Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
Mnyalu Umalaya si sabau moja ya kuiba?

Nani asiye jua kwamba nyumba ndogo ina gharama kuliko mkeo wa ndoa?

Mali ya umma inapotea kwa sababu ya Life Style ya Viongozi wetu mnawaacha watimize hamu zao za ngono kila kona, mafichoni mnalalamika tunaibiwa.

Wizi ni matokeo tu, viongozi hawaibi kwa sabu ya kuiba wana yao mambo. Mojawapo ni ngono.

Wizi una chanzo au vyanzo vyake, chanzo kimoja cha wizi ni kuhaha fedha za kuhonga kwa nia ya kujikimu Kingono.

Wazee wangapi mitaaniwamefilisi biashara zao kwa ngono?
Mashirika mangapi yamekufa ngono ikiwa ni moja ya sababu kubwa?
Watu wangapi wapata digirii kwa sababu ya ngono?
Wangapi wameteuliwa kushika nyadhifa kubwa kwa sabau ya ngono?

Hapo ndipo Tochi yetu inapomulika kutaka kubaini nani kaoza kwenye hilo.
Kutibu tatizo la wizi ni lazima tujue vitabia shawishi vya viongozi wetu.

Kiongozi yeyote anaye penda ngono.

Ataajiri kwa ngono.
Atapandisha vyeo kwa ngono.
Ataiba ili kukidhi ngono.
Ataipa dhiki familia yake ili kukidhi ngono.
Hatajali chochote zaidi ya ngono.
Atajaza utitiri wa wapambe makuadi wa ngono.
Atatumika na yeyote kwa malipo ya ngono.
Atafuja fedha na kusafiri kila kona ili kuonja ngono za kimataifa.

Sijamsikia mtu akisema Mzee fulani ni mkali wa ngono kwa sababu ana wake wanne.

tatizo la ngono kwa Viongozi wetu ni Cancer.
 
MZEE WA MADILU!
1. Nakupata 5 kwa kusema kweli tupu!
Sasa mzee unatushauri Watz tufanyeje?

2. A good Moral intervention ni kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu hilo zimwi la shetani wa ngono liwaondoke!
 
mzee madilu, shikamoo mzee, maneno mazito hayo! mwenye masikio na asikie.
 
Mnyalu Umalaya si sabau moja ya kuiba?

Nani asiye jua kwamba nyumba ndogo ina gharama kuliko mkeo wa ndoa?

Mali ya umma inapotea kwa sababu ya Life Style ya Viongozi wetu mnawaacha watimize hamu zao za ngono kila kona, mafichoni mnalalamika tunaibiwa.

Wizi ni matokeo tu, viongozi hawaibi kwa sabu ya kuiba wana yao mambo. Mojawapo ni ngono.

Wizi una chanzo au vyanzo vyake, chanzo kimoja cha wizi ni kuhaha fedha za kuhonga kwa nia ya kujikimu Kingono.

Wazee wangapi mitaaniwamefilisi biashara zao kwa ngono?
Mashirika mangapi yamekufa ngono ikiwa ni moja ya sababu kubwa?
Watu wangapi wapata digirii kwa sababu ya ngono?
Wangapi wameteuliwa kushika nyadhifa kubwa kwa sabau ya ngono?

Hapo ndipo Tochi yetu inapomulika kutaka kubaini nani kaoza kwenye hilo.
Kutibu tatizo la wizi ni lazima tujue vitabia shawishi vya viongozi wetu.

Kiongozi yeyote anaye penda ngono.

Ataajiri kwa ngono.
Atapandisha vyeo kwa ngono.
Ataiba ili kukidhi ngono.
Ataipa dhiki familia yake ili kukidhi ngono.
Hatajali chochote zaidi ya ngono.
Atajaza utitiri wa wapambe makuadi wa ngono.
Atatumika na yeyote kwa malipo ya ngono.
Atafuja fedha na kusafiri kila kona ili kuonja ngono za kimataifa.

Sijamsikia mtu akisema Mzee fulani ni mkali wa ngono kwa sababu ana wake wanne.

tatizo la ngono kwa Viongozi wetu ni Cancer.

umeongea la maana sana mjomba madilu. ni tabia chafu sana ambayo imejengwa na kuimarishwa na wenye vyeo ama wenye uwezo wa kifedha.mengi naweza kuvumilia lakini kashfa zinazohusiana na kuitelekeza familia ama kumtumia mwanamke kama chombo cha kustarehea ,hili nashindwa kuvumilia na ni siri yangu ila siku zote nikilikuta mbele ya macho yangu nalihukumu ninavyoelewa mimi.nasamehe na kuvumilia mengi lakini sio dhambi hii, inayopelekea sio tu taifa kufilisika bali pia kupoteza future za watoto wanaokosa wazazi na wasichana waliotelekezwa kwa kutumiliwa vibaya.ndio kwa dhambi kama hizi zinazonipelekea kutamani kuwa na taifa fukara kulikoni kuwa na taifa lenye rasilimali lakini wenye uwezo wakaanza kujiona waungu watu kwa kutenda wapendayo.pia ndio maana napoteza imani kwa viongozi wasomi ambao wengi wao kisomo chao kinawapandisha jeuri na kiburi na kujiona wana haki ya kufanya walitakalo bila ya kuwajali wanaoathirika katika vitendo vyao. naomba mungu bora atujaalie kuongozwa na ambae hakusoma lakini mwenye uadilifu.kila mzinifu tunamuomba akome na tabia hii chafu inayopelekea taifa kukosa dira kwa mantiki ya kijamii,kimaendeleo na hata ile mantiki ya kiimani.wewe mzinifu jiulize suali.watu wa ndani ya nyumba yako wakiziniwa utafurahia?. acha leo uzinifu wako,ili taifa liendelee kuwa na maelewano na liwe na imani juu yako.
 
Hili suala la kashfa za viongozi wa CHADEMA ni jambo la kujivunia kwa wapenda maendeleo wote wa Tanzania.Nasema ni suala la kujivunia kwasababu kwanini hizi kashfa zije wakati huu wa KASHFA ZA UFISADI?Huyo huyo anyedai hizi taarifa zimetoka kwa Mh Zitto na wachapakazi wenzake ni mwendawazimu na pandikizi baya kwenye kwenye nyanja za kisiasa hasa wakati huu muhimu ambao tulitakiwa kuunganisha nguvu na kudai taarifa rasmi kuhusu kashfa za ufisadi!Nasema ni pandikizi baya kwasababu mbinu hii chafu itaipa serekali muda,wenzetu wanaita "buying time"Muda unapopita habari zinapobadilika focus inapotea,badala a ufisadi sasa ni kashfa za viongozi wa CHADEMA!Ebu tujiulize,kwanini wao?Makamba anaposema siri si ni mbinu pia za kutishana?Serikali haitoi fedha za kutosha kwenye bajeti ya elimu,unafikiri hiyo ni bahati mbaya?Nani asiyejua kwamba hiyo ni mbimu chafu kwani watu wakipata elimu CCM si itaondolewa madarakani?Matunda ya elimu si ndio kama haya ya viongozi shupavu kama kina Slaa,Zitto,Mbowe na wengineo wengi wenye kupigania maslahi ya wananchi na rasilimali za Taifa lao?Sasa ni jukumu lenu kina Mh Mbowe,Mh Zitto,Mh Slaa na viongozi wengine kuwahutubia wananchi na kuwaelimisha kuhusu hatari ya kusahau kwamba kila mtu anasubiri kwa makini majibu sahihi kuhusiana na kashfa hizo na si vinginevyo!
 
Mh Mbowe haitaji kuiba il ahonge,Clinton aliiba ili aonge?msiongee mambo mengine kwa chuki binafsi!Kama anmeweza kusimamia na kuongoza biashara zake kwa mafanikio then ni mtu madhubuti,kumbuka uongozi ni kipaji!
 
vizuri sana, je yale madai ya kikwete nayo unaweza ukayaweka under what classification ? facts, chuki binafsi, kupenda sifa au ??
 
Hili suala la kashfa za viongozi wa CHADEMA ni jambo la kujivunia kwa wapenda maendeleo wote wa Tanzania.Nasema ni suala la kujivunia kwasababu kwanini hizi kashfa zije wakati huu wa KASHFA ZA UFISADI?Huyo huyo anyedai hizi taarifa zimetoka kwa Mh Zitto na wachapakazi wenzake ni mwendawazimu na pandikizi baya kwenye kwenye nyanja za kisiasa hasa wakati huu muhimu ambao tulitakiwa kuunganisha nguvu na kudai taarifa rasmi kuhusu kashfa za ufisadi!Nasema ni pandikizi baya kwasababu mbinu hii chafu itaipa serekali muda,wenzetu wanaita "buying time"Muda unapopita habari zinapobadilika focus inapotea,badala a ufisadi sasa ni kashfa za viongozi wa CHADEMA!Ebu tujiulize,kwanini wao?Makamba anaposema siri si ni mbinu pia za kutishana?Serikali haitoi fedha za kutosha kwenye bajeti ya elimu,unafikiri hiyo ni bahati mbaya?Nani asiyejua kwamba hiyo ni mbimu chafu kwani watu wakipata elimu CCM si itaondolewa madarakani?Matunda ya elimu si ndio kama haya ya viongozi shupavu kama kina Slaa,Zitto,Mbowe na wengineo wengi wenye kupigania maslahi ya wananchi na rasilimali za Taifa lao?Sasa ni jukumu lenu kina Mh Mbowe,Mh Zitto,Mh Slaa na viongozi wengine kuwahutubia wananchi na kuwaelimisha kuhusu hatari ya kusahau kwamba kila mtu anasubiri kwa makini majibu sahihi kuhusiana na kashfa hizo na si vinginevyo!

ningeiheshimu hii hoja pale tu kama usingeLEAN KUPITA KIASI upande mmoja (chadema) !

ebu soma tena halafu ona unawatetea akina nani !
 
Ningeomba pia kutumia muda huu kusema kuwa sio kwamba najaribu kuwatetea kina Mh Mbowe,ila ni kwanini wameibuliwa hizi kashfa kwa wakati huu?wakina Mbowe,Slaa na Zitto wameibua hizi kashfa za ufisadi kwasababu wamepata ushaidi wakati huu.Sasa kama hizi kashfa zao zilijulikana kitambo kwanini hazikuibuliwa muda mrefu uliopita?Watanzania wnzangu naomba tusiingie kwenye huo mtego,waseme watakayosema kuhusu wakina Mbowe tusije thubutu kumove our eyeballs from the target,got to stay focused on the point na point ni MAJIBU SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA UFISADI.Ni lazima tukumbuke kuwa TUHUMA ZA UFISADI ZINAMGUSA KILA MWANANCHI TOFAUTI NA TUHUMA ZA KINA MBOWE AMBAZO NI ZA KIFAMILIA.Mbowe hata bado hajawa Raisi lakini anawapa watu presha!Nafikiri mambo yao tuwaachie familia zao pamoja na/ama chama chao kwasababu yeye bado sio Raisi.
 
No way, nakataa kata kata ! unaniambia Mbowe ni role model kwa familia yake peke yake ? na hao watanzania anaotaka kuwaongoza je ? je anatuonyesha nini iwapo tuhuma hizo ni za kweli ? tumuige yeye kama kiongozi ? kumbuka, mbowe ni mwenyekiti taifa-wadanganyika wote walio chadema NA JAMII KWA UJUMLA! (chadema) na sio mwenyekiti chadema(familia) !!
 
suala la ufisadi liongelewe at the same time pia mambo mengine yaibuliwe yakiongozana na facts, sidhani hata kama leo ukimuuliza Mbowe kuhusu Mambo ya billcanas kama atakataa, na hizo story za Muungwana sijui kafanya hivi kafanya vile, i guarantee you kwamba ni story tu za vijiweni zikiongozwa na maneno ya mtaani yasiyokuwa na chembe ya fact yoyote !

Timing inawezekana ikawa kweli, lakini lazima ukumbuke tuhuma hizi zimetolewa JF na members wa kawaida (kama mie na weye) na hazijatolewa katika vyombo vya habari Tanzania na viongozi wa chama tawala CCM ! so you can absolutely count CCM out katika kuleta madai haya ya Mbowe, Slaa, na wengineo !

Watu hao hao walioleta mambo kuhusiana na hizi tuhuma ni wale wale ambao pia huleta habari za Buzwagi (ambapo hapa sijasikia wakisema CCM) kwa sababu wanajua ni against na serikali ya ccm, lakini forget that, nakujulisha tu kwamba this has nothing to do with CCM. Bali ni members wa hapa ndio wanaotupasha na hizi habari! (Nakujibu kuhusiana na hiyo timing uliyosema)
 
Siasa ni kama mchezo,na kila mchezo una kanuni,mfano boxing;mpiganaji mmoja akipanic na kupiga ngumi chini ya tumbo hiyo ni nje ya kanuni na mchezo unaweza kuharibika kwasababu mpiganaji mwenzio nae inabidi awe makini na yeye asicheze faulo.Kinachoendelea ndio hicho,CCM wanaanza rafu chafu,za kupakana matope,sasa mimi sisapoti jino kwa jino.No one is perfect.Hapakuwepo na faulo before ndio maana kashfa ya Kikwete haikuibuliwa kabla ya uchaguzi.Serikali haina njia zaidi ya KUJIBU TUHUMA ZA UFISADI
 
Mbona Kikwete Mlimpa?au Kwasababu Ni Mshkaji?
 
alipewa nini ? ebu naomba urekebishe swali tafadhali. Kama ni kura, sema kwa nini watanzania walimpa ! pengine si kazi hata Mrema alimpigia Kikwete ukiwa pamoja na wewe pia !
 
Siasa ni kama mchezo,na kila mchezo una kanuni,mfano boxing;mpiganaji mmoja akipanic na kupiga ngumi chini ya tumbo hiyo ni nje ya kanuni na mchezo unaweza kuharibika kwasababu mpiganaji mwenzio nae inabidi awe makini na yeye asicheze faulo.Kinachoendelea ndio hicho,CCM wanaanza rafu chafu,za kupakana matope,sasa mimi sisapoti jino kwa jino.No one is perfect.Hapakuwepo na faulo before ndio maana kashfa ya Kikwete haikuibuliwa kabla ya uchaguzi.Serikali haina njia zaidi ya KUJIBU TUHUMA ZA UFISADI

hivi ulikuwa wapi wakati Marehemu Mama Mbatia anafariki, hukusikia maneno yaliyotolewa ni kwamba ccm ilipanga njama za kumuua zitto ? je hiyo sio siasa chafu just like you said ?

Je amina chifupa alivyofariki, hukusikia kwamba watu wakidai sijui CCM imembana mbunge wa watanzania ndani, kumnyima gari, kumpokonya simu n.k, je hiyo nayo ni siasa safi ?

Tena hadi mbowe akadai ccm imetoa kafara wabunge wa ccm ! and you are still behind that ? come on Mkuu !
na mengine mengi tu, hukusikia ! je hayo yote ndio tuseme siasa safi au ??

Kashfa ya Kikwete ipi hiyo ?? Naomba uambatanishe madai yako na facts, kama hauna (which i assume 99.999999% you dont have the facts) basi njoo na tetesi zozote ambazo zinaweza zikawa kama lead katika kupata ukweli wa hayo utakayosema !
 
Mbona Kashfa Ya Kikwete Haikuibuliwa Kabla Hajawa Raisi?mbona Haukujiuliza Wakati Ule Kabla Ya Uchaguzi Kama Kikwete Ni Role Model Kwa Taifa?kumbuka Nilisema Kifamilia Na/ama Chama,kwasabau Niliposema Chama Nilimaanisha Kitaifa.kwa Upande Wa Kikwete Yeye Sasa Sio Kichama Pekee Bali Pia Kwa Maslahi Ya Taifa Kwasababu Anamuongoza Kila Mtu Na Si Ccm Pekee!binafsi Nilikuwa Nikimzimia Kikwte Lakini Ameshajiingiza Kwenye Mtego Ambao Kujinasua Si Masihara!
 
Sina nia ya kulumbana unaelewa nilichokuwa namaanisha,KWANINI KASHFA ZAKE HAZIKUMZUIA KUINGIA IKULU?
 
Mbona Kashfa Ya Kikwete Haikuibuliwa Kabla Hajawa Raisi?mbona Haukujiuliza Wakati Ule Kabla Ya Uchaguzi Kama Kikwete Ni Role Model Kwa Taifa?kumbuka Nilisema Kifamilia Na/ama Chama,kwasabau Niliposema Chama Nilimaanisha Kitaifa.kwa Upande Wa Kikwete Yeye Sasa Sio Kichama Pekee Bali Pia Kwa Maslahi Ya Taifa Kwasababu Anamuongoza Kila Mtu Na Si Ccm Pekee!binafsi Nilikuwa Nikimzimia Kikwte Lakini Ameshajiingiza Kwenye Mtego Ambao Kujinasua Si Masihara!

Mkuu unaweza ukasema hizo tuhuma za Kikwete plz ? and plz dont take me for a ride kwa kusema hizo tuhuma zilizochoma kurasa almost 40 hapa na kufanya server iwe mdebwedo maana hadi hivi sasa ukiangalia ile thread haina ukweli wowote, ushawahi kujiuliza kama Mbowe akiulizwa kuhusu hizo tuhuma atakataa ? kumbuka jiji zima lilikuwa pale !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom