Mbowe uko nyuma ya sakata la Lengai Sabaya

MWANAUMEEE ANAESIMAMISHA AKIKUTAJIA.HADI.KIASI ANACHOLIPA.KODI HATA WAJE WANAWAKE.KUMI.AWATOMTOSHA

EMBU SAIDIA HILO SWALA LAKO LA.MAPATO NJOON MSEME.AMEKWEPA.WAPI LILE.LODGE TUTAFNYA KANISA LA BWANAAAAA

KABLA YA.MHEMUKO UJE NA DATAAA

CCTV ZILE EMBU ELEZEA KWANZA ZINANINIIIIIII...
NGOJA.NKANYE KWANZA CHALINZE LODGE
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.
 
Huyo DC ndo aliharibu green houses za Mbowe?
 
Mbowe mwenyewe ana hotel hapo Hai na ni Mbunge wa eneo hilo sasa kwanini asiwe na mahusiano mazuri na ya karibu na wafanyabiashara wenzake tena wa jimbo lake???

Zile CCTV camera zinazomuonyesha huyo DC tapeli akienda kusumbua watu usiku-usiku ni mbowe ndiyo alimrekodi???

Kama umetumwa na huyo DC kanjanja muambie mmebugi step.
tapatalk_1564161675082.jpeg
tapatalk_1542714542899.jpeg
 
Sabaya unatumia MAKONDA STYLE na katibu wa CCM BASHIRU aliwahi kusema kijana ANA VIJANA WENGI WANAOTUMIKA KUMTETEA KWENYE MITANDAO, sasa sabaya na wewe ni WALE WALE...
 
Gifted Fool
Certified idiot of 2019

Moja ya mtu mwenye mawazo takataka hapa JF
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.
 
Ukweli haufichiki wala hautafichwa iwe kwa nguvu au kwa kelele na vitisho. UTASALIA KUWA UKWELI TU! AKITUHUMIWA MTU RUSHWA AACHIE OFISI ACHUNGUNZWE NDIO KANUNI... Hata yule gwanchikichiboy ilisemwa video zimeeditiwa wahusika hawajachukuliwa hatua mpaka leo!!! Hawa jamaa hata wakiambiwa hii ni nnya wanaweza onja ili waseme sio!!! Ukiona wahujumu na wala rushwa wana.... jua tuna tatizo kubwa!!!
Lengai Sabaya amefanya kweli aliyofanya na ushahidi upo
 
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.
Mkuu acha ushamba, mtu anaomba rushwa kwa njia ya extortion halafu unategemea muathirika kukaa kimya?
Upum.bavu huo.
 
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.
Naona umerudi tena yaani elfu 20 ya sabaya per month inawatoa imani kiasi hiki???kweli mbwa ni mbwa tu
 
Yaani nyie vijana wa CCM ni wapumbavu kweli ina maana Mbowe huyu ndiye aliandaa kikao cha TRA ambacho ndiyo kiliibua sakata hili. Wakati mwingine bora mkae kimya kuficha upumbavu wenu,mnakidhalilisha chama chenu. Ikitokea huyo tapeli mwenzenu akiwajibishwa mtakuja tena hapa kusifia.
Hapo Mkuu ndipo "AKILICCM" hutimia... wanaitwa pangu pakavu tia mchuzi WANAFIKI WA KULIPWA
 
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.
Wewe kwanza unafikiri huyo Sabaya atafanywa nini? Na serikali hii hii ya Magu mbona hayo ni mambo mdogo sana. Kama angekuwa mtu wa kushughulikiwa angedhughulikiwa alipo forge vitambulisho vya TISS na kujifanya yeye ni ofisa wa TISS.
 
Back
Top Bottom