“Mnasema nimeanza vizuri naomba nipeni muda nisimamishe Nchi kiuchumi, tuite Wawekezaji uchumi upande, halafu tutazungumzia mengine, tutazungumzia Katiba Mpya, mikutano ya hadhara n.k, kwa sasa mikutano ipo ya ndani na Wabunge kwenye Majimbo yao pia wanafanya”——Rais Samia
Hamtaki mnalazimisha afuate anachosema Mbowe, kwa akili za kawaida rais afuate amri ya Mbowe kweli badala afuate wanachotaka watanzania.