Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
huyu mbunge vijana watamgombania kama anatabia hizo lol
Umekunywa maji?26 sio mtoto huyu...ana maamuzi yake binafsi!ulikuwepo kwenye makubaliano yao?labda kama issue ingekuwa huyu mama kavunja ndoa ya watu ila kama this dude was single and available BAAAAAAAAAS....Kulingana na gazeti kijana na yatima hawajui wazazi na wala hana ndugu. Sasa hilo limama tena mbunge badala ya kumwasili anamvulia mtoto mdogo nguo. Mtu mzima hovyo. Halafu bila aibu anasimama bungeni na kuchangia hoja kumbe ni mnyanyasi wa watoto. Wanaharakati tafadhali angalieni hili jambo. Huyu kizee alichukua advantage ya umaskini wa kijana huyu kumhujumu. Haikubaliwi.
umeiona?
vijana umasikiini utatumaliza kitu yake ishasinyaaa cjui kijana anafaidi nn
Makupa najua wewe mara ni mpuuzi wa hoja na hapa kwa kwa ni Mbunge wa CCM unamtetea lakini nami nakubaliana nawe kwamba ndoa yao ni maisha hakuna haja ya kuandika ujinga kama huu .Kijana miaka 26 aliamua mwenyewe na maisha yao haya mahusiano na status za kazi zao .Habari hii haisaidii lolote maana mitaani wadada wa miaka 20 anatembea na wazee na vijana wadogo taste zao ni akina Mama watu wazima .FREEDOM
Hivi na Mengi kamuasili yule miss eee??
Ulitakiwa kuhakikisha ili kujua kama jamaa anafaidi au vipi....cozz kuna watu kama mvinyo...miaka ikiwa mingi ndio wanakuwa wazuri zaidi.......huuuhuuuhuu!sio lazima uione kibilogia mwanamke akishafikisha age hiyo viuongo vyote vya uzazi vnakuwa vishasizi so kila kiungo kinakuwa kwenye usingizi mzito
Safiiiii.....Madonna hamumuoni?ukichukua dogodogo wamama wanachukua wachanga......Love is Wicked...
Napata tabu sijui niwapongeze au niwape pole!
Hii siyo kashfa ni mapenzi tu,wala sioni ubaya mbona wanaume wazee miaka 70 wanaoa vitoto miaka 18 vya kike hawaulizwi mwache mama ajiliwaze na yeye ni binadamu damu inachemka kama walivyo wanaume
Hii siyo kashfa ni mapenzi tu,wala sioni ubaya mbona wanaume wazee miaka 70 wanaoa vitoto miaka 18 vya kike hawaulizwi mwache mama ajiliwaze na yeye ni binadamu damu inachemka kama walivyo wanaume