Chipsi Mayai
Member
- Jan 1, 2014
- 35
- 7
Hahahaaaaa! Kwikwiiiiii! Huhuhuuuu! Huyu jamaa aliye weka hii post nadhani ni mganga wa kienyeji kama mchawi, yaan huu ni wakati wa kulilia kubaki ccm badala ya kumshukuru mungu kwa kumwondoa kwenye dimbwi la majanga. Ccm hatariiiii, weka mbali na watoto.