[/B]II
I think we are being lambs to be taken in aride with this silly boy chinga imeonyesha namna gani una pupa katika kuleta hoja zako ,we are reduced to a FORUM OF GOSSIPERS by huyu kijana ,you simple minded people talk about people.
chinga maswali yako ni mazuri ila kwa namna ulivyoyaleta hata mimi nisingejibu kwa sababu hayana utaratibu,yanaonesha kama vile mtu luliyekua a kiu ukapata maji.
sasa kwa ujumla lazima kama wanaforum naomba nitoe maoni kuwa ,tungependa kuifanya hii forum iwe na influence katika maamuzi mbalimbali kwenye nchi yetu ,na nja ya kufanya hivyo ni kwa kujitahidi kuwavutia watu mbalimbali kama wanasiasa, watawala, wastaafu, waelelezi, analysts, wasomi, wanafunzi, wakulima, masheikh, maaskofu ets and the only way to encourage this guys is by being tactical in asking our questions like watu wastaarabu ,so as not to scare them ,,,and the only way to this nikuwapa ushauri watu kama chinga ,huyu anaonekana ni mjenga hoja mzuri ila kama akijirekebisha kidogo ataleta changamoto ,,tunataka viongozi wote waje forum ili wabebe ushauri wetu adimu ila tukitaka mawazo yetu mazuri yataishia hapahapa.
moja ya hoja za kijinga ni kama kutukalisha wanaume na ma... yetu kujadili nani zaidi kati ya amina na mbowe ,,,ungemuuliza kwanza mume wa ammina mpakanjiwa[aliyeishia darasa la nne] na dr lilian mke wa mbowe ,ndio wanawajua...
sasa chinga look leo tunaadhimisha miaka 45 ya uhuru ,umeshawahi kujiuliza ..tumepiga hatua kiasi gani kimaendeleo?? je wakoloni hawakufanya hata moja zuri??? je maendeleo tuliyoyapata yanatosha kujivuna leo hii???[hadi kutumia tzs bilioni 2,kupiga fataki na kuwazalisha tracksuit vijana 4,000 kila track moja wamenunua kwa tzs 65,000] je tufanyeje .,whats the way forwad ??? je uchumi wetu umeadhiriwa na nini njaa? vita vya ukombozi??? vya kagera ??? rushwa???? kata issue ili kama majina ya watu yatokee kwenye issue sio kufananisha sura hapa???