Mbunge bibi miaka 60, aolewa na kijana wa miaka 26

Mbunge bibi miaka 60, aolewa na kijana wa miaka 26

Mikocheni B sio sehemu ya Makanisa ya Tanzania assemblies of God (TAG).
 
Kwa nature tuu hata kwenye maandiko ya pande zote utaona kuna wanaume wazee wameoa vigoli na hata hali ya klawaida wababa huwakaza mabinti ila sio kawaida kwa wamama kukazwa na watoto!!!!mbo--o iko simple na mazingira yake hayachoki ila k ni mbaya na kadri umri unavokuwa nayo inazidi kuning'inia na kuchambuka na minyonyo hulegea na litumbo huwa libaya na ngozi nayo inachoka mno na makalio hata yawe makubwa vipi hujikusanya katikati na kuwa kama ---- moja(baya)sasa hapo ndipo panaposhangaza maana uzuri wa mwanamke usiempenda kiukweli ni yeye kuwa mzuri ili kukupa tamaa ya kumkwea!!!!!sasa mama kama huyu lazima alikuwa anamtesa sana kijana maana kulala nae ni zoezi gumu!!yaani mpaka mashine ipae ni noma unaweza ukawa unakula mambo gafla jamaa akalala!!!!! Sasa huu ni unyanyasaji wa hali ya juu kulala pamoja kwa muda wote huo ni noma imagyn kulala daily na mwanamke kigoli mzuri yenyewe nis hida huwa unachoka na kukinahi itakuwa huyu bibi na obvious atakuwa anataka daily!!!hii nimeongea from my experience kutoka kwa marafiki wnasema inatisha kulala na mmama mzee na mbaya nawasilisha.....afu vijana siku hizi wanapenda 0713 huyu itakuwaje?

Vile vibinti vinavokazwa na vibabu sijui na vibabu vinavutia???? ngozi ikoje na kadri umri unavosogea ndivo dushe hugoma kupambana. Isitoshe wake wengi wa vibabu hupigwa nje... Sasa sijui vibinti navyo havinyanyasiki kwa kulala na ajuza tena dushe ipo bariidi.....
 
Wacheni majungu mbona hiyo poa tu,huyo Mh. Dr. Mchungaji naye anajiachia na dereva wake ambaye ni kinda pia. Waacheni wamama wenye nazo wajirushe na viserengeti boys vyao. Hata mie natafuta jimama lenye nazo lini pm tufanye mambo.
 
"Kwanza nimeshasema sitaki kuzungumzia suala hili kwenye simu ukitaka tuonane kesho kwani kuna haraka gani? Jambo la haraka ni la mjamzito kutaka kujifungua"-MWISHO WA KUNUKUU
 
Aibu zake huyo mbakaji wa kike! Sura kavu kukahemea katoto ka watu!! Puuuuuuu kuna vyama vilishalaanika!
 
Hebu tuache unafiki ukisoma vizuri utagundua kuwa huyu mama alitumia umaskini wa kijana huyu kumpata kimapenzi,tujiulize huyu mama anaweza kumzalia huyu kijana mtoto?
Kawaida mwanamme hakui kwa mwanamke lkn mwanamke akishafikisha umri wa 50+ labda aolewe na mzee mwenzie aliyekwisha zaa ili kupeana kampani.

Mbona mnakua wabaguzi wanaume wangapi wameoa visichana vidogo na haijawa kashfa, kwa nini huyu kelele zinakua nyingi.
 
hakuna ha unabisha tuu ila nimesha sight mifano kibao usijifanye kupinga mfumo dume ambao ndio nature ya mwanadamu nadunia!!!!mwanaume mzee na mwanamke mzee mwanamke anatisha sana yaaani sana!!!!afu chini bwanga mbaya na ananuka zaidimwanaume kwa nature hatamanishi bali hushawishi ila mwanamke inapaswa atamanishe ndio mdada hutamaniwa kwa sura,chuchu saa sita hipsi mguu ---- na mikono ndio nature iko hivyo!!!!!ndio maana waislamu huvaa hivyo kupunguza matamanio!!ushawahi kuona mwanamke anatemea kifua wazi!?ushawahi ona mwanaume anatamaniwa ----?mwanaume akiwa na ------ makubwa anataniwa na mwanamke husifiwa!!!!sasa mwanaume ngozi yake husinyaa taratibu compared to a woman!! na changes si nyingi kama za mwanamke!!hakuna dushe baridi umesoma wapi wewe ili dushe iende mnara lazima damu iwe moto mno so no dushe baridi labda kama una sugu huko kunako na hisia binafsi sasa hapo!!ILA HUU NI UNYANYASAJI WA KISAIKOLOJIA NA UTESAJI WA KIHISIA!!!
Vile vibinti vinavokazwa na vibabu sijui na vibabu vinavutia???? ngozi ikoje na kadri umri unavosogea ndivo dushe hugoma kupambana. Isitoshe wake wengi wa vibabu hupigwa nje... Sasa sijui vibinti navyo havinyanyasiki kwa kulala na ajuza tena dushe ipo bariidi.....
 
Hii inaitwa mambo hadharani..... mficha uchi hazai.... walibana ss wameachia
 
Ametimiza umri wa utu uzima wa kuwa na umri wa miaka 18 au zaidi. Angekuwa na umri wa chini ningesema amebakwa
 
Aibu zake huyo mbakaji wa
kike! Sura kavu kukahemea katoto ka watu!! Puuuuuuu kuna vyama
vilishalaanika!

huyu mama hasitahili kua mbunge cjui hata alipataje huo ubunge ukoo wa panya bana kila uchao wana kuja na madudu mapya
 
haya ni makubwa na madogo yana nafuuu
ina maana huyo kijana kawakosa vijana wenzake mpaka
aende kwa bibi yake kumuoa
mbunge wa CCM VITI MAALUMA ameamua kuolewa na kijana wa miaka 26 ndoa imefungwa kanisa la TAG mikocheni,chanzo Tanzania daima mlioko dar hili gazeti si la kukosa hata kidogo
 
Huyo kijana kaolewa na huyo mama ili akatafune hela za huyo mama fisadi kabla haja R.I.P.alikua wapi muda wote huo hadi aje kuolewa na miaka 60?

Labda alikuwa anajiandaa kimaisha. Na miaka ya leo hatazamwi mtu, umri wala sura, kinachoangaliwa ni papuchi.. oh, sorry, pochi.
 
Hii siyo kashfa ni mapenzi tu,wala sioni ubaya mbona wanaume wazee miaka 70 wanaoa vitoto miaka 18 vya kike hawaulizwi mwache mama ajiliwaze na yeye ni binadamu damu inachemka kama walivyo wanaume

Naunga hoja kwa asilimia mia mkuu(100%),,kwani akina mama wazee hawana haki ya kula vitu vibichi.....ni wazee tu wa kiume ndiyo wana haki????jamii inabidi ibadilike,,huuu mtazamo ufe kabsa..wanaume wakifanya hivyo kwao ni sifa na jamii haioni shida kabsa ,lakini kwa mama mtu mzima akifanya mapenzi na kijana mdongo above 18....yeye akiwa 40 na kuendelea,utasikia wanavyochonga walimwengu...
mama endelea kuenjoy na kijana wako..achana na maneno ya walimwengu,,hawakosi la kusema...kila kukicha.na zaidi haujawa wa kwanza..kwani wapo wengi tu akina mama wanaishi na vijana wadogo na wanapendana....
 
Huyu kijana sidhani kama alifunga hii ndoa bila shinikizo, maana kijana mwenyewe yatima, ina maana lazima atahitaji familia yenye watoto ili kuacha legacy, kufunga ndoa na mtu aliyefikia menopause haiingii akilini
 
mm nashangaa kwani kuna ubaya gani mwanamke akiolewa na kinda au kinda akimuoa mtu mzima
watanzania wamezidi maneno wawache waponde raha kwa raha zao

Back
Top Bottom