OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,187
- 103,705
Jamani Kama ni habari za uongo Dk Slaa siatakanusha.
kanusha wewe,unadhani ana mda wa kijinga kujibu ----- wako na gazeti lako
Jamani Kama ni habari za uongo Dk Slaa siatakanusha.
Jamba Leo wamekula kunde, kinachofuata mnakijua.
ZZK ndo mtaji wa magamba kuuza habari.
Huku katibu mkuu Dk Slaa akitaka zitto arudishiwe nafasi zake zote ndani ya Chama Mwenyekiti amepinga vikali kutorejeshwa katika nafasi zake, amesema kuna makosa yalitendeka katika kumvua nyadhifa hizo, kutoka na na msimamo huo imepelekea Hata kuachia nafasi ya katibu mkuu endapo Mwenyekiti Mbowe atashikilia msimamo wake huo. Habari zaidi soma JAMBO LEO.
Tehe teh teh teh jamani mwenzenu nakimbiza mwenge nikicheka sana chupi inaloa! Nihurumieni.Jamba Leo wamekula kunde, kinachofuata mnakijua.
Magazeti kama haya yanaendelea kutolewa kwa sababu wamiliki wao ni watoto wa vigogo halafu wana ukwasi wa madawa ya kulevya!
Asante kuja kujibu on time!. Uongo hata ukisemwa mara 100, sio lazima ukanushwe mara mara 100, unaweza kuachwa ili msema uongo akishamaliza kusema mara 100, unakanushwa maea moja tuu na inatosha!. Uongo ukiachwa bila kukanushwa ndio huonekana ni ukweli!.Waandike uongo kwa makusudi ili baadae wapoteze muda wa watu makini kukanusha.
Ndani ya CHADEMA msingi wa masuala yote ni Katiba, Kanuni, taratibu, maadili na miongozo. Si mtu. Kama watu wanaamini hawajavunja misingi ya CHADEMA wasiwasi wote huu unatoka wapi hadi kuzusha maneno ya uongo mkavu kama huu.
Ndani ya CHADEMA, Katiba, kanuni, maadili, taratibu na miongozo ndiyo itampenda au kumchukia mtu yeyote. Si suala la mtu fulani kumpenda au kumchukia fulani.
Lisemwalo lipo kama halipo laja,watanzania tu malimbuken sana tunapenda ongelea nafsi za watu,kama gazet limeandika viile y ubishe,?Babu Gongo yupo atakuja kujbu mPgo kama si kwek akikaaa kimya ndo mjue ujumbe umefka
ZZK ndo mtaji wa magamba kuuza habari.
Huku katibu mkuu Dk Slaa akitaka zitto arudishiwe nafasi zake zote ndani ya Chama Mwenyekiti amepinga vikali kutorejeshwa katika nafasi zake, amesema kuna makosa yalitendeka katika kumvua nyadhifa hizo, kutoka na na msimamo huo imepelekea Hata kuachia nafasi ya katibu mkuu endapo Mwenyekiti Mbowe atashikilia msimamo wake huo. Habari zaidi soma JAMBO LEO.
Yeriko utakuwa umerogwa wewe. Hapa Zitto ameingiaje?Zitto utahangaika sana, lakini nikueleze kuwa Chadema haitumii kauli ya mmtu mmoja bali Katiba ya Chama,
Tumia katiba ya chama kuishi ndani ya Chadema.
Ha ha ha ha! shetani ana rangi nyingi, hao Jambo leo wamepata wap hiyo habari zaidi ya majungu?
Jambo Leo ni makanjanja toka kale...!
mkigoma bana.Halafu mnapoamua kufanya Propaganada basi jaribuni kutumia hata kichwa kidogo.
Sio kila siku kutoa Points zenu kutokea katikati ya Makalio
asante kwa taarifa,ila harakishen kukiscan hili kirusi cha kigomaWaandike uongo kwa makusudi ili baadae wapoteze muda wa watu makini kukanusha. Ndiyo strategy mpya iliyoko mtamboni? Chonganisha Mbowe na Slaa, tapeli wajumbe wa mikutano kwa kuwasainisha fomu 'feki' mkidanganya zimetoka Makao Makuu ya Chama, chonganisha wajumbe, chonganisha wanachama na chama chao, chonganisha, chonganisha, sema uongo, sambaza uongo...ndiyo strategy iliyoko mtamboni?Ndani ya CHADEMA si suala la 'mtu kutaka' wala 'mtu kupinga vikali', ni misingi kutaka na kupinga vikali. Wanaotaka chama kisimame kwenye matakwa ya mtu ndiyo wanaoeneza uongo kama huu. Lengo nini? CHADEMA kuna mgogoro! Hakuna mgogoro kuna kusimamia nidhamu na kujenga imani ya wananchi ambao wana matumaini makubwa na chama chao. Hii ya kuwachonganisha Mwenyekiti na Katibu Mkuu wake mbona haijaanza leo, bado mnahisi inaweza kufanikiwa na kuzaa matunda?Ndani ya CHADEMA msingi wa masuala yote ni Katiba, Kanuni, taratibu, maadili na miongozo. Si mtu. Kama watu wanaamini hawajavunja misingi ya CHADEMA wasiwasi wote huu unatoka wapi hadi kuzusha maneno ya uongo mkavu kama huu.Ndani ya CHADEMA, Katiba, kanuni, maadili, taratibu na miongozo ndiyo itampenda au kumchukia mtu yeyote. Si suala la mtu fulani kumpenda au kumchukia fulani. Hakuna kitu kama hicho. Labda kama hata walioandika hawajui maana ya 'maamuzi ya kikao'...