Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

Poleni wafiwa, mtoto wake wa kiume nadhani kaowa kwa lowasa? au vinginevyooooo...
 
Wakuu naona bado ni tetesi... Maana kila nikimpigia mtu wa karibu nae hakuna hata mmoja mwenye taarifa za msiba wake ila wanadhibitisha kuwa alikuwa kalazwa MOI. Ebu mwenye tarifa za uhakika atujuze kwa undani zaidi
 
R.I.P. Jerimia, punzika kwa amani. kama utaongeza speed utamkuta Regia njiani. wasiwasi ni kwamba mkifika njia panda kila moja ataenda njia yake!
Mmoja mkono wa kuume
Mmoja mkono wa kushoto.
Rest In Peace.
 
Rip sumari!poleni ndugu jamaa na marafiki pamoja na wananchi wa arumeru mashariki!rip hon.
 
Wakuu naona bado ni tetesi... Maana kila nikimpigia mtu wa karibu nae hakuna hata mmoja mwenye taarifa za msiba wake ila wanadhibitisha kuwa alikuwa kalazwa MOI. Ebu mwenye tarifa za uhakika atujuze kwa undani zaidi
Mkuu kuna mtoa taarifa humu amesema source ni MOI! Unajua tena JF ipo kila mahali hata hapo ulipo ipo(yaani wewe!).anyway Invisible huwa halali ata confirm soon!
 
Kuna habari zimenifikia sasa havi kwamba Mbunge huyu amefariki!.

Mbunge huyu alikuwa mgonjwa na hakuapishwa 2010.

Alipelekwa India na iliandikwa hapa jukwaani, hali ilikuwa mbaya sana!

Baada ya kupata matibabu ya uvimbe kwenye ubongo, alirudishwa kimyakimya na sasa nimesikia amefariki.

Je ni kweli? we want some body o confirm.
 
Back
Top Bottom