Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Kweli humu CHADEMA ni familia ya kambale!na wewe una ubavu wa kuwapa viongozi ultimatum?fanya hima ujitoe kesho asubuhi na hao watu wako unaosema kisha tuone kitavunjika ama laa.Wanaume hawasusi pambana!
 
Kwa hiyo unataka ofisi kuu ya Chadema ihamie JF.Wewe mwanachama wa aina gani?Unatishia kujitoa katika shughuli za chama kama Mbowe na Slaa hawatafungua kikao cha chadema kwenye ofisi zilizoko JF,unasubiri nini? Jitoe sasa hivi halafu uone kama CDM itatetereka.

Mkuu chadema haijashiba wanachama. Chadema ni chama kikubwa, hata akiondoka Slaa, mbowe, zito bado kitasimama maana watu wamewekeza katika hiki chama. Tunaona mbali tunaogopa watu kukiingiza chama katika liabilities za migogoro. Nielewe nia yangu.

Mimi sikitishi chama, lakini mimi na wanachama wangu tuna nguvu ya kuprotest kama kuna ujinga unaoendelea chamani.
 
maskini mke wangu simiyu, kihelehele cha nini? Kesho ntakuja na basi la mbasa raha kukuletea matumizi usihangaike, tulia mama.
Watoto wa nje ya ndoa bana tangu wazazi wako kuachana baada ya ujauzito wako kuleta utata ulikumbana na mkosi na huu mzimu utakutesa daima basi tafuta mume uolewe japo huna mvuto hata wa kuolewa.
 
sixgates,
Unatoa saa 24 kama nani?

Kama wewe ni mwanachama na ukaona tatizo ni kwanini usifuate taratibu tofauti na taratibu hizo hizo unazozilalamikia?

Unallamika kuwa kuna kiongozi ameshambuliwa lakini wewe unashambulia viongozi wa juu kwa kutumia njia hiyo hiyo

Ni lini uliona viongozi wa juu wa Chadema wameingilia mijadala humu kwenye mitandao?

Nakushauri ujifunze juu ya Itifaki.Kujaribu ku-imagine kwamba Mwenyekiti na katibu mkuu wanaweza kuja huku kumtetea kiongozi wa chini mwenye uwezo wa kujisemea na kujitetea ni gross insubordination

Tangu ianzishwe JF yamesemwa mengi lakini inapotokea hitilafu mara nyingi aliyeko rank ya chini na au msemaji wa chama mwenye mamlaka ya kusemea yote hufanya hivyo


Ridiculous and very arrogant comments, Hao viongozi wanauwezo wa kuingila na kuyatuliza hayomambo bila ya kuja hapa jf, Ukweli ni kuwa hii planned attack is part of their political journey to eliminate all popular party members who are winning the masses, while they are busy doing other things. be the pole and dont be the flag
 
Hawa jamaa wameshafika mwisho ndio maana huwezi ona jipya kwao, ni yaleyale tu wanayoyapinga ndiyo wanayatenda, huenda ndoto zao zimeshakamilika hawana haja nyingine tena. wazo la kuachana nao ndio la msingi hapa
 
Hawa waheshimiwa Mbowe na Dr.Slaa mbali ya kuwa viongozi wakuu kwenye chama chao bali pia ni misingi na kanuni ya chama.

Kwa maana hiyo kanuni zingine na misingi ya CDM ndani ya chama azina ulazima, si wameshasema wakifanya uchaguzi ndani ya chama CDM kitazoofika. Ndio maana matusi kwa wengine kwao sawa kwakuwa they know how to handle wapiga kura na chama chao na ni wao ndio wenye vision ya ukombozi pekee, to think kuna watu wamelewa na porojo zao.

Chama chenye misingi imara utakiona siku zetu kanuni ndio mwongozo wake, hata CCM despite matatizo yake mwisho wa siku ni kanuni za chama ndio utoka kidedea. Zitto amekuwa akitukanwa na watu ambao wadogo kwake kichama na wala hawana impact ya wapiga kura na hawapo kwenye makeke makeke ya kuipa sura ya CDM kama chama mbadala na wala hawakanywi, sasa kweli si ka-saccos binafsi tu hii chadema, wengine tunaomba waache tu kuchukua michango ya maskini kwa maslahi yao.

Chama gani badala ya kupoteza muda kuangaika na kutunga au kuuza sera na kukosoa sera kila kukicha chenyewe kinaongelea personalities, majungu na vikao almost every week.

Natamani wanachadema mkawa na maono haya, tusipoteze muelekeo. Kama viongozi wetu wanakuwa katika migogoro ni wazi watapoteza kondoo. Sisi sote ni wamoja. Tatizo ni ccm. Tuwe na msingi huu.
 
usimusumbue kamanda kwa hoja zako za kimagamba gamba hapa, kwanza kuanzia leo zitto simtambui kama kimgozi wa chama changu, bali kama muuza sura,mtafuta ujiko, mropokaji na asiyejielewa. Huu upuuzi pelekeni mwandiga. Kama na wewe uko upande wa zitto na masalia kuanzia kesho wambieni jamb zenu wa lumumba tumewashitukia.

Sina upande. Mimi namtambua Mbowe, Dr, zitto kama viongozi waandamizi wa chama. Period
 
Hivi hii ya Lema kuliwa kiboga na baadhi ya vijana wake wa bavicha kutokana na kuwadhulumu ni kweli?maana picha mnato zimezagaa na nasikia video itaepuliwa soon
Mods matusi haya...
 
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani)

safi sana, inaonekana JF ni maarufu sana hapo mtaani kwenu
 
We si ndio ulikua unatetea division 5 wewe?! Hilo tu linatosha kujua uwezo wako na kisha kupuuza bandiko lako!!

Eti unatoa masaa 24 la sivyo itatoa tamko na wanachama wa kanda yako?!!? Una kanda wewe?! Hizi ndizo akili kama za Le mutuz hizi! BS!

Mkuu nadhani kila mtu ana haki ya kutoa maoni. By the way hata wadau mbali mbali wa elimu from universities, NGOs, walim etc walitoa maoni hayo hayo.
 
There are six gates open for you and your gullible, lumpy and clumsy supporters! Zitto ni mnafiki tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom