Mbunge Halima Mdee ndani ya ndege ya walipa kodi(787-8 Dreamliner)

Mbunge Halima Mdee ndani ya ndege ya walipa kodi(787-8 Dreamliner)

Nzi wa kijani mna shida sana kwa hiyo tusindwe kutumia kodi zetu kisa huwa tunawakosoa mnapovulunda
Hakuna aliyewakataza kwani kila siku wanavyoiponda kuu ni ndege kuukuu maana yake c mbo risk kuipanda sasa wanapandia nini si wawe mfano kuonesha chombo hicho hakifai ,na sasa hivi mnavyopiga porojo dege la masafa kulipa route za daladala,muda huohuo mnafurahia IATA kuipokonya tz kibali kupata route za nje maana ya si hamtaki kuona Atcl au serikali inafeli kila jema wenye kujielewa wanaondoka mnasema wananunuliwa ndo hapi unamuona mdee anaona aibuaibu kuwa humo ndani shida ni kupinga kila kitu kinamnyima uhuru kuwa huo anatamani awe hata nzi asionekane kwa mambo yao zuri sifu baya kosoa toa ushauri huo ndio uungwana.
 
Mkuu;
Naona unatokwa mapovu!

Ni wapi nimeandika kuwa hatakiwa kupanda kwa sababu amekosoa?

In fact, nimemshukuru kwa kuwa mzalendo wa kweli kwa kupanda ndege ya walipa kodi wa Tanzania.
Sitokwi na povu Kuna vitu muhimu vya kufuatilia na kupiga picha co haya ya Fulani kapanda ndege. Uzalendo gani unayozungumzia kwa mawazo yako ulidhani atakataa kupanda Ndege wakati imenunuliwa kwa Kodi yake. Tatizo siyo ununuzi, tatizo ni kipaumbele kipi kiwe first kipi ni muhimu kwa wananchi. Msemakweli ukupaswa kurusha post Kama hii. Siyo Kila kitu kirushwe hata Kama akina maana. Na siyo lazima uonekane kwenye jukwaa Kila saa au Kila siku. Au ulitaka tujue kuwa na ww umepanda ndege
 
Hii ndege sio ya ccm bali ni waTz wote so kila mtu wa aina yoyote ruksa
 
Ndio akili za kijana wa kitanzania kwaio io usijadili au kuongea pale Mambo yanapoenda si sawa. Kwaio ulitaka asipande Ndege kwa vile anaikosoa serikali kwani Ndege ni ya magufuli. Ndege ni ya watanzania pmj na yy amelipia na anayo haki ya kuhoji matumizi ya Kodi yake bila kuingiliwa au kukatazwa kupanda Ndege. Ndege imenunuliwa kwa Kodi zetu asipopanda utalipaje hill deni?? . Kijana wa ccm anapiga na pic kabisa badala ya kupiga picha kisima ya maji anapochotea Bibi yake maji anapiga watu kwenye Ndege bila ridhaa yake. Op kabisa
pambaf! mbona mliponda sana ujio wa ndege hizi? na nyie ndio mlisema ndege za Mhe Magufuli! leo vipi?
 
Upinzani mabwege halafu utasikia CCM Toka Uhuru haijafanya lolote wakati makalio yao wanayakalisha kwenye ndege Na viti vya bunge na kupewa miposho na migari ya uhakika vitu amvayo vimesimamiwa Na CCM Na serikali ya CCM ili viwepo.Nimsikie mbunge au mtu aliyeajiriwa Na serikali au shirika la umma aliye upinzani akisema serikali ya CCM Toka Uhuru haijafanya chochote nitamporomoshea matusi ya nguoni.Hapa nilipo ni kamusi ya matusi nawasubiri
Ukitukana unapata faida gani?
 
Cha msingi kuonekana Na sauti yake ya bass 2020 atafute kwaya au bendi atakako kuwa mwimba bass ubunge hapati
Sio yeye tu kwa mujibu wa jiwe Mwenyekiti wenu kufikia 2020 upinzani Tanzania atakuwa keshaufuta kabisa, watanzania wapenda mageuzi tumeshajipanga kisaikolojia, kuanzia 2020 nchi na bunge kuwa ya chama kimoja, hakuna Shaka, najua akiwamaliza wapinzani atarudi hukohuko ccm bado anawapinzani wake humo, anaanza kuwafyeka, wakiisha, mnabaki kina_Tawile baba "mark my words" Magufuli atakuwa Kama Robert Mugabe akitoka hapo labda kwa vifaru.....2023 wanaanza ubadilishaji wa katiba....[emoji2] [emoji2]
 
Cha msingi kuonekana Na sauti yake ya bass 2020 atafute kwaya au bendi atakako kuwa mwimba bass ubunge hapati
Atajiunga na TOT.

Alafu ndio ataongoza wimbo wa "tumeipenda wenyeyewe"
 
Hakuna ajabu au ubaya kwa yeye kusafiri kwa hiyo flight
Ni sawa tu, pia si ajabu au ubaya kwa mbunge kupita kwenye fly over ya Tazara au daraja la kigamboni
Ni kweli hakuna ubaya sifu hayo mazuri si kuponda kila kitu mwishoni mwa siku unaonekana kichaa kuponda halafu unatumia
 
Sitokwi na povu Kuna vitu muhimu vya kufuatilia na kupiga picha co haya ya Fulani kapanda ndege. Uzalendo gani unayozungumzia kwa mawazo yako ulidhani atakataa kupanda Ndege wakati imenunuliwa kwa Kodi yake. Tatizo siyo ununuzi, tatizo ni kipaumbele kipi kiwe first kipi ni muhimu kwa wananchi. Msemakweli ukupaswa kurusha post Kama hii. Siyo Kila kitu kirushwe hata Kama akina maana. Na siyo lazima uonekane kwenye jukwaa Kila saa au Kila siku. Au ulitaka tujue kuwa na ww umepanda ndege

Sasa na wewe mbona unafanya kile kile unachomshutumu mleta mada kukifanya, kwamba unampangia cha kuposti wakati ana haki ya kuposti atakacho wakati atakapo kama vile wewe unavyotetea haki ya Mdee kufanya atakacho?
 
Yaani siasa zenu hazina tofauti na apartheid ya south Africa
Hata za kwenu zina tofauti gani na vichaa unaponda halafu unatumia wenye akili timamu na haya wanakimbia kwa kujistukia wanataka uhuru wa nafsi maana siasa za ufipa zinataka uwe kichaa ndio uziweze.
 
Ila Ccm imetengeneza frustrations kwa watanzania wengi sana mpaka sasa..
 
Ninakushukuru sana Mbunge kwa kuunga mkono shirika letu la ATCL kwa kupanda ndege iliyonunuliwa na kodi za walipa kodi nchini.

Huu ndio uzalendo wa kweli pamoja na kupiga kelele kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa Watanzania hatuhitaji ununuzi wa ndege kwa sasa!

Tanzania ni yetu sote na maendeleo ya Tanzania ni maendeleo yetu sote.

Tanzania kuanguka kiuchumi ni kuanguka kwetu sote.

DkZRVy5XgAAnlda.jpg

DkZRWrKX4AEYh2t.jpg
Unatatizo moja kubwa.
 
Sasa mbona wakiikosoa serikali hamuoni Kama wazalendo mnakuja hapa na hoja za kinafiki za kupanda ndege!!!!! Ila wakianza kuwaambia tu CCM wala rushwa!,ndege imekamatwa,afungwe breki mkuu!mnamuona mbaya,pelekeni unafiki huu kwa wanafiki wenzenu wakina Musiba
 
wapinzani wa Tanzania ni wasanii tu,huyu na sauti yake kama kameza kiazi cha moto alisema ndege ni chakavu,akawakebehi watu walioruhusiwa kuingia kuona ndege chakavu
 
Yaani Sugu anajiita Raisi wa mbeya halafu halafu hajali wananchi wake wa Mbeya hata kuwapa mbunge wa viti maalumu kutoka wanawake waliompigania ashinde hataki.Raisi gani asiyejali raia wake wa mbeya? Wananchi wa Mkataeni Na 2020 asirudi Na msimpe ushirikiano tena
 
Back
Top Bottom