Mbowe uko nyuma ya sakata la Lengai Sabaya

Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.

Eeeh miendendo ya Mbowe sio mizuri.. Yeye ndo aliwaambia waweke CCTV ili Sabaya akamatwe.. Mbowe mtu mbaya sana kuwaelekeza wafanyabiashara jinsi ya kumkamata Sabaya
 
Zigo la mavi mnalo hapo ufipa,ndio maana Mzee Lowsaa alikataa kufanyia kazi chooni ,akaamua kufanyia kazi ofisi yake binafsi
Lowassa no fisadi aliona chadema hakuna ufisadi akashindwa akaona arudi alikozoea kuiba akipaita nyumban kwake.
 
Sijawahi kumtetea Mbowe na watu wake au Genge lake lakini Sabaya hana Sifa za uongozi kabisa kabisa.
Labda kama amewekwa pale mahususi ili kihujumu maendeleo ya Watu wa Hai.
Yaani unajua sasa hivi karibu mikoa yote yenye wasomi wengi watu waliobaki vijijini ni wale wenye Elimu ndogo na wasio na shughuli kubwa za kiuchumi.
Sasa watu kama hao akiletwa Mtu kama Sabaya ni Rahisi hata kugawa majumba ya Wale matajiri wachache waliyojenga na kuyaacha kule vijijini.
Anaweza akawaambia vunjeni hizo Nyumba za matajiri mana wamefungia Mali huko ndani na nyie mnateseka tu. Niko hapa kwa ajili ya wanyonge.
Kwa sababu ya hali na chuki za maskini dhidi ya matajiri hakika mtu kama huyo atashangiliwa sana na bila shaka Chama chake kikapata kura nyingi sana toka kwa hao wanyonge wanaonufaika na kunyanyaswa na kuonewa kwa matajiri ambao waliondoka kijijini baada ya kumiza Shule ya msingi kwenda kusaka mausha na hata kulala maporini na kuumwa na mbu na kupigwa na baridi.
Haki huinua Taifa.
Wananchi wa Hai kuweni makini na Sabaya atawaachia wilaya maskini kuliko zote kwa gharama ya kumpata mbunge wa CCM.
Sabaya hawezi kuwa na uchungu na wamachame kuliko wamachame wenzenu.
Hata kwa kumwangalia usoni kisaikolojia unamgundua ,Sabaya ni mtu mwenye roho mbaya na Mlaghai asiye na chembe ya aibu zaidi ya kuwaza nafsi yake.
 
Yaani nyie vijana wa CCM ni wapumbavu kweli ina maana Mbowe huyu ndiye aliandaa kikao cha TRA ambacho ndiyo kiliibua sakata hili. Wakati mwingine bora mkae kimya kuficha upumbavu wenu,mnakidhalilisha chama chenu. Ikitokea huyo tapeli mwenzenu akiwajibishwa mtakuja tena hapa kusifia.
Vijana wa CCM ni wa kuonewa tu huruma, ndio maana wakati mwengine Wanaotoka Upinzani kwenda CCM hupewa nyadhifa mbali mbali ambazo ilipaswa wapewe hawa CCM kindaki ndaki. Sababu ni hizo hizo za Ujuha wao na kutokua na upeo wa kufikiri.

Nakuambia siku Huyu Bwana Baya akitumbuliwa utaona hawa hawa wanaomtetea leo wakishangilia na kusifia.
 
Zigo la mavi mnalo hapo ufipa,ndio maana Mzee Lowsaa alikataa kufanyia kazi chooni ,akaamua kufanyia kazi ofisi yake binafsi
Kwani mzee wa kutetema alikuwa na cheo gani Chadema cha kuwa na ofisi HQ? Mzee anavaibreiti kama simu ya kitochi.
 
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.
wewe ni njinga sana kabla ya kumtuhumu mbowe kwa ujinga wambie wapuuzi wenzio alichokisema yule MFANYABIASHARA ni kweli au sio kweli? mnajisifia kila siku mnapambana na rushwa kisha mkiletewa cases za rushwa mnasingizia mbowe?
nasari alipeleka flash ya Munyeti mkatetewa na PCCB-CCM leo ushahidi upo wa CCTV unaleta visingizio/ chomoa nijambe! zako hapo
 
Huyo ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ,yupo kazini 24 hours
kwahiyo na raisi yupo kazini muda wote? mpumbavu wewe? ndio akalazimishe kulala na nandy? kama yeye yupo kazini mda wote OCD Kazi zake ni zipi sasa? actha ujinga kijana? mtu anaenda kuomba rushwa muda wa usiku bado mnamtetea?
 
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.
Sabayaa sabayaa saabayaaa !
 
Sasa mbowe anaingiaje hapa? Uroda aombe mwingine mbowe abebe lawama kweli?
 
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.
Tulia utoe hoja itakayo shawishi uhusika wa Mbowe make umemangamanga tu kama mtu mwenye chuki binafsi
 
Watanzania tupo vizuri sana linapokuja suala la kuhamisa goal posts and kublame wengine pale mambo yetu yanapokwenda ndivyo sivyo. Miafrica ndivyo tulivyo
 
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.

kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel hapo Hai

Kulikua na figusi nyingi katika mapato ya serikali ,lakini baada ya Sabaya kuanza kuwashughulikia mmeanza zengwe.

Pia nguvu kubwa ya vijana wako mitandaoni kumshambulia Sabaya mfululizo kana kwamba tayari kapatikana na hatia wakati bado hiyo ni tuhuma.

Lingine pia ni clip walizoleta hadharani vijana wako ,ni mwehu pekee anaweza sema huo ni ushahidi wa kuonyesha anaomba rushwa .

Ushauri wangu kwa vyombo vinavyohusika kushughulikia sakata hili kua makini sana katika kulishughulikia,msije kucheza ngoma msio ijua mkajikuta mnaingia kwenye matatizo ya kusababishiwa.

Onyesheni weledi na haki katika kushughulikia sakata hili,macho na masikio ya watanzania wote yapo kwenu,hasa mkuu wa nchi, double check lazima ifanyike dhidi ya kadhia hii.

Haitashangaza; yule ni Mbunge wao na itakuwa ni ajabu na kweli kama hawajampelekea malalamiko yao. Kwa hali ilivyo sasa Wabunge ni kimbilio muhimu sana kwa wananchi wanaoonewa! Kabla Bunge halijadhibitiwa Wabunge walikuwa wakifanya kazi kubwa ya kupunguza uonevu kwa wananchi.
 
Baadhi ya wabunge hutumika na wafanyabiashara wasio waaminifu,mfano wa hii conbinations ya Mbowe na hao wafanyabiashara wakwepa kodi wa hapo kilimanjaro
 
wewe ni njinga sana kabla ya kumtuhumu mbowe kwa ujinga wambie wapuuzi wenzio alichokisema yule MFANYABIASHARA ni kweli au sio kweli? mnajisifia kila siku mnapambana na rushwa kisha mkiletewa cases za rushwa mnasingizia mbowe?
nasari alipeleka flash ya Munyeti mkatetewa na PCCB-CCM leo ushahidi upo wa CCTV unaleta visingizio/ chomoa nijambe! zako hapo
Sikweli
 
Baadhi ya wabunge hutumika na wafanyabiashara wasio waaminifu,mfano wa hii conbinations ya Mbowe na hao wafanyabiashara wakwepa kodi wa hapo kilimanjaro
Wewe hata ukiishindwa kumtia mimba mkeo utamsingizia Mbowe.
 
Baadhi ya wabunge hutumika na wafanyabiashara wasio waaminifu,mfano wa hii conbinations ya Mbowe na hao wafanyabiashara wakwepa kodi wa hapo kilimanjaro

Iwe kweli au siyo kweli huyo DC is a lucky fool; mapato ya serikali hayakusanywi namna hiyo.
 
Back
Top Bottom