Mbunge Hamis Kigwangalla hatarini kuvuliwa uanachama CCM

Mbunge Hamis Kigwangalla hatarini kuvuliwa uanachama CCM

CCM hawana ubavu huo. Huyo Bwana ataendelea kupeta kwani kusema ukweli alikuwa anasimamia haki na maamuzi halali ya madiwani. Eti pesa ipelekwe kwenye kata?

Tiba
 
hawawezi mtimua bana,sio utamaduni wao,watamfukuza akitetea serikali3,lakini kwa mengine hawawezi
 
Kwa hili namuunga mkono Kigwangalla hata bila kujua undani. Nina sababu za kusema hivyo.
Bilioni 2.3 ni kwa ajili ya kutatua matatizo yanayowakabili wananchi wa Nzega.

Sote tunafahamu uwezo wa madiwani wetu katika kuchambua mambo.
Kupeleka pesa kwenye kata ni njia rahisi sana ya kuzigawa kwa wajanja wafanye mambo yao.

2.3 zikigawanywa kwa kata 10 ni sawa na milioni 230 kwa kila kata. Inahitaji watu wenye weledi kujua nini kipaumbele cha kata zao. Kwa ninavyofahamu hilo halitatokea, kitakachotokea ni kupaua shule moja pesa zimekweisha.Ndicho hasa madiwani wanataka ili kuondoa wingu wabaki wenyewe nazo.

Kuna kata katika wilaya moja walipewa ufadhili wa TASAF. Walipoulizwa nini wangependa kifanyike uongozi wa kata ukasema ni ujenzi wa soko ambalo lipo.

Utashangaa kata hiyo ina matatizo ya maji, pesa zingetosha japo kuvuta bomba kutoka vyanzo vya maji ya milimani kuwafikia na kupunguza mwendo unaogharimu muda wao wa uzalishaji.

Kilichotokea ilikuwa ni kushauri lijengwe soko kwasababu mwenye tenda ni mzee maarufu, aliyetengeneza matofali ni mzee, aliye supply cement ni mzee na viongozi wa kata wakafungiwa bahasha za elfu kumi kumi, that's it.

Nadhani HKigwangalla ana hoja.

Ukifatilia huyo mzee ana nguvu katika chama na watamsikiliza biashara imekwisha, CCM sasa iamue kuwatosa hawa wazee ili kujenga imani kwa wapiga kura.
 
Last edited by a moderator:
Huko wilayani kunaongozwa na serikali ya chama gani?..........hicho chama mtakachokitaja ndiyo muhasisi wa Ufisadi
 
Cjui kwann ila mnyongen mnyonge na mpeni haki yake,kwa hili kigwangala anayo point,na awasaidie wananchi wake kwa kutoruhusu huo us****.
 
Taarifa toka nzega ccm wamejipanga kuwatimua madiwani wake na mbunge wao kwaku dharau maelekezo ya ccm ktk kutekeleza ilani ya ccm kwakupitisha pesa ziende ktk miradi ya maendeleo vijiji hata kama ni kinyume cha taratibu za halmashauri lkn ccm wanalazimisha kuwa hivyo
 
Inategemea kama kavunja kanuni hapo sawa lakoni kufukuzana kibabe kama chadema siyo ishu lazima kosa lijulikana na vikao vyote mhimu viwepo siyo kama kadima mtei akisema hakutaki unaondoka.
 
Mbona magamba walishindwa kuyafukuza, juzi mizigo wameshindwa. Amini ni kitu kisicho wezekana.
 
_siku 90 za mafisadi
_meya bukoba
_mawaziri mizigo
_
ccm mzigo
 
Kama watabainika wana makosa watafukuzwa, mbona huwa mnapenda kufananisha chama na NGOS?
 
Taarifa toka nzega ccm wamejipanga kuwatimua madiwani wake na mbunge wao kwaku dharau maelekezo ya ccm ktk kutekeleza ilani ya ccm kwakupitisha pesa ziende ktk miradi ya maendeleo vijiji hata kama ni kinyume cha taratibu za halmashauri lkn ccm wanalazimisha kuwa hivyo
Ccm ipi hiyo?? Chama cha kuleana hakitathubutu kufukuza hata sisimizi acha mbunge.
 
Kwa ccm haiwezekani, ccm mkoa ikiwatimua Nape anawarudisha, Nape akiwaita mizigo JK anawaita majembe, Mukama na Nape wakitoa siku 90 za kujivua magamba Chenge anasema lake gumu limekwamia kiunoni.. Ilimradi vurugu tu.
 
Wanaogopa ccm,wamemwonea mansoor hamid wa znz kwakua kule kwepec kwao cuf wame waoa,watimue hata diwani mmoja tu bara waone mtema kuni kwa chadema
 
!
!
nadhani hawawezi kuwatimua kwa sababu ya utamaduni wa kulindana waliojiwekea. Wangekuwa washawatimua wengi, grarama ya kumfukuza mbunge au madiwani hawawezi kuilipa kabisa.
 
Back
Top Bottom