MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
- #81
Mkuu;Mbona mmejaa sana kama sokoni???
Ama wanaruhusu na kusimama kama kwenye daladala??
Ndivyo inavyotakiwa.
Kumbuka ina uwezo wa kubeba abiria 262.
Mkuu;Mbona mmejaa sana kama sokoni???
Ama wanaruhusu na kusimama kama kwenye daladala??
Povu miiingiii as if unamlipia nauli..... Hivi wewe mara ya mwisho kupanda ndege ni lini vile?Bahati yake. Kutokea wapi?? Sio Arusha kweli?? Mwambieni aufunge mdomo hadi makesi yake yaishe
Povu miiingiii as if unamlipia nauli..... Hivi wewe mara ya mwisho kupanda ndege ni lini vile?
Kwa akili yako hii hata wewe tutaogopa kukuweka karibu na mamwinyi Wa Mombasa maana waweza wapa ushawishiKweli maana mabinti zetu tunapata shida kuwaweka karibu yake
Teh teh teh. Ebwahahahaha!Naona kaamua kupanda telibo tini hii nchi wanasiasa watu wa ajabu na isingekuwepo sijui angeenda na range yake,kila siku ooh bibi zetu kule kijijini hawawezi kupanda wakati dege limejaa mpaka kakosa siti utafikiri daladala za mbagala.
Jamani vijana mnashindwaje kumchumbia huyo mheshimiwa, badala yake mnabakia kuzozana ninyi kwa ninyi?Ana professional nyingi na hajakuambia 2020 anataka ubunge.
Hata mimi nimeshaipanda sana, ila kama fedha zangu lazima nihoji kuwa ni uamuzi sahihi?Wabunge na makamanda wenzenu wanapanda hiyo terrible teen...ambayo kwayo waliitukana sana serikali
Mie sio kijana wa kumchumbia Halima maana ningewahi kidogo kupata mtoto angekuwa ni binti yangu.Jamani vijana mnashindwaje kumchumbia huyo mheshimiwa, badala yake mnabakia kuzozana ninyi kwa ninyi?
Au mnamgwaya sauti lake la kukoroma?
Enzi zetu sisi, ile sehemu ya kushangazashangaza ndiyo sehemu ya kupenya! Nyie vipi lakini?
Najua kuoa ni suala binafsi, lakini sazingine jambo hilo hutumika kama njia ya kurekebisha majivuno na ubabe wa mwanamke.Mie sio kijana wa kumchumbia Halima maana ningewahi kidogo kupata mtoto angekuwa ni binti yangu.
Ila suala la kuchumbiwa au kuoa ni binafsi sana.
Najua kuoa ni suala binafsi, lakini sazingine jambo hilo hutumika kama njia ya kurekebisha majivuno na ubabe wa mwanamke.Mie sio kijana wa kumchumbia Halima maana ningewahi kidogo kupata mtoto angekuwa ni binti yangu.
Ila suala la kuchumbiwa au kuoa ni binafsi sana.
Kauli ya chuki....Cha msingi kuonekana Na sauti yake ya bass 2020 atafute kwaya au bendi atakako kuwa mwimba bass ubunge hapati
Masikini vichwa vyenu vilishaharibiwa tutajitahidi kuwasaidiaKwa akili yako hii hata wewe tutaogopa kukuweka karibu na mamwinyi Wa Mombasa maana waweza wapa ushawishi
Sasa kwanini walikosoa? Hujui kama wanaunga mkono uozo?Yaani uvccm mnavyowawinda muone ni akina nani walikosoa ila wanapanda utafikiri hela ya kununulia hiyo ndege walitoa Shemeji zenu tu!
Mbona unawasakizia watu si uingiemo ujue utamu wa ngoma ?!Najua kuoa ni suala binafsi, lakini sazingine jambo hilo hutumika kama njia ya kurekebisha majivuno na ubabe wa mwanamke.
Pia kuoa inaweza chukuliwa kama njia ya kusongesha ukoo tu na siyo starehe. Hivyo si lazima kuangalia sura yake.
Enzi zetu za ujana niliporejea kijijini nikakuta binti mmoja anawatambia wavulana kwa ajili ya mali zake za urithi, kwamba hapo kijijini hakuna hata kijana mmoja anayeweza kumuoa, na kama akijitokeza basi huyo msichana amtolee mahari na kumuoa huyo mvulana!
Nikauliza swali moja tu "ni kwelii?"
Nilipohakikishiwa kama ni kweli, nikajitosa kuoa huyo mtu kwa ajili ya majigambo yake bila kumuangalia sura, hadi leo hii ndiyo mke.