cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,586
- 8,389
Tatizo upande wenu mnachukulia siasa ni Vita ,mkikosolewa tu unatafuta wasiojulikana,mngejifunza kutoka mataifa mengine mungekuwa waelewaNaona kaamua kupanda telibo tini hii nchi wanasiasa watu wa ajabu na isingekuwepo sijui angeenda na range yake,kila siku ooh bibi zetu kule kijijini hawawezi kupanda wakati dege limejaa mpaka kakosa siti utafikiri daladala za mbagala.