Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

vijineno vimeanza, samehe yote anza upya.
R.I.P mheshimiwa.
 

May his soul R.I.P
 
kwa maana hiyo huyo jamaa hakuawa mbunge kwa sababu hakuwahi kuapishwa, je bunge litashughulikia mazishi yake?.wadau nipeni ufafanuzi.
 
R .I. P. Bwn Jeremiyha Sumari Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake liinuliwe!!!!!!!!!!! Poleni wafiwa Bwana awatie nguvu kukabiliana na majukumu kipindi hiki cha msiba!!!!!!

 
Huyu ni ndugu wa tatu wa nyumba moja kufa na Kansa ya Ubongo.....tumeshazika ndugu zake wawili kwa ugonjwa huo huo..hofu yangu ni kwamba je, watoto wao watakuwa salama? coz ni kama kitu cha kurithi hivi!!
 
Huyu ni naibu waziri wa fedha; though na yeye ni mbunge it could be to put it kwamba msiba huu ni wa Serikali zaidi tofauti na wa dada.
 
Pole kwa familia yake,
Pole kwa chama chake,
Pole kwa wana arumeru na waTanzania wote.
 
Duh!RIP Jeremiah na ulikuwa unakubarika sana Jimboni kwako kiasi cha kushinda ukiwa mgonjwa.Tusubiri wanaume waingie tena kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…