Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,342
Au ingekuwa simu zetu zile za flash kibao hata kama kuna mwangaNAITATHMIN HALI YA MPIGA PICHA ILIVYO KUWA NA VP KM ANGEMUONA NAMNA ANGEZUGA....NAAMIN IMEPIGWA KIWIZI KAMA WALE OFM
Au ingekuwa simu zetu zile za flash kibao hata kama kuna mwangaNAITATHMIN HALI YA MPIGA PICHA ILIVYO KUWA NA VP KM ANGEMUONA NAMNA ANGEZUGA....NAAMIN IMEPIGWA KIWIZI KAMA WALE OFM
Umekuja lini toka Koromije?Mshono!!! What is mshono!
Viswahili vitarafa vinaota kama uyoga. Hapo nilikuwa darasani nimejifunza mkuu.Umekuja lini toka Koromije?
Yaani umetatuliwa marinda au K,na umeshonwa nyuzi kadhaa huo ndio mshono.
Kama bado hujaelewa niulize??))
11zas11wzwx1zw2wwwzwwqzazas1zzqaqaaz1wwNimempongeza kwa kuonyesha uzalendo wa kweli!
Mdee ametuonyesha kuwa siasa za majukwaani ni tofauti na matendo ya wanasiasa!
Kwani kapanda bureNinakushukuru sana Mbunge kwa kuunga mkono shirika letu la ATCL kwa kupanda ndege iliyonunuliwa na kodi za walipa kodi nchini.
Huu ndio uzalendo wa kweli pamoja na kupiga kelele kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa Watanzania hatuhitaji ununuzi wa ndege kwa sasa!
Tanzania ni yetu sote na maendeleo ya Tanzania ni maendeleo yetu sote.
Tanzania kuanguka kiuchumi ni kuanguka kwetu sote.
Pongezi sana Mbunge Halima Mdee.
Ninaamini na wengine watafuata kuonyesha Uzalendo wa kweli.
Tuendelee kuthamini chetu, tukitumie chetu kwa ujenzi wa taifa letu.
![]()
![]()
Yeye sio mmoja wa walipa kodi?Mkuu;
Naona unatokwa mapovu!
Ni wapi nimeandika kuwa hatakiwa kupanda kwa sababu amekosoa?
In fact, nimemshukuru kwa kuwa mzalendo wa kweli kwa kupanda ndege ya walipa kodi wa Tanzania.