Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume!mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokioenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex!kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh.Mbunge sio kavaa nini,pls my speaker tembelea bunge la SA uone,wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi,haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.
Kama hujapata kifungua kinywa hebu anza nacho kwanza maana km dishi limecheza!
Kila nchi ina utamaduni na mila zake amabzo inaamua kuufuata, usitake kukurupukia kila ukionacho kwenye luninga kutoka ughaibuni ukadhani kinatufaa.
 
Nini mila na desturi za nchi hii au ni mawazo ya utawala ya kimila na udume dhidi ya gender nyingine?ni haki ya mke kuvaaa chochote anachofurahiwa nacho,sawa na wewe na mimi tunavyoamua
 
Uvaaji wa mtu it got nothing na kile kinachofanyika ndani ya Bunge,wapiga kura wanataka kusikia mbunge wao anawatetea vipi sio kavaa nini,mbunge huyu aliyesababisha naye ana matatizo ya kisaikolojia ,kabla ya kuzungumzia hii issue bila shaka mind yake ilimpeleka kwenye sex
Kama ofisini kuna dress code lazima ifuatwe. Kama alikuwa hazipendi kanuni, angeanzisha mchakato zibadilike au aache bunge. Kitu pekee ambacho sio kizuri, nadhani wangeweza kumpa notice bila kutangaza kwa nchi nzima.
 
Yaani bure kabisa,.... badala ya kupigania mambo ya msingi jinsi gani ya wapunguzia wananchi ktt kero za afya,maji,bei juu za bidhaa i.e.mafuta ya kula, cement,sukari, ajira na uwezeshaji kwenye kilimo, wenyewe ni ku concentrate kwenye vitu ambavyo ni 'so trivial' .....kaazi kwelikweli..

Hivi kila mtu akienda bungeni na vazi analojua hasa hawa dada zetu si kuna siku dada poa nao watajichanganya humo humo
 
Cheki mifisi ilivyovunja shingo 😂
IMG-20210601-WA0001.jpg
 
Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume!mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokioenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex!kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh.Mbunge sio kavaa nini,pls my speaker tembelea bunge la SA uone,wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi,haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.
Huko Afrika kusini ndiko walikoruhusu ndoa za jinsia moja kisheria na sasa wameruhusu mwanamke mmoja kuolewa na zaidi ya mwanamume mmoja kisheria.

Tuwaige hawa? Hapana!

Kuhusu huyu mbunge wetu kutovaa kistaha ni kosa kisheria na kanuni za bunge awapo katika vikao.

Kwani nani anamzuia kuvaa nusu uchi akimaliza vikao aelekeapo sehemu za kujirusha?

Lazima tuwalinde watoto wetu na pia kujenga kizazi kijacho chenye heshima na maadili yaliyotukuka.

NB; swala la maadili linakwenda mbali kuliko wengi tufikirivyo. Hatumkingi mtu mzima na mambo ya kikubwa ila tunamkinga na kumlinda mtoto dhidi ya hayo mambo kabla ya wakati wake wa kuweza kupambanua.
 
Mkuu umeongelea SA kuhusu swala la ndoa including za jinsia moja wewe nani kukupa mamlaka ya kuhukumu? Mimi nikiamua kuwa guy au lesbian wewe utapungukiwa na nini? Bunge letu sheria hizi zimepitwa na wakati kila mtu awe huru kuvaa anachokitaka
 
Pameibuka tabia ya wabunge wa viti maalumu kuvaa vinyela momo(skin tight) wawapo kwenye vikao vya bunge, hii haikubaliki.

Ukivaa kimnyelala momo basi vaa gauni juu yake ili kulinda heshima na utamaduni wa kitanzania.

Ni angalizo tu.
 
Back
Top Bottom