Mbunge Halima Mdee ndani ya ndege ya walipa kodi(787-8 Dreamliner)

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
13,185
Reaction score
24,055
Ninakushukuru sana Mbunge kwa kuunga mkono shirika letu la ATCL kwa kupanda ndege iliyonunuliwa na kodi za walipa kodi nchini.

Huu ndio uzalendo wa kweli pamoja na kupiga kelele kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa Watanzania hatuhitaji ununuzi wa ndege kwa sasa!

Tanzania ni yetu sote na maendeleo ya Tanzania ni maendeleo yetu sote.

Tanzania kuanguka kiuchumi ni kuanguka kwetu sote.

Pongezi sana Mbunge Halima Mdee.

Ninaamini na wengine watafuata kuonyesha Uzalendo wa kweli.

Tuendelee kuthamini chetu, tukitumie chetu kwa ujenzi wa taifa letu.

DkZRVy5XgAAnlda.jpg

DkZRWrKX4AEYh2t.jpg
 
Ninakushukuru sana Mbunge kwa kuunga mkono shirika letu la ATCL kwa kupanda ndege iliyonunuliwa na kodi za walipa kodi nchini.

Huu ndio uzalendo wa kweli pamoja na kupiga kelele kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa Watanzania hatuhitaji ununuzi wa ndege kwa sasa!

Tanzania ni yetu sote na maendeleo ya Tanzania ni maendeleo yetu sote.

DkZRVy5XgAAnlda.jpg

DkZRWrKX4AEYh2t.jpg
Ndio akili za kijana wa kitanzania kwaio io usijadili au kuongea pale Mambo yanapoenda si sawa. Kwaio ulitaka asipande Ndege kwa vile anaikosoa serikali kwani Ndege ni ya magufuli. Ndege ni ya watanzania pmj na yy amelipia na anayo haki ya kuhoji matumizi ya Kodi yake bila kuingiliwa au kukatazwa kupanda Ndege. Ndege imenunuliwa kwa Kodi zetu asipopanda utalipaje hill deni?? . Kijana wa ccm anapiga na pic kabisa badala ya kupiga picha kisima ya maji anapochotea Bibi yake maji anapiga watu kwenye Ndege bila ridhaa yake. Op kabisa
 
Naona kaamua kupanda telibo tini hii nchi wanasiasa watu wa ajabu na isingekuwepo sijui angeenda na range yake,kila siku ooh bibi zetu kule kijijini hawawezi kupanda wakati dege limejaa mpaka kakosa siti utafikiri daladala za mbagala.
 
Ninakushukuru sana Mbunge kwa kuunga mkono shirika letu la ATCL kwa kupanda ndege iliyonunuliwa na kodi za walipa kodi nchini.

Huu ndio uzalendo wa kweli pamoja na kupiga kelele kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa Watanzania hatuhitaji ununuzi wa ndege kwa sasa!

Tanzania ni yetu sote na maendeleo ya Tanzania ni maendeleo yetu sote.

Tanzania kuanguka kiuchumi ni kuanguka kwetu sote.
Halima ana haki ya kutumia chochote kilichonunuliwa na serekali hata kama ni cha kifidhuli.
hela ya kununulia haikuletwa toka Chato wala Hai!!
 
Ninakushukuru sana Mbunge kwa kuunga mkono shirika letu la ATCL kwa kupanda ndege iliyonunuliwa na kodi za walipa kodi nchini.

Huu ndio uzalendo wa kweli pamoja na kupiga kelele kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa Watanzania hatuhitaji ununuzi wa ndege kwa sasa!

Tanzania ni yetu sote na maendeleo ya Tanzania ni maendeleo yetu sote.

Tanzania kuanguka kiuchumi ni kuanguka kwetu sote.

DkZRVy5XgAAnlda.jpg

DkZRWrKX4AEYh2t.jpg
Mbona huzungumzii barabara wanazipita ambazo huwa wanazikosoa itafika mahali hii nchi unachokosoa cha ccm huruhusiwi kutumia tusubiri na picha za maji ya dawasco
 
Ndio akili za kijana wa kitanzania kwaio io usijadili au kuongea pale Mambo yanapoenda si sawa. Kwaio ulitaka asipande Ndege kwa vile anaikosoa serikali kwani Ndege ni ya magufuli. Ndege ni ya watanzania pmj na yy amelipia na anayo haki ya kuhoji matumizi ya Kodi yake bila kuingiliwa au kukatazwa kupanda Ndege. Ndege imenunuliwa kwa Kodi zetu asipopanda utalipaje hill deni?? . Kijana wa ccm anapiga na pic kabisa badala ya kupiga picha kisima ya maji anapochotea Bibi yake maji anapiga watu kwenye Ndege bila ridhaa yake. Op kabisa
Mkuu;
Naona unatokwa mapovu!

Ni wapi nimeandika kuwa hatakiwa kupanda kwa sababu amekosoa?

In fact, nimemshukuru kwa kuwa mzalendo wa kweli kwa kupanda ndege ya walipa kodi wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom