Mugongo Mugongo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2006
- 223
- 8
Ujumbe wangu ni kwa Mr. Mbowe na wana JF. Wakiuelewa wao, I am fine. Kazi ya kueneza ujumbe vijijini sina interest nayo.
Mh,
Mugongo mugongo, ulichoandika kizito. Kina ujumbe mrefu sana kwangu. Na-kopi ili ni-print nisome kwa kuangalia hapa hapa kwangu niweze kujenga hoja.
Sina cha kuongeza, kwanza nipate ujumbe ndipo nitalonga
Mhhhhh! a very personal way to convey a special message huh!
In your mind a chairman of CCM would have convey the same message (yours) different?
Come to think of it, is necessary to mention your wife when talking about ugly women?
Super!anyway, on the question of ugly women and wives.. I think if you have a wife and she happens to be ugly (according to somebody's standard) then you have the right to talk about women whether they be ugly or beautiful (bearing in mind that she better not hear you mention that she is indeed ugly!). But if you don't have a wife, but still want to talk about ugly women make sure you are not attracted to one!
Mkandara
Huu ni moto wa makaratasi ama ngoma ya kitoto haikeshi. Huyu Mugongo kama ni kweli ni Mwenyekiti wa CCM n wonder madudu yale yanatokea hapa TZ. Nimemuuliza maswali machache sana huko nyuma anaruka ruka kabla sijazamia makala yake mmesha mvaa . Wale wale hawa .Mbowe hawezi kusema yote kwa siku moja lakini mengi unayo yasema Mugongo na CCM yako mnayajua mbona hamtimizi ahadi zenu ?
Huyu Mugongo kama ni kweli ni Mwenyekiti wa CCM n wonder madudu yale yanatokea hapa TZ
Lunyungu,
Ndugu yangu Mugongo sio CCM...umemvisha taji sii lake. Ila kwa msomaji mzuri utaelewa kavikwa kofia na shati la CCM mahala ambapo ujumbe wake ungekuwa mzuri zaidi kama asingevaa guo hilo!..