Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,498
- 37,792
Mbunge wa Morogoro na meneja wa Diamond mheshimiwa Babu Tale amesema tangu afiwe na mkewe takribani mwaka mmoja uliopita amekuwa na msongo wa mawazo unaosababishwa na kumbukumbu za kifo hicho pamoja na jukumu la kulea watoto aliloachiwa na mkewe.
Aidha Babu Tale amewaomba wataalamu wa saikolojia nchini kujitokeza na kumsaidia kiushauri ili aweze kurejea katika hali ya kawaida.
CHANZO: UTV Habari.
Aidha Babu Tale amewaomba wataalamu wa saikolojia nchini kujitokeza na kumsaidia kiushauri ili aweze kurejea katika hali ya kawaida.
CHANZO: UTV Habari.