Mbunge Babu Tale ana matatizo ya Kisaikolojia; aomba wataalamu wajitokeze kumsaidia

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,276
37,397
Mbunge wa Morogoro na meneja wa Diamond mheshimiwa Babu Tale amesema tangu afiwe na mkewe takribani mwaka mmoja uliopita amekuwa na msongo wa mawazo unaosababishwa na kumbukumbu za kifo hicho pamoja na jukumu la kulea watoto aliloachiwa na mkewe.

Aidha Babu Tale amewaomba wataalamu wa saikolojia nchini kujitokeza na kumsaidia kiushauri ili aweze kurejea katika hali ya kawaida.

CHANZO: UTV Habari.
 
Ni jambo la kheri kuomba msaadana asidhihakiwe.
Depression inaua watu wengi kimyakimya(hususani wanaume)..
Kuna mahojiano nilimuona akisema mke wake alimkataza kuoa tena.Pengine yuko kwenye dilemma katika hilo..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Morogoro na meneja wa Diamond mheshimiwa Babu Tale amesema tangu afiwe na mkewe takribani mwaka mmoja uliopita amekuwa na msongo wa mawazo unaosababishwa na kumbukumbu za kifo hicho pamoja na jukumu la kulea watoto aliloachiwa na mkewe.
Aidha Babu Tale amewaomba wataalamu wa saikolojia nchini kujitokeza na kumsaidia kiushauri ili aweze kurejea katika hali ya kawaida.

CHANZO: UTV Habari.
Ataota mvi very soon

https://www.google.com/url?sa=t&rct...azo.1682159/&usg=AOvVaw3RwLYxCi1isBArNQ2-jP7-
 
Huyu kaupata ubunge bila kutegemea, halafu wenge la mkewe halijaisha bado Hana Amani moyoni.

Ndiyo maana nilimuona Magomeni Mwembechai, Juzi ya tarehe 14/07/2021 Majira ya saa Saba mchana Akiwa anajadiliana na wadau nje ya nyumba (Getini) ya aliyekuwa Mtabiri Maarufu Hayati Sheikh Yahya Hussein.
 
Ooooh
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom