Kazi ya spika ni kulinda hadhi ya wabunge kama akina MdeeSafari hii ni wao kwa wao!
Yeye mwenye kwa kusema ana file Mirembe halafu ndio Spika huoni ndio anaongoza kuzalilisha Bunge?Kazi ya spika ni kulinda hadhi ya wabunge kama akina Mdee
Wote wapuuziMavazi ni kweli yanarudisha nyuma hadhi ya Bunge, Je Kufoji Wabunge COVID-19 ili ndio baya zaidi.
Kama kuna kanuni kandamizi, zibadilishwe sio zidharauliwe. Hata wanaume wamewahi kutolewa.Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume!mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokioenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex!kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh.Mbunge sio kavaa nini,pls my speaker tembelea bunge la SA uone,wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi,haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.
Ndio wawakilishi wenu haoUpuuzi tu.. Wanaacha sheria za kijinga na kandamizi zinapitishwa kwa sababu wanakomalia ujinga ujinga na mambo ya hovyo!
Mavazi yanatuhusu nini sisi?
Huyo amelala Chako ni chako, baada ya supu akaunga bungeniWabunge wa kupita bila kupingwa wanataka wapitishwe bila kupingwa mpaka kwenye mavazi.