Mbowe uko nyuma ya sakata la Lengai Sabaya

Wewe kilaza kma lemutuz,mbowe ndio mkusanya mapato ya wilaya ya hai au ccm ndio hukusanya,uwe unatoa hoja zenye mashiko sio huu uharo wako wa ccm vilaza
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.
 
Tueleweshe basi
Ile CCTV ikawaje DC akaenda na kuomba kuingia chumba cha msanii? Mbowe aliipangaje iwe hivyo na pesa anazoomba vipi?
Itabidi kama kasingiziwa basi aende kumshitaki aliyeyasema polisi na apelekwe mahakamani.
 
Umeanza kuwa mkweli, barikiwa maana ukweli utakuweka huru.
 
Mbowe ndio alimtuma sabaya aombe rushwa ?Avamie hotel usiku wa SAA kumi ?Amtake Nandy kwa nguvu hotelini ? Apore mke wa mtu na kushikwa ugoni ,asipochukuliwa hatua itajulikana tu yote anayoyafanya katumwa na Jiwe huyo tapeli ,usalama taifa uchwara .
 
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.
Were ndiye Sabaya? Kumtetea Sabaya unahitaji kwanza kujitoa akili. Kuna wakati unajiuliza hivi mteuzi wake alikuwa anatarajia nini kutoka kwa Sabaya wakati akimteua? Hii nchi nadhani Mungu anaiadhibu, sio bure!
 
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.
We zwazwa la lumumba yule mwekezaji alichoongea je ni ongo? au ndo kale kaugonjwa ka lumumba kamekukaba
 
Vijana wa kitengo cha propaganda CCM ni wapumbavu kuliko hayawani wa mwtuni.

Simple propaganda inawashinda? Y'all too stupid and dumb.
 
Tueleweshe basi
Ile CCTV ikawaje DC akaenda na kuomba kuingia chumba cha msanii? Mbowe aliipangaje iwe hivyo na pesa anazoomba vipi?
Itabidi kama kasingiziwa basi aende kumshitaki aliyeyasema polisi na apelekwe mahakamani.
Hana guts hizo!
 
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.
Kosa NI kutonshikisha hizo pesa. C Swai asingekuwa kiongozi wa CHADEMA wangemsilikiza. Sasa mnacheza na mdaa tu. Ushahidi hakuna.
 
Inaonekana na TAKUKURU wanaogopa kabisa kuanza uchunguzi.....maana unaeza kuanza uchunguzi yakakutokea ya Nape
 
Umeanza kuwa mkweli, barikiwa maana ukweli utakuweka huru.

Eeeeeeh
Ukweli kivipi!!! niliona alivyojieleza.. mimi napenda haki na kwa wafanyabiashara kutendewa haya na wateule wa Rais huku yeye anatuambia anayotaka ya biashara yawe.. nchi ipate mapato then nasikia haya.. kama mzalendo kindakindaki hayo kuuliza majambo humu ni kawaida yangu mimi GT 🤗
 
Kwani mbowe ndo aliyeweka CCTV camera?

Back
Top Bottom