Peter jaluo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 1,750
- 253
Ngumu sana
Inategemea kama kavunja kanuni hapo sawa lakoni kufukuzana kibabe kama chadema siyo ishu lazima kosa lijulikana na vikao vyote mhimu viwepo siyo kama kadima mtei akisema hakutaki unaondoka.
Thubutu,, Nani magamba!Taarifa toka nzega ccm wamejipanga kuwatimua madiwani wake na mbunge wao kwaku dharau maelekezo ya ccm ktk kutekeleza ilani ya ccm kwakupitisha pesa ziende ktk miradi ya maendeleo vijiji hata kama ni kinyume cha taratibu za halmashauri lkn ccm wanalazimisha kuwa hivyo
Inategemea kama kavunja kanuni hapo sawa lakoni kufukuzana kibabe kama chadema siyo ishu lazima kosa lijulikana na vikao vyote mhimu viwepo siyo kama kadima mtei akisema hakutaki unaondoka.