemu yake kwa llugha tamu ya kisela, ujumbe utafika kuliko hayo maandishi ya formal unayodhani ndiyo yanafikisha ujumbe.
 
Mbunge kama huyu anayevuta kwanini yupo Bungeni??

ipo siku wabunge wa aina hii watataka muswada wa bangi ihalalishwe Tanzania...

ipo tu siku

Kuna watu wanavuta na wana akili nzr, na kwa taarifa yako kuvuta cku zijazo kutahalalishwa make Traffic wa dunia (USA) kasha anza kuruhusu baadhi ya majimbo, kama ni wivu wa kuvuta kwea pipa kavute Amerika; ww huvuti mdomoni ila unavuta chini (unatumia kichwa cha chini) sana. Ww jadili watu walio na degree fake waliojazana sisiem achana na maisha ya m2 binafsi na mambo ya mitandaoni.
 
Kakurupuka tena na hii..sasa hivi
M4C Pamoja Daima: Niko kwenye msafara wa Dr Slaa,leo tumetua Santilya( Mbeya Vijijini), Vwawa ( Mbozi), Kasanga ( Kalambo) na jioni hii tumemaliza Sumbawanga Mjini...Ni nyomi za hatari snitches watajibeba, na kwa mwendo huu magamba hawachomoki 2015 na wao wanajua hili na ndio maana kina Nape wana-vibrate kama simu ya Mchina kwa hofu...

Mkuu akipost tena tuletee, maana inaonekana ni shabiki wake mzuri sana pamoja na lugha zake unazosema hazina staha.!
 
Ni kweli kabisa Nkamia, Serukamba ni moja ya watu waliotoa kauli tata.. Ila ni mara moja hii ya sugu sio mara moja anakuwa anakosea jinsi ya kuwasilisha ujumbe hata kama anakuwa ana message nzuri ya kuongea na wananchi wake

Nakubaliana na wewe mkuu kwa asilimia mia moja

sorry hivi wewe unawawakilisha wananchi wa mbeya mjini?maana wao hawajawahi lalamika kua sugu anakosea namna ya kuwafikishia ujumbe maana nakumbuka kuna siku haohao wananchi wa mbeya mjini waliwahi kumkanusha dr slaa aliposema mbunge wenu wamkamwambia rekebisha kauli sema rais wenu sio mbunge...labda rekebisha kauli yako sema hivi mimi huwa namwelewa vibaya sugu sio kusema sugu anakosea namna ya kuwasilish ujumbe kwa wananchi wake..
 
Mkuu kwanza kabisa nimeupenda mchango wako..
Sina tatizo na sugu kuwa mwanaharaki, sina tatizo la sugu kuwa rais wa mbeya kama anavyojiita ila mie mkuu kwenye baadhi ya post zangu nilisema kuwa iwapo mtu unauhakika unaweza kuhandle vitu viwili au vitatu kwa wakati mmoja basi uwe na double au multiple personality (white multiple personality)
Isiwe black ambayo inakuwa ni disorder

Message aliyoiwakilisha ni kama mwanasiasa..
Basi aongee kama mwanasiasa aweze kutwist kutoka sugu kwenda kwa Mh Joseph Mbilinyi...

Hiyo anatakiwa aijue sishangai hata alipofanya vurugu bungeni alishindwa kuelewa kule pale hakuwa sugu aliyekuwa anabishana na polisi kipindi kile na sasa hivi ni Mbunge ambaye pale yuko bungeni na anayoyafanya pale ni kujishushia heshima yeye, wananchi wake na familia yake japokuwa haikunishangaza sana kuwepo kwa watu walioshabikia ujinga ule

kaka sugu hajiiti rais wa mbeya ila wanambeya wenyewe ndio walianza kumuita rais baada ya kutokea vurugu kati ya wamachinga na polisi hali iliyopelekea hadi jeshi la wananchi kuongeza nguvu baada ya polisi kushindwa japo nalo lilishindwa kudhibiti hali ile ikabidi sugu atoke bungeni kurudi jimboni na ilimchukua only 30 minutes kuweka mambo sawa na ndo hapo wakaanza kumuita rais wa mbeya haijawahitokea sugu akasema yy ni rais wa mbeya bali wananchi wa mbeya ndio wanamwita hivyo
20090101_046.jpg
 
- Kaka hebu andika hoja Sugu ni mbunge it does not matter anaandika nini kwani wananchi walipomchagua hawakujua kwamba ni bongo Fleva star, sasa walitegemea nini hasa ipi tofauti ya yeye kuandika hivi au wabunge na viongozi wezi wanaobehave kama unavyotaka, sometimes mnaudhi sana humu kosa la Sugu hapo ni nini kuandika lughja anayoijua sana angesema Obama ingekuwa sawa wewe unakumbuka Obama alipikuja mke wake alivaa nini? Mbona hukuja kulia huku kuwa mke wa Obama hakuvaa sawa?

- Please hebu tumieni hizi nafasi kuelimisha wananchi matatizo na solution, wewe mtumzima na akili timamu unahangaika na lugha ya Bongo Fleva who happen to be Mbunge, badala ya kualalama na viongozi wezi wanaouturudisha nyuma please leave the man alone kaka!!

Le Mutuz

kaka sasa naona uzalendo wa kweli umekuingia hapo tunaenda sawa..tujadili matatizo ya nchi na viongozi wanaolipeleka taifa motoni na sio kujadili wakina sugu wameandika nini....
 
Hakunaga watu ambao hawasumbui kichwa changu kama MAKUBWA JINGA

Na kamwe KUBWA JINGA hana cha kunifundisha wakati yeye mwenyewe ana vitu vingi vya kujifunza

So kama ulitegemea amenifundisha adabu huyo KUBWA JINGA you are wrong

Umejinyea ka vibaka wa Kidonge chekundu mnazi mmoja pale
 
Hivi mkuu naomba nikuulize swali dogo tu
Ni kitu gani cha wana mbeya mlichomtuma sugu akakiwakilisha bungeni..?

sisi hata asipowasilisha bungeni haina shida kikubwa aliyoahidi yamekamilika..
1.aliahidi barabara ya lami km 33 lakini hadi hv sasa ni zaidi ya km 75 zina lami
2.aliahidi nyumba za walimu tayari zimekamilika
3.aliahidi vitanda 150 katika hospitali ya rufaa,wazazi meta na hospitali ya mkoa vilishapelekwa
4mfuko wa elimu wa jimbo unafanya kazi
5.mfuko wa kusaidia wazee wasiojiweza unafanya kazi
6.mabwawa ya samaki aliyazindua waziri mkuu pinda
7.ukarabati wa viwanja vya michezo mitaan unaendelea
8.uwazi katika taarifa za fedha zinazotolewa na bunge kwa ajili ya maendelea ya jimbo.

hapo hatuhitaji atufikishie ujumbe kwa kuandika unavyotaka wewe..
nb:sugu anaishi uhalisia haigizi kama mprof wanaoambukiza watoto ukimwi kwa makusudi.
 
Mtoto wa aliyekuwa mtu mkubwa nchini Tanzania.. Na hii ndio kazi uliyoichagua kuendesha maisha uako...
Congrats bro..
Kimoyomoyo nasikitika na kusema
SHAME.

si bora huyu ameamua kujishughulisha na hii inampa pesa halali kuliko aliekamatwa china na mihadarati matokeo yake tumewapa wachina gesi ili asinyongwe....
 
C.T.U hiyo msg imeandikwa kangreza labda wewe ungetufafanulia kiswahili ili tujue Sugu alikuwa anasemaje
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unayoyasema ni kweli ila kuna vitu kadhaa umevisahau..
Social media ya sasa hivi sio sawa na social media ua 2014 kuna kila mtu huwezi sema tu sijui you ride bla bla bla with them choppers. Hata kama watu watakuelewa wataona there is something wrong...

Pili unajua mkuu kuna lugha ambazo mtu na mtu wanaongea au mtu na watu Mbunge ni mtu mwenye status kwenye jamii mimi kama mimi siwezi kwenda kwa mbunge then nikamwambia "whatssap" mheshimiwa ataniona mie chizi..
Kama kuna haja ya kutumia kingereza tunatumia plain and old salutations

Same thing kwake ni ajabu tena sana kuja kuniambia "whatsaap" wapiga kura wangu.. Kama kuna nia ya kutumia kingereza basi atumie same old salutation kama ilvyokuwa pale alitakiwa atumie old words..

Akitumia vingine ni tatizo mkuu

ww una matatizo!!!nimeanza kuamini kuwa una wivu wa kike..maana le mutuz kakuelewesha bado unakua mbishi matokeo yake unaanza kusema oooh sijui mtoto wa aliyewahi kua mtu mkubwa nchini umeamua kutafuta pesa kwa njia hiyo.we inakuhusu nini kwan anaiba au anakuja kuomba kwako?..achana na sugu bwana sio level zako wanambeya wanaielewa lugha yake na kwa taarifa yako kipindi kile wametolewa bungeni sugu alipoenda kushitaki kwa wanambeya alianza kwa kusema hv nanukuu "ndugu zangu wanambeya muda huu nilitakiwa niwe bungeni kufanya kazi mliyonituma lakini kwa sababu ya udwanzi wa kiti cha spika ndio mana mnaniona hapa"mwisho wa kunukuu.sasa ungeyasikia haya si ungenunu kipindi tbc kuueleza umma kwamba sugu hajui kuongea na wananchi?acha hizo kaka fanya yako achana na maisha ya watu ambao si level zako.
 
Back
Top Bottom