Capitalist
Senior Member
- Feb 3, 2011
- 164
- 27
Acheni kuumiza kichwa kuhusu ccm imeshakufa siku nyingi tangu enzi za Mrema.
Slaa ndiye anazeeka vibaya.Si kila mzee akizeeka anakuwa na busara ,watu wengine wakizeeka wanakua vichaa ndo Kama Mukama
Kwa sababu ya akili yako ndogo ndio maana utakuwa umejiongezea matatizo na preshaSina ajira ila ukinipa ukatibu mkuu wa ccm nadhan umeniongezea matatizo na presha
Slaa ndiye anazeeka vibaya.
Naona tayari amneshaanza kupotea kwenye ulimwengu wa siasa
Nashangaa safari hii taarifa za intelijensia hazijapata hiyo! Au satelite za intelijensia za polisi zimekuwa butu kuliko za CCM? Maana kada wao IGP angeita wanahabari na kuipigia debe CCM kiaina.
baada ya ushahidi upi mkuu...hivi kuna ushahid wa madawa ya kulevya kwa viongoz wa dini umetolewa?au ule wa kuandika kny kijarida chenu cha uhuru bila kutaja majina....i can see hata wenyewe hamuamini mnachokitetea..isue hapo ni ushahidi na si ushabiki yasije yakawa ya madawa yakulevya ya viongozi wa dini na jakaya then baada ya ushahidi wakaloa
Ulitaka asitoe ujumbe wa raisi?mukama hana hoja, kwa nini anasema ametumwa na rais kumwombea kura mgombea wao, kwani hawezi kumnadi yeye mwenyewe???. Kwa nini asisimame yeye mwenyewe kwa miguu yake badala yake anasema eti ametumwa na rais. kwani jk yeye ndo anakubalika sasa?. Naona magamba kama wamechanganyikiwa vile
Atakaye shindwa kuzibitisha tuhuma alizoziibua ndio atakuwa kazeeka vibaya.Slaa ndiye anazeeka vibaya.
Naona tayari amneshaanza kupotea kwenye ulimwengu wa siasa
Naona sasa CCM patashika nguo kuchanika, viongozi wenu hawaelewani kila mmoja ananena kwa lugha yake, mukama akiagiza nyundo Nape anampatia fekeo.Shuhuli yenu imeisha.Ulitaka asitoe ujumbe wa raisi?
Try to think big broda
Si kila mzee akizeeka anakuwa na busara ,watu wengine wakizeeka wanakua vichaa ndo Kama Mukama