Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Kwani walikuwa wanataka avae Buibui😠😠😠Nguo ambazo amevaa ni desent na si Fupi ila Ni Smart#Women Lives Matter👊👊🔥🔥
 
Kimsingi kinacho takiwa wabunge wanawake ambao wanaonekana mara nyingi kukiuka maadili ya mavazi mjirwkebishe badala ya kutetea upuuuzi na utovu wa maadili.
Bunge ni kioo cha jamiii sio sehemu ya kuonyesha maumbile yenu au shepu, nyie mnao tetea upuuzi hatuto warudisha mwaka 2025, huu ndio mwisho wenu.
kama mnataka kuvaa nguo zisizo na heshima nendeni nje ya bunge, sio Bungeni, Bungeni kunahitaji watu wenye heshima na wenye kujiheshimu.
 
Jamani kuna yeyote yule ambae ameona distance iliyopo baina ya alipo mlalamikaji na alipo mlalamikiwa? Pia ni mie pekee yangu nilieona kuwa kwa distance iliyopo nimeshindwa kujua ni vipi mlalamikaji aliona alichovaa huyu dadakuanzia kiunoni kwenda chini? Nadhani kulikuwa na haja ya mbunge yeyeote yule kutoa hoja kutaka kujua kilichomfanya mlalamikaji ageuze shingo na macho yake kumuangalia sehemu za chini ya kiuno huyu mwanamke ambae alikuwa mbali kabisa na alipokuwa amekaa yeye!
 
Ukiona Baba anaangalia binti makalioni muogope ana lake. Nimefufua Ka Uzi nimepata blauzi kama ya Conjesta Jumatatu natinga Ku office.
 
kwani kuolewa ni sifa, acha ubwege mtu mzima ovyooooo
Kuolewa Ni tendo lililo hata kwenye maandishi matakatifu.
Wanawake wengi wenye tabia njema wameolewa na wametulia na familia zao.
Wanawake wengi wahuni, changudoa, manungayembe hayajaolewa na hawaoleki kwa tabia zao mbaya.
 
Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili.

Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia aliwaambia askari wa Bunge, kuanzia sasa mbunge yeyote atakaevaa mavazi yasiyo na Staha na kinyume na kanuni waishie getini. Sakata hilo lilianza kwa mbunge mwenzake kuomba muongozo wa spika akimtolea mfano kama mbunge aliyevaa mavazi yasiyo na staha.

Toka lini hizo rangi zikawa hazina heshima! Mbona kuna mwingine huzivaa shingoni? Labda tai ndiyo imezidi urefu.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom