Sokoine2
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 214
- 32
Mpaka babu anaongea ivo kaiona sura ya zitto kote alikopita. Chadema mnasema ni taasisi lakini mjue ili taasisi iende inahitaji kiongozi makini na kiongozi huyo ni Zitto tu.
Kama Zitto ni makini mchukueni kwenye chama chenu cha mizigo, sio mnamtetea abaki cdm! Haihitajiki akili kubwa kujua mnachotetea!