TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,203
Biashara zake ni biashara za kuiharibu jamii, biashara za kishetani. Toka lini ukasikia biashara ya kishetani ni mafanikio? unanchekesha.
Sasa FaizaFoxy Kama biashara zake zinaharibu jamii na serikali yako imezipa vibali na inachukua kodi kila Mwaka, ni nani anaharibu Jamii? Ni Mbowe au Serikali iliyobariki kwa kutoa vibali??
Last edited by a moderator: