Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
No way wazee sasa mnaenda mbali?

Mnataka kusema MBOWE nae alikuwa akishiriki katika WAPUKI? Are talking the same WAPUKI ya kibaha au nimekosea manake nilipokuwa kwenye semina siku moja pale KIBAHA nikakutana na EX KIBAHA STUDENTS wakanipa habari hizi za WAPUKI sasa mnataka kusema MBOWE nae alikuwa memba?

Kwani kasomea wapi manake naona CV haisemi kasoma wapi, lini, if it was KIBAHA then tujue dates zake kama kweli alikuwa memba wa WAPUKI au la.

Duh yaani nashindwa kuamini kabisa!

Kama ni kweli, basi MBOWE na Chifupa wote watakuwa sio role models manake nashangaa magazeti hayaandiki kuhusu company alizokuwa nazo CHIFUPA before siasa na all of of a sudden kawa purer than white...

CHINGA tuambie hivi WAPUKI unayozungumzia ni ile ya KIBAHA au?

Nadhani sasa unaenda mbali kijana, slow down....hizi ni lethal sasa...
 
Tafiti: Thanks. I always cherish your views and the way you put them across. I totally agree that CHADEMA needs to explain plainly the sources of the 750+m as they did it its the expenditure.

I am not sure if CHADEMA did not explain this in their statement. I don't understand how could they just explain the expenditure without explaining the sources of income. To me, this is a very simple accountancy you can't give the expenditure without at the same time giving the sources of your income. But, anything is possible in our politics. Truly, I can't answer this one as it requires somebody at the centre of the party leadership.

On Conservatives supporting apartheid and slave trade, as much as I personally do not support Conservatives in many fronts, I think it is wrong to say that this was Conservatives policy parse. This was British policy. Remember, both apartheid and slave trade lasted longer than Conservatives reign.

The political power during the two eras was always swinging between Labour and Conservatives in Britain as it was for Republicans and Democrats in the US. So, you cannot attribute the two world miseries to Conservatives alone.

I will also come back on this
 
Mwanasiasa

Chadema wana pesa za kukodi helicopta kwa muda wote huo na ni uchaguzi kutumia aina gani ya usafiri eh. Je sio kitu muhimu vile vile kwa Chadema kuweza kufungua ofisi za chama katika sehemu ambazo hawana ofisi? (hasa vijijini).

Kwa Tanzania yetu ambayo hata polisi hawawezi kupata japo baiskeli kuweza kufanya kazi zao – hili halionekani na walalahoi kama ni danganya toto?

Mtanzania wa kawaida atawezaje kupata message kuwa utamwezesha kujitoa katika umasikini wake hali viongozi wako wanatumia ufahari katika mienendo yao? Unasema ni choice lakini Tanzania hatuna helikopta za kukodi hadi twende Kenya au sivyo?

Elimu – Umesema suala la elimu limeulizwa kijujuu, basi naona nilibadilishe;

Mbowe – ex form VI ambaye hakupitia system nzuri ya education atawezaje kuona hilo ni muhimu? (wakati sasa hivi yeye anauloho wa madaraka, tangu amalize form VI almost 25yrs?)

Katika viongozi wenu – Mnyika ndio kwanza amemaliza secondary school na mlolongo wa elimu yake hautofautiani na wa Mbowe – je unafikiri ni watu ambo watakuwa makini kubadili mapungufu yetu katika elimu?

Kiongozi yupi wa Chadema ambaye ndiye mnaweza kusema huyu ni msomi?

Je huoni Mbowe atapata degree ya uchwala tu kwa sababu ana pesa ili aongoze Chadema na if possible TZ?

Kwa mtazamo wa watanzania wengi ambao ndio wapiga kura sioni Chadema kuweza kujiimarisha, nafikira itabidi Chadema wabadili mwenendo ili kuwavutia walalahoi kama kweli wanataka mimi pamoja na wengine tujiunge nao.
 
Chinga,
Fine, sikujia Ahmed Rajab hayuko tena London. Tafiti kaniweka sawa. Fine. Lakini wewe umemislead kwa kusema alifukuzwa kazi. That is a lie! Mzee Tafiti kaliweka sawa nikakubali. Ndio uzuri wa forum hii na wala si kusutana kama unavyoona wewe kwa munkari wako.

Na kuhusu BOT niambie ni lini Mtei alikuwa gavana pale, ni lini alikuwa waziri wa fedha na lini alijiuzulu, basi utakuwa umejikanyaga mwenyewe. Hapa hatupo kusutana.

Ni kufahamishana na kuelimishana.
 
Dr WHO: I can now see your point and may be I can respond to some of your issues. I think the basis of CHADEMA's partnership with the Conservatives has been plainly explained by Ndabita. Ndabita has also explained the ideological stances of CHADEMA almost exhaustively.


And in his explanation he mentioned that its just partnership and nothing more...so how can Conservatives with small c have just partnership with CHADEMA without having same ideologies? As i said earlier Mbowe confessed this when he was in London last summer so what so wrong about just accepting it?


That said, it is clear that the contemporary world is experiencing ideological bankruptcy.


How can you expand this?


That is why today it is difficult to draw clear boundaries between Conservatives and Labour in terms of the policies they are pursuing. What differentiates them is the style and pace of implementing the policies.Indeed, Blair's Labour is increasingly seen to be pursuing capitalism more so than Cameron's Conservative Party.


don't share your above argument in any way, shape or form.The draconian tax and spending cuts that a Conservative Government would seek to impose will lead inevitably to increases in interest rates and inflation because people with money in their pockets are going to go out and spend it - the housing market will explode which will help all those key workers not one iota - and eventually the UK's economy will go "bust" as it did in the late 80s.Even opinion polls here still regard Gordon Brown as the person who people would trust with the economy and not Oliver Letwin.And based on that small example people think that Brown is doing a pretty good job and as far home owners are concerned ,they wouldn't want to see their mortgage rates shoot up again as it did in the late 80s and early 90s under the conservatives.

In short these two parties differ in each and every single policy except Education reforms which the Tories agreed with Labour and of course an illegal war in Iraq. Moreover i also think both Tory and Labour economic policies are fundamentally flawed. Both raise the spectre of huge "Government savings", (predicated in the Gershon and James reviews) neither of which are worth the paper they were written on. If anyone in SERIOUSLY believes £35 billion of savings will be found by 2007, they are deluded. Neither Party is prepared to confront the British public with the economic truth which is that taxes will have to rise and substantially to cover huge gaps in pensions and other areas of public finance and that people will have to start saving a lot more a lot earlier to pay for their retirement so its fair to say there is a HUGE difference between the two and there is also alot of similarities as well.


In addition to Ndabita's contribution, I personally believe that CHADEMA's alliance with Conservatives is not on the basis of the later trying to contaminate the earlier ideologically. Rather, it is part of the Conservatives's strategic desire to reach out to developing countries that is embedded in its foreign policy.

Well, that's an incredibly short-sighted view on CHADEMA's part, if you don't mind me saying so. This is the same party that supported apartheid in South Africa and Namibia for decades until couple of months ago when David Cameron said sorry...i mean how long has Mandela been free? Now for your information both New Tory and New Labour politicians have frequently used African issues and history as a means to score morality points with potential voters who still believe in the existence of the mythical politician with ethics. Frankly speaking id didnt know that Mr MBOWE was his advisor on Developing countries...but seriously does Mbowe think that Old Etonian like Cameron is going to put pressure on the Oppenheimers to give indegenous South Africans their mines back? (He won't).I will use that as a measure of sincerity. Anything less, then I'll assume he is merely engaging in some good old political points scoring.
 
Jamani mie nataka nikiri jambo humu

sielewi WAPUKI ni nini na inauhusiano gani humu na hii topiki ni organization au jina la mtu au eneo?

Pili

Chinga mama Marjorie Mbilinyi pamoja na organization yao nishawajibu kule kwenye ile topiki ya kuhusu ziara ya mama JK kule Swaziland na natumai wanawake zaidi watakuja kujibu kule na ninawasubiri kwa hamu zote
 
Philimon Mikael.
mbona muongo sana unadai Medi Mpakanjia kaishia darasa la nne baada ya kufeli mitihani ya darasa la nne iliyorudishwa.

Mitihani ya darasa la nne ilirudishwa mwaka 1989 na ya kidato cha pili ilianza mwaka 1992.

jee Mpakanjia mwaka huo 1989 kwa kauli yako ina maana alikuwa darasa la nne? wanabodi hawa ndio chadema kila nukta yao ni uzushi tu.

Mikael sorry Philimon naona unapenda kutumia philimon kujifananisha na ndesamburo.uhuru wako.

unadai ninalipwa kwani mtu huwezi kutumia uzalendo kuweka sawa mambo? huko chadema kila kitu pesa?kama wewe unalipwa, mimi nina volunteer tu.
subiri file la grace kiwelu na Mbowe nalileta soon, kaa mkao kula
 
Mheshimiwa mwenyekiti(mkwe wa mzee Mtei).

Nimekuahidi kuingia chadema kama utakuja hapa na kutuambia WAPUKI ilikuwa na malengo gani? mheshimiwa ulituusia tusiwe waoga katika kuibua maswali na hoja zinazotatiza ktk forum hii, cha ajabu umetupa usia tunao ufanyia kazi lakini wewe na timu yako mmeingia mitini, Ahadi ni deni njoo utuweke sawa mheshimiwa.

PILI.

Umekuwa ukiwatumia wanachama wako kunisakama na kunishambulia ili kuninyima uhuru wa kuchangia mijadara humu,naomba uwambie waache,wakizidi nitakwenda hadi kwa kina Grace Kiwelu sitaki kumwaga mtama kwenye kuku wengi.
 
Mzee Dua,

Mawazo mazito hayo,

Mzee Chinga,

lovely bado hujajibiwa maswali yako,

Kwa ndugu zangu wa upande mwingine, au the otherside, mzee K, iulianza vizuri, lakini sasa unaanza ku-drip, maana Chinga anawapiga kwa mawe (Hoja)na mchanga(personal), sasa mnahitaji kuchagua either ku-deal naye kwa hoja au personal, mnapotumia hoja some how mna-make a sense kidogo so far, ila mnaharibu kabisaa na kumpa upper hand mnapotumia personal attacks maana anoenekana kuwa expert kwenye huo upande,

Why? mliamua kujiingiza kwenye huu mjadala toka mwanzoni, sielewi, kwenye siasa huwa tunachagua vita sio kupigana kila vita, the minute mlipooona kuna issue ya elimu na viongozi wa juu wa chama chenu Chadema, mlipaswa kujua mapema kuwa ni no win vita, sasa what you are doing ni kumdidimiza mwenyekiti wenu na kina JJ, na chama kizima, maana as long as huu mjadala unaendelea hebu nimabieni ataingilia wapi? Ilikuwa a plus kwamba yuko shule ulaya, sasa mara tena yuko Kilimanjaro anatoa michago ya kanisa is that helping him as far as some doubts kuwa hasomi anasomewa na si ndio UKIHIYO wenyewe?

I mean haya ni maoni yangu tu, tena ni ushauri wa bure kwenu mjinfunze namna ya ku-pick political fights!
 
Mzee ES hamna cha ajabu kwamba Mbowe sasa hivi yupo Kilimanjaro. Sasa hivi ni kipindi cha christmas na shule nyingi hapa UK watu wanaenda holiday hiyo. Isitoshe, tofauti na shule za nyumbani, shule za huku zina-allow sana flexibility kwa wanafunzi wake na hiyo haina maana ubora wa elimu zao unatia shaka.

Bado sijaona issue ya maana katika elimu ya viongozi wa juu wa CHADEMA kwa kigezo tu mwenyekiti na JJ hawana digrii. Hapana. Kwa kiwango chetu sidhani kwamba Mbowe mwenye form siksi na ambaye sasa hivi anasoma ndio mwenye elimu hafifu miongoni mwa wanasiasa wetu. Wapo viongozi wengi katika CHADEMA wenye elimu kubwa. Watu wapitie website ya chama na waone CV za viongozi wote. Kisha linganisha mean score ya viongozi wa CHADEMA na CCM kielimu na walete majibu. Kama ni uduni wa elimu miongoni mwa viongozi CCM wanaongoza. Walidiriki hata kumpitisha yule mama wa Bukoba kuwa mbunge wa viti maalumu wakati hata darasa la saba hana. Nimeomba nitajiwe kiwango cha elimu cha Makamba, sijapata jibu.

Lakini katika kupima mafanikio ya elimu kwa viongozi tuende mbali zaidi ya vyeti. Kwa mfano, kigezo muhimu cha kupima kama mtu ameelimika (sio amesoma) ni kuangalia uwezo wa huyo mtu katika nyanja ya mawasiliaono na kujenga hoja. Hiki ni kigezo ambacho kinatumika sana kupima elimu na akili (inteligence) ya mtu aliyo nayo. Na hiki ni kigezo muhimu sana kwa wanasiasa. Kigezo hiki ndicho kilichomfanya Tony Blair awe mahiri katika siasa za Uingereza na sio kiwango chake cha elimu. Sasa, katika viongozi wetu wa kisiasa tulionao leo, kwa kigezo hiki, sidhani kwamba Mbowe ni kati ya wale walio na uwezo mdogo. Naamini ana-rank juu kabisa.

Msisitizo ni kwamba, tukiacha propangist na udaku, kum-judge mtu katika elimu itabidi uende zaidi ya makaratasi yanayoitwa vyeti. Bahati mbaya sana sasa hivi katika nchi yetu tumefika mahala tumekuwa malimbukeni na makaratasi. As a result, tunapima watu kwa makaratasi na kuwapa vyeo hata kama hayo makaratasi wameyapata katika vyuo hewa.
 
Wacha: unataka kusema kuwa kiongozi lazima awe na elimu kubwa ndio ajali elimu? Hii ni hesabu ya wapi? Kuna viongozi wengi duniani ambao elimu zao zilikuwa za kawaida na bado walifanya maajabu katika maendeleo ya elimu na kinyume chake pia ni kweli. Mfano mzuri ni nyumbani TZ; Mzee Mwinyi alinyanyua sana elimu ya juu

Ni kipindi chake ndipo idadi ya wanafunzi iliongezeka katika vyuo vya elimu ya juu na kipindi chake pia vyuo vikuu vilingezeka. Lakini alipokuja Mkapa akakubaliana na mapendekezo ya IMF na dadake WB kuwa nchi kama Tanzania ilikuwa haitaji elimu ya juu. Wakamshauri awekeze tu katika elimu ya msingi.

Ni katika kipindi hiki tulishuhudia elimu ya juu ikiminywa na vyuo vya serikali viliishi kwa shida na vingine vilibaki kaputi kabisa. Sasa nani ana elimu kubwa kati ya Mwinyi na Mkapa? Ndio nilisema hapo juu kuwa mantiki ya hoja zako bado naitafuta. Labda nitaipata kadiri ninavyosoma post zako.

Halafu tusipotoshe mambo. Pamoja na kwamba naunga mkono kina JJ kwenda shule, sio kweli kwamba kina JJ hawana elimu ya kutosha. Form Six ni elimu kubwa bado kwa kiwango cha wanasiasa wa Tanzania.

Wanahesabika wenye Form Six hata katika rank za uongozi wa kisiasa wa nchi yetu. Kabla sijaendelea, naomba unitajia kiwango cha elimu alicho nacho Katibu Mkuu wa CCM Makamba.
 
Samahani wajumbe manake najua sasa mtaona kama mtandao huu upo obsessed na CHADEMA. Lakini kuna habari nimezitafiti baada ya kuguswa na CHINGA kuhusu hii habari ya CHADEMA kwa kweli inashangaza, nimeingiza kuingia deep doubt kuhusu taasisi hii ningeomba msajili aangalie kama CHADEMA ni kweli chama cha siasa au ni mtandao wa watu kutoka kaskazini wenye maslahi binafsi.

Manake sasa inamake sense kwa nini hawa jamaa wanataka majimbo interest yao itakuwa jimbo moja tu.

Naam baada ya utangulizi huo naomba kuweka hizi taarifa hapa, sijajua ni coincidence au ni uwezo wa wahusika:

Mwenyekiti wa chama mkoa wa Kilimanjaro ni Philemon Ndesamburo. Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Bwana Freeman Mbowe na Katibu Mkuu bwana Wilbroad Slaa wote wanatoka kaskazini. Hawa ndio real architect wa chama.

Wabunge wa kuteuliwa viti maalum na mahusiano yao na viongozi hawa ni kama ifuatavyo:

GRACE KIHWELU huyu ni mkwe wake mzee Ndesamburo, mzee Ndesamburo ana mtoto mmoja tu wa kiume ambaye mkewe alikuwa ni huyu BI Grace, lakini katika pita pita za mbowe akiwa kijana alitembea nae sana na MBOWE akazaa nae huyu mama. Sasa Mtoto wa Mzee Ndesamburo akalazimika kumuacha.

Lakini kwa vile mama kazaa na mtoto wa Ndesamburo na Mbowe mwenyewe imebidi awekwe closer to the familly owning CHADEMA.

NDio kawa mbunge viti maalum.

I have uthubitisho kwamba mama Kihwelu ana mtoto na Mbowe na pia mtoto wa ndesamburo walipokuwa wanandoa [sio tena] kapewa ubunge! Tukumbuke ubunge una mapesa kibao. Yanaenda kwa wenyenacho!

Lucy Owenya ni mbunge mwingine wa viti maalum. Hili jina la Owenya ni jina la mume wake, can anyone guess jina lake kamili?

I will help....

Anaitwa LUCY PHILEMON NDESAMBURO, huyu ni mtoto mkubwa wa kike wa mzee Ndesamburo!

Kwa hiyo to put this in a proper context ni kuwa baba, mtoto na mkwe/shemeji respectively wote wapo bungeni kupitia CHADEMA....coincidence?!!! probably not...


huyu LUCY mtoto wa Mzee Ndesamburo alikuwa anakaa pale Burnt Oak, London kwenye nyumba ya mzee Ndesamburo [told you he was a tycoon] na wazee walikuwa wanakula sana, na baadae akawa ndio meneja wa KEYS HOTEL pale DSM hotel ya babake.


Hivi kweli mnategemea ''viongozi'' hawa wakikutana nyumbani this christmass over dinner, will they be talking of assisting akina kalagabaho kama sie au watakuwa wanazungumzia jinsi ya kuingiza zaidi watu wa kwenye familia yao?!! I know where my guess will be...


Kwa kweli nimetokwa na hamu sana na hawa jamaa wanatunganya sana, endelea bwana CHINGA hoja zako ingawa ni kuchekesha lakini kwa kweli zinatufanya tutafiti zaidi....

Mbowe kama kazaa na mkwe wa mzee Ndesamburo kwa kupitia mlango wa nyuma[kumbetray rafikiye mkubwa ambae ni mtoto wa mzee Ndesamburo] unategemea kweli atakuwa ni kiongozi muadilifu na muaminifu wa kukabidhiwa nchi?!!




God bless tanzania.....
 
Mwanasiasa.
acha uongo, tuambie chuo gani wako holiday week hii kwa undegraduate,masters n.k usitake kudanganya watu na huo u flexibility kama kuna chuo kikuu holiday week hii niwekee kadi ya chadema,

Hata Mnyika week iliyopita alikuwa anazurura tu safarini,tulipouliza mkatuambia 'ana special program tena iko flexible sana'

Nakuuliza jee ni mwanafunzi ndiye anayefuata program ya shule au ni shule ndiyo inafuata program ya mwanafunzi? chuo kina wanafunzi 10,000 na kila mwanafunzi akiwa na program yake kweli itawezekana?

unasema mimi najadili pua za watu, wewe hufunguki macho kwa hoja zangu? ninakupa vingi, najua huijui siasa umefuata mkumbo tu, nenda nyumbani kwa Ndesamburo pale Golders green uone wenzako hii NGO wanavyoitumia najua wewe ni mshika mapembe tu masikini.

Mzee Es.

utaratibu wa dunia nzima juu ya holiday ya x-mas na mwaka mpya unajulikana,
Huyu jamaa kozi yake imeanza oktoba 2, na wanafunzi vyuo vyote wako shule muda huu hawa jamaa wanataka kutudanganya.
 
Tafiti: do the same kwenye CCM halafu tuletee data. Tafiti zako inabidi ziwe balanced. Hiyo ni sample gani ya chama kimoja tu. Anyway, ukishindwa kuleta data za vyama vingine mimi nitaleta za CCM. Lakini kwa sababu wewe umeamua kufanya huo utafiti itakuwa fair ukiukuamilisha kabla ya kufikia majumuisho. Wasiwasi wangu ni kuwa majumuisho yako hayana credibility ya utafiti. Fanya malinganisho ndio ufanye majumuisho sawasawa.

Halafu kama umeamua kudeal na chama kimoja, kwa mfano tuseme basi CHADEMA ni case study, kabla ya kufikia majumuisho ungetuambia yafuatayo:
i) vigezo vya kufanya chama kiitwe family business
ii) ungetoa orodha ya viongozi wote wa chadema
iii) upige hesabu hao wanaotoka kaskazini na wale ambao wana mahusiano ya kindugu, nk
iv) piga asilimia ya wale viongozi ambao ni ndugu baina ya viongozi wote
v) angalia tena vigezo vyako vya family business party, linganisha na ii), iii), ina iv.
vi) draw conclusions zako

I mean you cannot make such serious allegations such simplistically! Haya ndo mambo Mkapa alikuwa anauliza 'ni usomi gani huu?' na akasema 'no research, no right to speak'.

Ukiamua kuibua hoja nzito, ifanyie kazi kabla. Vinginevyo, ndio mambo ya akina Nungwi haya
 
Hiyo ndio naiita kujadili pua za watu. Wewe umemuuliza Mbowe au uongozi wa Hull wakakwambia ameondokaje? Kwa kutoroka au kuruhusiwa? Kwa nini ufanye majumuisho kabla ya kujua ukweli wa mambo? Wewe unawajua watu wote wanaosoma Uingereza na sasa wapo makwao na kwa sababu zipi?

Halafu ni nani amekwambia mimi nimesema najua au sijui saisa? Hivi kuwa mwanachama wa chama cha siasa lazima ujue siasa? Na nini kigezo cha kusema mtu anajua au hajui siasa? Na je kuwa mwanachama wa CHADEMA inabidi ujue siasa kiasi gani?

Naomna unifumbue macho ndugu yangu kati hili maana mwenzetu wewe umesema hoja zako zinafungua macho!
 
I love this forum. First it was Raj Patel. He seemed to confuse us all in BCS forum.

Then came Kivuli. People got a kind of panic somehow.

And now chinga. He seems to fly either too high or too low. And people are busy trying to catch him; as they tried wastefully to catch the other two (mentioned above).
 
Mwanasiasa napenda hoja zako za kisomi the problem is you have a tendency of running away from the real issues kutokuzijibu na kuanza kuphilosophise the subject, katika efforts za kumoderate, I have to admit you are good in political manipulations.

Itasaidia sana ukituletea hiyo analysis ya CCM...It will be interesting lakini usidilute ujumbe nilioweka hapa jaribu kufungua thread nyingine....manake hapa ni analysis ya CHADEMA...

Kuhusu CHADEMA, najaribu kuangalia mlolongo wa viongozi wa nchi nzima bahati mbaya web yenu imejifunga na nipo london kama kituo changu cha kazi, naweza kupata details hizi bila shaka kwa kazi yangu lakini itatake time ukinisaidia nitashukuru zaidi...ndio kusaidiana in the spirit ya nchi yetu na uzalenfo, i am sure kama chama ni familly business basi wewe hutopenda kuwa associated nacho...ama sivyo?

Sasa unaweza kukiri hadharani kwamba:

1. Did you know in advance kwamba watajwa niliowataja kwamba ni viongozi wanafamilia na wenye mahusiano ya kifamilia na kimapenzi at the top echelon of the party ulikuwa unajua mahusiano haya kabla au baada ya mimi kuweka maelezo haya.

Kama umejua baada ya mimi kuweka, una reaction ipi, au ndio unangoja mwenyekiti aje god knows when?

Kama ulikuwa hujui now that you know una maoni gani mkuu?

Nakuandikia hivi nikijua kabisa ulijibu hoja moja kule kwenye ndoa kati ya CHADEMA na COSERVATIVE, hukutaka kuprove kama BI lilian mbowe ni mtoto wa Mzee Mtei?

Hivi haijawahi kukupitikia katika akili yako kwamba kama hawa wapo related na mwenyekiti wa kwanza inawezekana mbowe alipewa favour tu kuchair chama na sio kwa uwezo?!!

Naendelea na utafiti kama ulivyoniguide, nipe lists ya viongozi wote wa CHADEMA taifa japo kwa PM, Mjadala utanoga this way....

Will be back...
 
Mwanasiasa/CHINGA

Sina hakika kama info hii itawasaidia au la:

Wakati akitoa tamko lake kuhusu kwenda kusoma programmu maalum aliyotungiwa na chuo/vyuo MHESHIMIWA MWENYEKITI MBOWE alisema kwamba angerejea tanzania tarehe 18 DECEMBA 2006.

Leo ni tarehe kumi, yupo bongo siku kadhaa na kishatoa misaada.

Lakini safari ni hatua inawezakana kamaliza mapema, he can be excused for that.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom