Kutoka kitabu uso ya mbunge wa Nzega:
Nimepokea taarifa kuwa Madiwani walioungana na wananchi wa Nzega pamoja na mimi kupinga uamuzi wa Baraza la Madiwani kuzigawa pesa kwenye Kata wameadhibiwa na Kamati ya Siasa ya Chama Wilaya ya Nzega, bila kusikilizwa na ilhali miongoni mwa 'mahakimu' hawa ni watu waliokuwa wakilalamikiwa na madiwani na wananchi. Nimepewa taarifa kuwa mapendekezo ya adhabu dhidi yangu kutoka wilayani kwenda vikao vya juu, ...tena bila kusikilizwa maana nilitoa udhuru, ni kuwa ninyang'anywe kadi ya uanachama wa CCM! Nimeshangazwa sana na kusikitishwa na jinsi Chama kinavyoendeshwa Nzega. Ninaamini Viongozi wakuu wa Chama wanafuatilia kwa ukaribu na watachukua hatua stahiki. Kama chama hiki kimefika huku, kwamba kuna watu wana nguvu kuliko Chama, kwamba wachache wanaweza kuwaonea wengine kwa kuwa wana vyeo na mamlaka ya kufanya hivyo, na hakuna wa kuingilia kati na kusema 'no', basi sina haja ya kuendelea kupambana. Nimechoka, sintokata rufaa wala sintolalamika tena! Watekeleze hukumu hiyo. Sintojitetea na sintohudhuria kikao chochote kile kuanzia sasa. Nimechoka kupambana na watu wenye nguvu, nimechoka. Ni bora kuwa mnyonge lakini ukabaki na uhai, uzima, heshima na furaha yako.
Mimi ni Mfanyakazi wa H/shauri ya nzega huyu jamaa ni muongo na mpotoshaji Magamba wamemshughulikia kwakua alisema CCM ni Mzigo na Madiwani aw CCM nzg ni Mizigo ya Mavi,na 2010 wana nzega mjini mlifanya maamuzi sahihi kumpa kura Dk slaa Urais,ubunge mkanipa mm,udiwani Cuf hiki chama ni Mzigo.Hamna cha haki na hii kauli viongozi wetu walimtaka aseme haya alipokuja kuomba CDM na CUF wamsaidie kuandaa mkutano wa hadhara na yakifanywa maandamano mpaka kwa DC Baada ya Full council kupiga chini miradi alioleta akitaka ifanywe.Labda niwaeleze kwa ufupi.
Makamanda huyu gamba asipotoshe na Kutafuta Huruma,alileta miradi Yake Magamba wenzie wakamkatalia,na Mgogoro huu ni 2bn za mgodi Anaataka kuzilamba kwa kuanzisha miradi ya kuagiza Catappilar na Gari ya kuchimba visima kupitia kampuni Yake,Madiwani wakamgomea,Akaleta wazo la kuanzisha Benki ili kukopesha wananchi akaipa Jina Benki ya wananchi we nzg ,,Madiwani wakamkatalia wakadai hata wakianzisha Benki kwa Huo Maji bado itasismamiwa na Taratibu za kibenki na RIBA itakua sawa na Benki zingine wakamgomea . Hapa nzg huyu jamaa wanavutana na Bashe na Yule msomali anaangalia makosa ya huyu jamaa,Inasemekana Huko kwao Magambani alipoleta hoja ya Benki,Catappilar ,Gari la kuchimba kisima na kutembelea Ziara ya mafunzo Yule Msomali akawapiga shule Madiwani juu ya hii miradi akawaambia Ilani Yao haijatekelezeka na 2015 ktk kata zenu Hamna,zahanati,nyumba za waalim,maabara,Madawati,barabara,na mwaka huu shule msingi ya Mwisho kitaifa imetokea nzg,na mwanafunzi wa Mwisho katoka nzg pelekeni hizi fedha kuetekeleza Ilani ya uchaguzi hii miradi haina maslahi Benki haitawasaidia.na ili kuanzisha Benki ya aina hii lazima wananchi wanunue hisa Je mko tayari?na haya magari na Catappilar mbunge anaigiza kwa kampuni Yake wakstuka na kukubaliana na hoja hizo.
Pia kuna ishue ingineKigwa alitaka kupiga Dili Yake kupitia RIBA waliopata kwa kuziweka fedha Benki hizo 2bn Mkurugenzi akagomaMadiwani inasemekana walitaka kupitisha mradi Benki,Catappilar,na gari kuchimba Visima,na ziara ya kutembea Dodoma,Kilimanjaro,na Njombe ambayo ingetumia zaidi ya 80m. Sasa baadae wakambadilikia Wakasema hii miradi haina maslahi kwa Watu,fedha za ziara zitumike kulipa Motisha wauguzi na waalimu wanafanya kazi vijijini sana(Remote area) halafu hizo pesa 2bn ziende kujenga Nyumba za waalim,zahanati,na kuweka Umeme aw Solar ktk mashule na kuchimba Visima,Haya makatapila,na gari la kuchimba Visima yakija hapa yataleta Ufisadi na ukiritimba na hakuna wataalam wa kuyasimamia.Pia haiwezekani Kampuni ya Mbunge itumike kuagiza.
Swala Benki itaendeshwa kwa misingi na sheria za Fedha zinazosimamiwa na BOT na RIBA haitakuwa nafuu,hakuna wataalam,wananchi Kama kukopesha Council inatenga Kila mwaka asilimia 10 za Mapato zinakopeshwa hazirudishwi,na wananchi pia wananchi wanatakiwa kuchangia hii itatuletea Ufisadi Huko mbele,tulishindwa kusimamia Mabilioni ya JK itakua Benki?Baada ya Madiwani kubadilika jamaa akaandaa mkutano aw hadhara na Maandamano ktk Huo mkutano aliomba Nguvu ya Umma viongozi wetu wakampa Masharti jamaa atakubaliana basi mkutano ukafanyika yeye Ana agenda zake na Makamanda agenda kuishugulikia CCM ,akatangaza chama Mzigo,Madiwani Mizigo ya Mavi isiyokuwa waliomuunga mkono Madiwani watatu,maandamano na mnajua sisi makamanda maandamano ni Kama Maji Akapewa mabango kumshughulikia Katibu aw CCM,mwenyekiti wa CCM kuwa wote Mizigo wanamsaidia Bashe.
Hapa alishika Sharubu za Chama chake kwa kuwasifia wananchi kumnyima Kura Jk 2010 na pia kuwaita madiwani Mizigo ya Mavi na mwenyekiti aw CCM nzg na Katibu kuwa hawafai,jamaa wakamshughulikia inasemekana wameamua kumchukua Kadi Yao, Ila huyu jamaa is mkweli hata kidogo Aliwahi kuwaambia wananchi tunaenda kufunga mgodi aw resolute Watu wakaandamana kufika badala ya Kwenda resolute akaenda kufunga mgodi aw Mzawa sehemu inaitwa ISUNGA,akampiga kesi iPo Mahakama ya hapa nzg,Jamaa aliwakopa wananchi Pamba akawapa mbegu feki angalau sasa hivi wamekuja Wafanyabiashara aw shinyanga Anaitwa GAKI ndo kidogo amewaokoa wananchi aw hapa anawalipa kwa Wakati na jamaa kutoka singida,huyu jamaa aliwatapeli wananchi akawacheleweshea malipo na kwa halii hii hapa makamanda mabadiliko yamekaribia jamaa kavurunda sana hapa nzg,na sisi CDM na CUF tumekubalina tunamtumia yeye kuimaliza CCM,viongozi wenzie hapa wanaamini jamaa ni mtu wa JK na Mama Salma alivopata ubunge,alivomuondoa Mkurugenzi aliegoma kupiga nae Dili Jk kuja mkutano wa hadhara jamaa akasema huyu DED hafai aondoke Dhaifu nae kamuondoa.
Makamanda hapa huyu jamaa msaniii anatafuta Huruma