Mgumu.
Mbowe 1995 hakushiriki mdaharo wa wagombea urais na mtu aliyetamba siku ile alikuwa Professor Lipumba ambaye alikuwa anatoa hoja bila kuwa hata na karatasi, by the way chadema hakikuwa na hata mgombea, sasa mbona unatudanganya?
Mwanasiasa.
Uswaaaaaili uko Chadema najua wewe unaburuzwa tu, Nilimsuta mapema Jasusi kuhusu issue ya Ahmed Rajab sikutaka kwenda mbali hadi kwenye Umma party, nashukuru Tafiti amekata mzizi wa fitina sasa tumejua Jasusi alivyo muongo huku akidai kuleta facts, na alianza mwanzo kumfagilia homeboy mwenzake Nyirabu kuwa ndiye aliyemleta Mbowe, nikamkata zote kuwa ni Mtei ndiye aliyemvuta DJ Mbowe pale BOT.
Philimon Mikael.
ulikuwa wapi? au limeshatoka tamko kuja kunijibu? naona hata Mwanasiasa alikuwa kimya anasubiri instructions toka kwa wakamua maziwa! masikini na usome wote hana kauli ndani ya NGO,
mikael kwani Tanzania kuna elimu hadi darasa la nne? wewe unakataza watu wasilete majungu, kweli Mpakanjia ameishia darasa la nne? naomba maelekezo ya kutosha,
nijuavyo mimi mtu yeyote Tanzania huishia darasa la saba au kidato cha nne au sita na kuendelea, unataka kutuambiwa Mpakanjia alikuwa na special program kama ya Mbowe ambaye muda huu hayuko darasani?
naona una chuki za wazi ndugu yangu Mikael na hiyo ndio simple minded uliyoisema kumbe unajisema mwenyewe,
umeuliza ninaadhimishaje miaka 45 ya uhuru? kwa kusubiri majibu toka kwa Mbowe, Mnyika na NGO ya MZEE MTEI.
MKANDARA.
kama mada hii ni udaku iweje uisome na ikunyime raha? kuna watu wanasoma gazeti la rai wakiamini wao ni watu makini, huwezi kuwakuta wameshika komesha,kasheshe,uwazi au udaku wowote. pilipili usoila inakuwashia nini?
iweje uchangie udaku? iweje usome udaku? kifupi msomaji udaku naye ni mdaku, na mchangiaji mada ya udaku naye ni mdaku,
halafu huoni Chifupa alivyokomaa kisiasa? yeye anajua wazi Mbowe hawezi kufanana naye (amemzidi sana)lakini haji humu au kutuma watu wamjibie?
Mbowe amekuwa akimuiga sana Chifupa, hata aliposikia AC amepeleka pesa timu ya Taifa basi naye Mbowe akaenda kupeleka pesa timu ya taifa (Taifa stars) cha ajabu mwenyekiti mzima kwenda kushindana na binti mdogo tena mambo ambayo si ya kiume sana.KAONA CHIFUPA kapeleke pesa timu ya Taifa naye kapeleka,
kaona chifupa kawafuturisha watu naye kaenda kanisani kutoa pesa.
QUARZ.
kwani mke wa MBilinyi akiona kitu gani?mbona unababaikia wazungu kiasi hicho?yule mama ni masikini tu kama mke wa Remmy Ongara, ukimwambia leo arudi kwao anajiua.
JASUSI.
umeongopa kuwa una fact na kusema Ahmed Rajab anadunda London na anamiliki Gazeti huku ukijua unadanganya wazi, ulidanganya issue ya Nyirabu kuwa alimpa kazi Mbowe nikakutosa mzima mzima, hiyo kazi uliipata vipi? au ndio ule wakati wa kila mtu akitoka huko mkoani kwenu anaingizwa tu huko?imeonyesha wazi uwezo wako mdogo na unategemea uzushi tu, nashukuru Tafiti kakushughulikia vizuri, hatuko hapa kutoa ngonjera tuna facts za kutosha.