MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
- #61
Mkuu;Halima ana haki ya kutumia chochote kilichonunuliwa na serekali hata kama ni cha kifidhuli.
hela ya kununulia haikuletwa na Chato wala Hai!!
Hakuna sehemu ambayo kuna mtu amesema kuwa hana haki ya kupanda ndege.
Naona unajenga hoja kwa suala ambalo halipo na haliwezi kuwepo kwa sababu mbali ya kutumia kodi za walipa kodi ikiwepo pesa ya Mdee kununua ndege, pia Mdee amelipa nauli yake.
In fact, nimetoa pongezi kwa Mdee kupanda ndege ya ATCL.