Nafikiri hakuapa sababu ya kuumwa! RIP MH SUMARI
je, mpaka anafariki alikuwa mbunge? Poleni sana wafiwa.
Someni KATIBA ya JMT imo humu JF.Ni swali gumu sana. Kwa ufupi huyu si mbunge maana hakuapishwa hivyo hayupo kwenye jurisdiction ya speaker. Hivyo wala speaker hatatangaza jimbo li wazi ila tu tume ya uchaguzi itaitisha uchaguzi mpya. jamani vita ya Arumeru itakuwa balaa
nilisikia muda mrefu kuwa yu mgonjwa lakini sikusikia kama aliwahi kupelekwa india kwa matibabu kama wenzie................. Hivi kumbe kupelekwa india kwa matibabu inategemea na nafasi uliyo nayo serikalini!
Mungu amlaze mahali pema peponi...............amina
rip bwana sumari
Hawana jinsi. CHAMA walishakigawana hiki. Na NCHI pia wanamalizia kugawana.Mkuu inamaana ccm watalazimika kumwangukia tena EL ili waokoe jimbo?Huu ndiyo utakuwa mwisho wa neno "kujivua gamba"kusikika ndani ya ccm na mtaji kwa cdm kuelekea 2015
R.I.P. Mzee Sumari
Tunatarajia upendo ulioonyeshwa na wana ccm kwenye mazishi ya dada Regia tutauona kwa wanachedema pia kwenye msiba huu!
kodi zetu jamani. Tuendelee kuigharamia siasa tu. Angalau tungekuwa tunapima afya zetu kabla ya kugombea.
Poleni wafiwa, mtoto wake wa kiume nadhani kaowa kwa lowasa? au vinginevyooooo...
hata sisi mbunge wetu ni labda ni marehemu. Sijawahi kumwona tangu aapishwe.
Poleni wafiwa, mtoto wake wa kiume nadhani kaowa kwa lowasa? au vinginevyooooo...
HAPO SASA? Ubunge wenyewe hajauhalalisha kaongezewa na unaibu waziri, KATIBA MPYA INAHITAJIKA HARAKA SANA
Ni Jimbo gani? Tandahimba nini?Hata sisi mbunge wetu ni labda ni marehemu. Sijawahi kumwona tangu aapishwe.
Lala salama JEREMIA!, MUNGU WA Israel ambaye ndio mungu Ibrahim na Mungu wa Isaka atakufufua siku ya Mwisho!chadema naona wanafurahia sana vifo vya wenziwao, hata hii michango inaonyesha jinsi gani chadema walivyokaa kitumbo tumbo tu