Mbowe uko nyuma ya sakata la Lengai Sabaya

Mbowe uko nyuma ya sakata la Lengai Sabaya

Yaani nyie vijana wa CCM ni wapumbavu kweli ina maana Mbowe huyu ndiye aliandaa kikao cha TRA ambacho ndiyo kiliibua sakata hili. Wakati mwingine bora mkae kimya kuficha upumbavu wenu,mnakidhalilisha chama chenu. Ikitokea huyo tapeli mwenzenu akiwajibishwa mtakuja tena hapa kusifia.
 
Kwahiyo Mbowe ametengeneza na CCTV footage sio? Wacheni upumbavu.
 
Huu ni utumbo haswa, Mbowe anawezaje kupanga huu ujinga na upuuzi wa Sabaya?
 
Back
Top Bottom